kibaravumba
JF-Expert Member
- Dec 21, 2012
- 6,633
- 7,021
Mbowe anawafanya ccm chu.pi ziwabane
Safari hii ccm lazima wazae!Hizi kelele za Mbowe,Mbowe kila baada ya dk 5 ni dalilil ya uchungu! na wakichelewa kuzaa wanapelekwa theatre
Mbowe anawafanya ccm chu.pi ziwabane
Namwomba M/kiti wa taifa ccm amkumbuke sasa hivi kumpa kale ka pension kake anako lilia hivyo jamani. Lakini pia napinga kumwondolea uanachama wake TLP kwa sababu bado siku chache tu jamani alipwe kiinua mgongo cha bunge. Si unajua tena, yeye si kama zzk, Mrema ni mwaminifu sana kwa ccm, ulimwona alivyoitetea ile katiba Bambikizwa kwa nguvu zote, uliona alivyo tamani JK aongezewe kidogo siku za kutawala angalao naye aendelee kulamba sukari ya ubunge.
Hao walioona aondolewe TLP ni wauaji tena washitakiwe kwani Mrema ni mgonjwa wa Kisukari na BP hivyo kumpa mawazo ni kumsukumia kifoni. Akifa ghafla kwa shinikizo la damu mtashaa nyinyi. Ohooo. Sorry, nlikuwa nawaza tu
Kwani ukisema NGOMA!
Safari hii ccm lazima wazae!Hizi kelele za Mbowe,Mbowe kila baada ya dk 5 ni dalilil ya uchungu! na wakichelewa kuzaa wanapelekwa theatre
siyo mbaya akaungana na wazalendo (zitto).
Typing error isomeke 'raia wa nchi Za Nje' tumia akili Za kuzaliwa najia Za shule hula umeshindwa kumalizia hapo