Ngongo
Platinum Member
- Sep 20, 2008
- 21,199
- 37,526
Naitakavyokuwa ACT Wazalendo kwa Zitto habari ndio hiyo.
Mrema TLP sio tuu ni chama chake, pia ni mali yake!. Alikinunua kwa Lwekamwa!. Huwezi kufukuzwa kwenye chama chako!.Mrema ni life president of TLP!.
Kama ilivyo kwa chama cha UDP ni mali ya John Cheyo, hivyo Cheyo ni life president of UDP!.
Pasco