Agustino Mrema atimuliwa TLP

Agustino Mrema atimuliwa TLP

Unazungumzia kitu ambacho kichatokea na wameshaenda extra mile. sasa hivi anatembea kajifutika kigunzi.!

Jamiiforum Raha sana. nimecheka hadi mbavu zinauma. Jamani mweeeeeee!!!!!!!!!!!!!!!.
 
Mrema ameshachoka anatakiwa kupumzika sasa
 
Duh!! Hujaacha tu majungu? Nakumbuka walikusuta ulipong'ang'ania Mengi kaoa mjukuu wake kaoa mjukuu wake nikadhani wanakuonea kumbe unapenda majungu pole.

we dada mambo ya kusutana ni kwenye shughuli zenu za kitchen party,mkiambiwa ukwel mnalialia hebu soma mwanzo hadi mwisho wa post halafu uje uniambie matusi yanatoka chama gan,na kuhusu machache ni kweli kaoa mjukuu ni kademu kangu
 
Duh!! Hujaacha tu majungu? Nakumbuka walikusuta ulipong'ang'ania Mengi kaoa mjukuu wake kaoa mjukuu wake nikadhani wanakuonea kumbe unapenda majungu pole.

we dada mambo ya kusutana ni kwenye shughuli zenu za kitchen party,mkiambiwa ukwel mnalialia hebu soma mwanzo hadi mwisho wa post halafu uje uniambie matusi yanatoka chama gan,na kuhusu machache ni kweli kaoa mjukuu tena ni kademu kangu
 
Mrema ni mmiliki wa chama kama alivyo Mbowe, hawezi kufukuzwa.

Ni sawa na Chadema imvue uanachama Mbowe kwa kukibadilisha kinyemela kifungu cha ukomo wa uongozi kwenye katiba ya chama. Ni kitu kisichowezekana.
Ni comments kama zako zinanifanya niendelee kuamini CDM ndo chama chenye upinzani na ushindani wa kweli hapa Tanzania,
 
safi sana nenda kwa msaliti mwenzio
 
Wakuu gazeti la Mtanzania leo limeripoti kuwa eti Mh.Mrema ametimuliwa katika chama lake la TLP.

Mtanzania limeandika kuwa,akiongea na gazeti Mwenyekiti wa kamati ya Maridhiano TLP Bwn.Kinanda amesema kamati ya maridhiano imefikia hatua hiyo baada ya kujiridhisha na ukiukwaji wa taratibu za kuendesha chama.

Mh.Mrema ni mmoja kati ya waliovuliwa uanachama wa TLP.

Pia Tanzania Daima imeripoti Hivyo.

==========================

https://scontent-lhr.xx.fbcdn.net/h...=fb366a1423d484d3c10128d34dff0cda&oe=55E2B5DD
Chanzo: Mtanzania

11011936_1596848363929280_7172736265520755371_n.jpg
 
Naomba kupata uhakika wa taarifa hizi wakuu.....nimeisikia kwa uchache sana na sijajua haswaa kilichotokea ndani ya chama hicho.

Asanteni.
 
Amesha jichokea huyo mzee muacheni arudi kwao mambo ya siasa ya mekwisha.

Hana sera amekuwa mtetezi wa chama chetu CCM bado kuchukua kadi tu.

Siasa sio mchezo hata Mbowe Slaa wote watarudi chama kikubwa chenye watu walo soma na wanajielewa sio kama wapinzani huyu Mzee ameanza kusoma alama zanyakati bado Mbowe na Slaa
 
Chama cha waliosomea kuwaibia wananchi rasilimali zao?
 
Chama cha waliosomea kuwasamehe wezi waliokwapua mabilioni ya epa?
 
Enyi TLP muoneeni huruma mzee Lyatonga, hata umwenyekiti wa chama mmemvua, bado ubunge aje apoteze!! CCM muokoeni huyo ndugu!
 
Mrema ni mmiliki wa chama kama alivyo Mbowe, hawezi kufukuzwa.

Ni sawa na Chadema imvue uanachama Mbowe kwa kukibadilisha kinyemela kifungu cha ukomo wa uongozi kwenye katiba ya chama. Ni kitu kisichowezekana.

Kwani CCM inaweza kumvua uanachama Nyerere Family? Fitina zenu kwetu mwiko
 
Amesha jichokea huyo mzee muacheni arudi kwao mambo ya siasa ya mekwisha.

Hana sera amekuwa mtetezi wa chama chetu CCM bado kuchukua kadi tu.

Siasa sio mchezo hata Mbowe Slaa wote watarudi chama kikubwa chenye watu walo soma na wanajielewa sio kama wapinzani huyu Mzee ameanza kusoma alama zanyakati bado Mbowe na Slaa

Mmhuu kurudi kwenye chama cha majizi mi ccm mm binafsi haitakuja tokea
 
Mrema ni mmiliki wa chama kama alivyo Mbowe, hawezi kufukuzwa.

Ni sawa na Chadema imvue uanachama Mbowe kwa kukibadilisha kinyemela kifungu cha ukomo wa uongozi kwenye katiba ya chama. Ni kitu kisichowezekana.

mkuu laki si pesa una akili kubwa sana.
unachambua kisomi
 
Back
Top Bottom