AFRIKA BARA GIZA: Were there xenophobic attacks against black foreigners or just diplomatic and political standoff between South Africa and Nigeria?

Infantry Soldier

JF-Expert Member
Feb 18, 2012
15,893
16,316
20200716_152047.png

Shikamooni wakubwa zangu wote wa hapa Jamiiforums. Mimi mdogo wenu (Last Born) Infantry Soldier nipo mzima kabisa wa afya. Thanks to God the Almighty.

Ndugu zangu watanzania eti;

Were there xenophobic attacks against black foreigners or there was diplomatic/political standoff between SOUTH AFRICA and NIGERIA?

Nimeamua kuuliza hivi kwa maana kwamba;

Mnamo mwanzoni mwa mwezi wa September mwaka jana 2019, vurugu mpya kabisa zilianza tena dhidi ya wageni waishio katika baadhi ya maeneo nchini Afrika ya Kusini.

Makumi ya watu waliuawa baada ya makundi ya watu wenye msimamo mkali kuvamia, kuiba na kuchoma moto maduka pamoja na magari katika maeneo kama Pretoria na Johannesburg.

Raia wa kutoka nchini Nigeria, ambao ndio waafrika wenye idadi kubwa waishio nchini humo, walikuwa miongoni mwa wahanga wakubwa waliolengwa katika mkasa huo.

Police wa Afrika ya Kusini walikamata watu wapatao 700 kutokana na vurugu hizo, habari ambazo zilisambaa ulimwenguni kote.

Raia kutoka katika mataifa mbalimbali walibeba vitu vyao na kuondoka nchini Afrika ya Kusini, miongoni mwao kulikuwa na raia takribani 600 kutoka nchini Nigeria, waliopanda ndege kwa gharama zao binafsi.

Hasira dhidi ya vurugu hizo zilitapakaa Afrika nzima na kisha Nigerians wakaamua pia kuchoma moto, kuiba na kushambulia Supermarkets kubwa zinazomilikiwa na raia wa South Africa pamoja na matawi ya kampuni ya mawasiliano ya MTN katika miji ya Lagos na Abuja.

OUR MOTTO: USISAHAU: ENDELEA KUWA MZALENDO IPENDE TANZANIA. USICHAFUE TASWIRA NJEMA YA TAIFA LAKO. USTAWI WA NCHI YETU UNAANZA NA WEWE. TIMIZA WAJIBU WAKO IPASAVYO.
 
Hatujasusa mkuu, naomba uweke list ya vitabu vyako huenda nikakuunga mkono
Nimeuza vitabu vingi sana from March mpaka sasa. Nimeuza novels kama 23 nimebakiwa na German books tu mzee baba. Nunua mkuu utakuja kunishukuru baadae.
 
iwapo mtoa mada ungekuwa Msauz Africa,usingeandika haya!! Wanaijeria wameiharibu South Africa kwa madawa ya kulevya na Kuuza mabinti wa Kisauzi kingono kiasi kwamba nchi aina amani socially. ulinza au fanya tafiti uone jinsi gani wanaija wanaharibu SA
 
View attachment 1508906

Shikamooni wakubwa zangu wote wa hapa Jamiiforums. Mimi mdogo wenu (Last Born) Infantry Soldier nipo mzima kabisa wa afya. Thanks to God the Almighty.

Ndugu zangu watanzania eti;

Were there xenophobic attacks against black foreigners or there was diplomatic/political standoff between SOUTH AFRICA and NIGERIA?

Nimeamua kuuliza hivi kwa maana kwamba;

Mnamo mwanzoni mwa mwezi wa September mwaka jana 2019, vurugu mpya kabisa zilianza tena dhidi ya wageni waishio katika baadhi ya maeneo nchini Afrika ya Kusini.

Makumi ya watu waliuawa baada ya makundi ya watu wenye msimamo mkali kuvamia, kuiba na kuchoma moto maduka pamoja na magari katika maeneo kama Pretoria na Johannesburg.

Raia wa kutoka nchini Nigeria, ambao ndio waafrika wenye idadi kubwa waishio nchini humo, walikuwa miongoni mwa wahanga wakubwa waliolengwa katika mkasa huo.

Police wa Afrika ya Kusini walikamata watu wapatao 700 kutokana na vurugu hizo, habari ambazo zilisambaa ulimwenguni kote.

Raia kutoka katika mataifa mbalimbali walibeba vitu vyao na kuondoka nchini Afrika ya Kusini, miongoni mwao kulikuwa na raia takribani 600 kutoka nchini Nigeria, waliopanda ndege kwa gharama zao binafsi.

Hasira dhidi ya vurugu hizo zilitapakaa Afrika nzima na kisha Nigerians wakaamua pia kuchoma moto, kuiba na kushambulia Supermarkets kubwa zinazomilikiwa na raia wa South Africa pamoja na matawi ya kampuni ya mawasiliano ya MTN katika miji ya Lagos na Abuja.

OUR MOTTO: ENDELEA KUWA MZALENDO IPENDE TANZANIA. USTAWI WA NCHI YETU UNAANZA NA WEWE. TIMIZA WAJIBU WAKO IPASAVYO.

BIASHARA: Ninauza Vitabu Vya Kujifunzia Lugha Ya Kijerumani. Ich komme aus der Stadt Dar Es Salaam und verkaufe diese Deutsch-Lernbücher
Uzi safi sana huu kijana
 
5 Reactions
Reply
Back
Top Bottom