Africa's First Ladies...nani Zaidi?

Africa's First Ladies...nani Zaidi?

Pole sana Only if you know the story behind her............. Huyu bibie ni Mmorrocco alimtoa mke mkubwa kwenye throne yake na akaolewa na Rais wa Gambia. Akafanywa 1st lady. Mke mkubwa akapewa talaka tena zile za chap chap za kiislamu. Haijapita muda Rais akaanza ku-cheat na yule yule mke mkubwa na inasemekana bibie Zeinab kakimbilia kwao Morrocco na Rais anataka kufunga ndoa tena na mtalaka wake wa mwanzo. Shame it is???

Thanks for the data, Bimkubwa... that is such a messed up story.
Sijui utasema ni wanaume wa kiafrika ama sijui nini jamani!...Kwa hivyo Rais
alirudiana na yule mke wake wa kwanza?
 
ejs480.jpg

Ellen Johnson Sirleaf, president of the Republic of Liberia and the First Woman to be elected President of an African Nation​

image
 
Thanks for the data, Bimkubwa... that is such a messed up story.
Sijui utasema ni wanaume wa kiafrika ama sijui nini jamani!...Kwa hivyo Rais
alirudiana na yule mke wake wa kwanza?

Yaani Ab-Titchaz, Kule West Africa wenzetu walishazoea kuongea mambo ya ndani hadharani na yanaandikwa kwenye magazeti mpaka kichefuchefu.
Kinachowaponza, kule kwa wenzetu, utamaduni wa wake wengi haujafa kabisa. Kwa mfano Rais wa Togo (kama sikosei) ana wake nane na hadi sasa hakuna anayesimama kama first lady. Haya Obasanjo naye ndio usiseme, yaani marehemu Stella, alikuwa kama mke wa 10 kwenda mbele na ana watoto kama utitiri. Mbaya zaidi kavunja ndoa ya mwanaye na kulala na mkwewe.
Huyu wa Gambia ni malaya wa kutupwa na hilo linajulikana waziwzi kabisa. Ila alipompata kimwana wa Kimorrocco. Akapiga stop mke mkubwa kamtupa nje kwa talaka. Akaanza kuvinjari na nyumba ndogo kama first lady. Ila sasa nadhani akawa anammiss mke wake wa kwanza hadi akawa anamfuata kwa siri. Ila sasa mambo yakaaza kufanyika kiwazi hadi amemnunulia jumba kubwa sana la kifahari (kumbuka ni tax za wananchi). Nyumba ndogo hasira juu kafunga vilago na hajulikani alipo ila wanahisi karudi kwao.

Siwezi kusema ni tabia za wanaume wa kiafrika japokuwa ndio asilimia kubwa tunasikia story ndio hizi hizi. Ila pale inapofanyika kwenye high offices, inatia mashaka.

Lucy Kibaki ndio kabaki kituko huko Kenya. Huku kwetu East Africa kidogo kuna kale ka-aibu sijui niseme ila tukiamua kufungua paa za nyumba za watu tuone kinachoendelea- maumivu matupu.

Kwa ubora wa 1st ladies, Kwa kweli I will stick with Salma Kikwete. She is a huge improvement kutoka kwa Anna Mkapa, Japokuwa wa Mali naye ni mzuri ila kuna picha kadhaa za huyu bibie wa Mali nazo zinatia shaka kuhusu rangi yake ya ngozi kama ni halisi. Picha yake tuliyonayo naona it has been doctored na ndio formal picture ya first lady, need we say more.
 
BiMkubwa heshima natanguliza mbele.

Hao jamaa za West Africa wanatabia mbaya sana jamani.
Mambo ya faragha wanayafanya ya kadamnasi???..Kweli huku
Easti kwetu afadhali.Kama usemavyo maswala yetu ni chini ya paa
na hakuna haja kujimakisha kama huyo bwana wa Gambia au sijui Togo.

Yaani Obasanjo with all his greatness kamla mke wa mwanae? Hio
sijui ni kufuru ama nini aisee!!!...It is even beyond expressing anger on
such an issue.Folks like that should go straight to meet their maker
waelewane wenyewe.Kisha huo utitiri wa watoto wake, what are
they doing in life maana sijawasikia kamwe?

Togo naye kajaza namba...ngoma ya mtu nane anaimudu vipi huyu bwana?

Africa kweli tuna vituko!
 
Yaani Ab-Titchaz, Kule West Africa wenzetu walishazoea kuongea mambo ya ndani hadharani na yanaandikwa kwenye magazeti mpaka kichefuchefu.
Kinachowaponza, kule kwa wenzetu, utamaduni wa wake wengi haujafa kabisa. Kwa mfano Rais wa Togo (kama sikosei) ana wake nane na hadi sasa hakuna anayesimama kama first lady. Haya Obasanjo naye ndio usiseme, yaani marehemu Stella, alikuwa kama mke wa 10 kwenda mbele na ana watoto kama utitiri. Mbaya zaidi kavunja ndoa ya mwanaye na kulala na mkwewe.
Huyu wa Gambia ni malaya wa kutupwa na hilo linajulikana waziwzi kabisa. Ila alipompata kimwana wa Kimorrocco. Akapiga stop mke mkubwa kamtupa nje kwa talaka. Akaanza kuvinjari na nyumba ndogo kama first lady. Ila sasa nadhani akawa anammiss mke wake wa kwanza hadi akawa anamfuata kwa siri. Ila sasa mambo yakaaza kufanyika kiwazi hadi amemnunulia jumba kubwa sana la kifahari (kumbuka ni tax za wananchi). Nyumba ndogo hasira juu kafunga vilago na hajulikani alipo ila wanahisi karudi kwao.

Siwezi kusema ni tabia za wanaume wa kiafrika japokuwa ndio asilimia kubwa tunasikia story ndio hizi hizi. Ila pale inapofanyika kwenye high offices, inatia mashaka.

Lucy Kibaki ndio kabaki kituko huko Kenya. Huku kwetu East Africa kidogo kuna kale ka-aibu sijui niseme ila tukiamua kufungua paa za nyumba za watu tuone kinachoendelea- maumivu matupu.

Kwa ubora wa 1st ladies, Kwa kweli I will stick with Salma Kikwete. She is a huge improvement kutoka kwa Anna Mkapa, Japokuwa wa Mali naye ni mzuri ila kuna picha kadhaa za huyu bibie wa Mali nazo zinatia shaka kuhusu rangi yake ya ngozi kama ni halisi. Picha yake tuliyonayo naona it has been doctored na ndio formal picture ya first lady, need we say more.

Hii ya Obasanjo kulala na mkwewe niliipata Sullivan ila sikuamini kumbe kweli!Mashallaaaaaaaaaaah!Mola Atuepushe.
 
Miwani utafikiri dubwana la kutoka kwenye "The Matrix"

Huyu naye nasikia bonge la spender shopping zote France.Nasikia kila anachovaa mpaka 'chupi'(ulimi hauna mfupa) ni designer made.yeye akina dior,versace,d&c,victoria secrets zinamuhusu 100%
 
eeeeh bwana ehh... First Lady wa Gambia aminia... no wonder husband ana-claim he can cure aids... Dont kno about brains lakini on principles of beauty alone... hand down she takes the crown....

Sijui nani alisema mwanamke nywele.
Mwanamke shingo bwana!

.
 
Sasa Liberia wana First Gentleman? first First Gentleman wa Africa so to speak?
 
He died sometime back after they got divorced. and this was way before she had her eyes set on the presidency. So if you are talking about Africa having a first gentleman, we may have to wait until I become the president of Tanzania.........😉 (As if I will ever become one🙄)
 
Beauty is in the eye of the beholder

Here is the Mali first lady, She is really beautiful but she puts on so much makeup!!
mali.h11.jpg

Another picture of the lady
flotus_visit-100.JPG

pressrelease.jpg

You be the judges.
 
Nimejaribu kufuatilia mtanange huu wa ma-first ladies na nilitaka kupata habari kutoka kwa Mswati. Inakuwaje, mbona mpaka dakika hii ziiii?

huenda wadau wameshindwa yupi wa kuweka. Hata kama wako mia weka wote nao wapigiwe kura huenda ikamsaidia kuchagua na kupunguza wengine maana jamaa anasoma humu.
 
Hapo nimekupata na imebidi nicheke kwanza maana hapo kwa Mswati
hapatoshi.Kwanza idadi ya hao wake zake ni ngapi vile? A'fu yupi sasa
ndiye mkewe ambaye anachukuliwa kama 1st lady?...Mwanamume kiwembe huyu mpaka kuna samtaimu inabidi niseme acha tu!!!!
 
Back
Top Bottom