Afariki kwa ajali ya 'ungo' jioni hii

Afariki kwa ajali ya 'ungo' jioni hii

Nawaza angekuwa ameanguka na kuumia. Ingebidi Apewe PF3 sijui pollisi wangeelewa mazingira ya ajali? Mungu aihifadhi roho yake sehemu aliyojichagulia enzi za uhai wake
 
Perfectly said mkuu! Wangefanya postmortem investigation immediately wangegundua aliuwawa ama kwa kunyongwa au kwa njia nyingine! Sijui kwa nini watanzana tumetekwa nyara hivyo na dhana nyepesi na potofu hivyo kwamba hatuwezi ku - reason things out! This is just too low for us to believe cheeply karne hii! Good grief! Pumzika kwa amani wewe uliyeuwawa kwa sababu tusizozijua na sasa WAPUMBAVU wanaaminishwa eti ulipata ajali ya ungo!
Yote mliyoyasema yaweza kuwa sahihi pia. Lakini mnachokosea kubishi hapa kwamba watu hawawezi kusafiri kwa ungo. Labda niwaulize, tangu dunia iumbwe hii, hakuna kitu kinaitwa uchawi?
Kama ni kuchangia, kwanini tusiuchambue uchawi wenyewe, ili tusiojua tukaweza kuelimika?
Unapobishi kavukavu kwamba uchawi haupo utakuwa umefanya utafiti gani na kutangaza matokeo ya utafiti wako kisayansi?
Unaposema tu uchawi haupo, unakuwa hauelimishi bali kujenga ubishi na kuuhalalisha kwamba ndiyo ukweli.
Watu wanapanda fisi Mwanza to Dar! Halafu utabishi kuwa fisi ni mdogo sana na hana kasi ya kukimbia usiku mmoja tena kwa muda mfupi kilometa zotehizo!
Hivi vilio vya walimu kuamka wamelazwa uwanjani wakati walilala majumbani mwao tena kwa kugongomela milango na mabao,huwa ni jokes ama nini?
Msomi mzuri siku zote bishi kwa kutumia kanuni ulizozitafiti, kuliko kubishi kavukavu bila vielelezo.
Hawa maalbino kadhia wanazopata chanzo chake ni nini?
Jamani uchawi upo na wachawi wapo.
 
Nakubaliana kabisa na utafiti ule wa 4-1. Habari haijathibitishwa watu wameshajudge. Pia ule utafiti mwingine wa watanzania Kuwa na lowest IQ duniani. Tunadakia sana vitu. Too much umbea.
Wee ndo mbeya zaid maana unautafuta kwa nguvu unatamani atokee akwambie hadi jina la huyu mwanga upate cha kuhadithia wenzio[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Halafu mbona katumia ndege chakavu,huenda ndo sababu,muhimu angetafuta mpya ukikosa airbus hata bombadia unaanzia nayo
 
Watakua wamempiga ban moja amazing
Kisa
Mbona maiti imeshika kichwa!? Huyu itakuwa alipita shortcut juu ya kanisa la walokole!![emoji12][emoji12]
Kweli "shortcut ni wrongcut"

Ungo Airways-Dash 47859,Registered Ufipa
Alikuwa katika uzinduzi
Amekufa kishujaa,naamini kabisa kwamba wenzie waliokuwa wanasuria landing yake,wanajua kosa lililofanya Air Ungo ianguke.Hope wataifanyie marekebisho.

Na kwa Ungo huo ulivyochakaa,inaoneakana jamaa ni Rubani mzoefu.Tatizo lake moja tuuu,ni bahili saana wa kununuaa Ungo Mpya,hapo ulipotoboka ndipo alipoangukia,maana ukiwa angani unakuwa mdogo kama popo

hamna kitu kama hicho. Uchawi hamna na story za ungo ni uongo

Hivi mshana jr si ndo scorpion?

Au aligongwa na bombadia nini?

Ndo yeye kapata ajali ya ungo nini

Braza njoi

Nimeangalia lakini naona ingekuwa bora ikawa Airbus, maana hii Bombardier abiria kama hatoshi kukaa humo.

Au vipi mkuu?

Ngoja kwanza

Yaguduma nakahayele

Junapili jamani nimeshasema tunamwaga maombi nchi nzima kwa hio wachawi tulizaneni majumbani mwenu mtakufaa
 
Kuna mdau alihusanisha tukio la kukamatwa kwa scorpion na Mshana Jr. kwamba huenda scorpion ni yeye! Maana tangu amekamatwa na yeye hajaonekana hapa jamvini!
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Atakuwa ndo scorpion yule
 
Ameanguka na ungo na kufariki.
Imetokea jioni hii maeneo ya Kijichi. Hapa maiti ikishushwa katika gari la Polisi kuhifadhiwa hospitali ya Temeke.

Chanzo cha ajali hakijajulikana uchunguzi unaendelea

Na ungo kuuweka ju yamaiti in amaanisha nini? hii kama si Edit picha, basi ni comedy show. .
 
Nawaza angekuwa ameanguka na kuumia. Ingebidi Apewe PF3 sijui pollisi wangeelewa mazingira ya ajali? Mungu aihifadhi roho yake sehemu aliyojichagulia enzi za uhai wake
Mi nawaza tu huyu marehemu atatambuliwaje na nduguze.. Au atazujwa na manispaa haha unaweza kuta route ilikuwa sumbawanga mwanza[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji15] [emoji15] [emoji115] [emoji23] [emoji134] [emoji134] [emoji134]
 
Mtanganyika na asili yake.....
Haya mambo yangekuwa yanafundishwa tu lakini uchawi ni siri siri tu
 
Yote mliyoyasema yaweza kuwa sahihi pia. Lakini mnachokosea kubishi hapa kwamba watu hawawezi kusafiri kwa ungo. Labda niwaulize, tangu dunia iumbwe hii, hakuna kitu kinaitwa uchawi?
Kama ni kuchangia, kwanini tusiuchambue uchawi wenyewe, ili tusiojua tukaweza kuelimika?
Unapobishi kavukavu kwamba uchawi haupo utakuwa umefanya utafiti gani na kutangaza matokeo ya utafiti wako kisayansi?
Unaposema tu uchawi haupo, unakuwa hauelimishi bali kujenga ubishi na kuuhalalisha kwamba ndiyo ukweli.
Watu wanapanda fisi Mwanza to Dar! Halafu utabishi kuwa fisi ni mdogo sana na hana kasi ya kukimbia usiku mmoja tena kwa muda mfupi kilometa zotehizo!
Hivi vilio vya walimu kuamka wamelazwa uwanjani wakati walilala majumbani mwao tena kwa kugongomela milango na mabao,huwa ni jokes ama nini?
Msomi mzuri siku zote bishi kwa kutumia kanuni ulizozitafiti, kuliko kubishi kavukavu bila vielelezo.
Hawa maalbino kadhia wanazopata chanzo chake ni nini?
Jamani uchawi upo na wachawi wapo.
Umejenga hoja vizuri lakini bahati mbaya umeidhalilisha kwa kushindwa kuonyesha vielelezo vya kitafiti finavyothibitisha uwepo wa uchawi kwa kiwango unachosadiki. Labda kama wewe ni MCHAWI, toa uthibitisho UTAFITI wako wa KISAYANSI wa hivyo unavyovisemea kwa kujiami:
  • Watu kupanda fisi Mwanza to Dar
  • Mtu "walimu" (na sijui kwa nini walimu!) kuamka wamelala nje
  • Mfupa wa albino unakupatiaje utajiri
Kanuni za kisayansi zinasema hatuwezi kuanza kuthibitisha kuwa kitu kipo wakati hakuna uthibitisho kuwa kipo. Madhali wewe unao uthibitishao wa KISAYANSI (kama unavyosema) kuwa uchawi upo basi tuthibitishie kwanza angalau kwa mifano hai hayo uliyosema hapo juu ndipo udai uthibitisho pinganifu. Vinginevyo wewe endelea kuwa MJINGA TU!
 
Back
Top Bottom