Afariki kwa ajali ya 'ungo' jioni hii

Afariki kwa ajali ya 'ungo' jioni hii

Lakini Bombadia yake haijaumia sana. ATCL wanaweza kuinunua na kuifanyia maintenance kidogo tu.
 
Hivi na hali ngumu hii ya maisha kumbe kuna watu wanawanga?
 
police bongo ni shida bila kufanya utafiti wao washapata majibu wanachukua maiti hawajui kafariki kwa tatizo lipi hawavai groves washaambiwa mchawi basi ndio jibu...labda kauwa na katupwa na ungo na kavuliwa nguo hizo?
 
Kama wanavyo msafisha scopion, hyu nae ndugu zake watakuja kusema kuwa hakuwa mchawi ila alikuwa fundi tu sasa alikuwa amefanyia service huo ungo akawa anaufanyia majaribio (test drive) ndo ukaanguka akakufa
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Hii kitu ya ungo ni imagination haiwezekani hata kidogo eti mtu apande kwenye ungo.

1. Serikari ifanye uchunguzi wa kina yawezekana watu wamefanya mauaji halafu waka plot scene ili kufunika uovu wao

2. Kwa kuwa jamii ilishalishwa dhana ya uongo ya watu kusafiri na ungo wamekuwa obsessed na illusion hiyo na hivyo kufunika hata uwezo wao wa kufikiri nje ya box na kubakia wakiamini kile wanachokiona na macho ya kawaida.

3. Ni mara nyingi watu wameshambuliwa na wengine hata kuuawa kwa imani za kijinga kama hizo pale ambapo waganga matapeli wa kienyeji wanapo kula deal na mtu kwa kumpaka mazizi na kumbebesha ungo na kujifanya eti amemtungua kwa nguvu zake ili apate wateja.

Hivyo , mtu huyo achunguzwe ni wawapi, ndugu zake, mara ya mwisho alionekana na nani au aliwasiliana na nani au alikuwa na uadui na nani.
Mkuu hii hoja nimejadiliana sana na state attorneys kuwa they should open up the box and think beyond what they see in its face. Kwangu mimi doubt inaanzia kwenye huo ungo, then watafute cause of death.
 
Ndiyo, kuna uzi mmoja (siukumbuki jina) kuna mwanajf alimuuliza,"bado upo Johannesburg", akajibu,"hapana,sasa hivi nipo Bongo ila natarajia kwenda weekend hii". Nakumbuka ilikuwa October 6 ndo alitoa jibu hilo
Ameenda kuroga nn huko[emoji12] [emoji12] [emoji12]
 
Kuna kiungo kati ya ugoko na ugoko sijakielewa vizuri
 
Back
Top Bottom