Afariki kwa ajali ya 'ungo' jioni hii

Afariki kwa ajali ya 'ungo' jioni hii

Hivi katika matukio ya ajali kwa mwaka hii nayo inawekwaje maanake si imethibitika, pia itabidi sattelite zifungwe angani kwa hali hii!!!
 
Kweli wanga na maajabu yao,ss kiungo iko kinarukaje juu bila ya kuwa na engine!
 
Nakubaliana kabisa na utafiti ule wa 4-1. Habari haijathibitishwa watu wameshajudge. Pia ule utafiti mwingine wa watanzania Kuwa na lowest IQ duniani. Tunadakia sana vitu. Too much umbea.
 
Pia itabidi wenye shughuli hizi wawe wanalipia kodi na aviation licence na Insurance Sumatra kwa kurusha na usalama wao na ndege zao pindi wanapopata ajali
 
Tatizo service kwenye huo ungo ilikuwa si ya mara kwa mara ndio maana, juzi kapita nikamuona ila nikakausha.
 
Hii kitu ya ungo ni imagination haiwezekani hata kidogo eti mtu apande kwenye ungo.

1. Serikari ifanye uchunguzi wa kina yawezekana watu wamefanya mauaji halafu waka plot scene ili kufunika uovu wao

2. Kwa kuwa jamii ilishalishwa dhana ya uongo ya watu kusafiri na ungo wamekuwa obsessed na illusion hiyo na hivyo kufunika hata uwezo wao wa kufikiri nje ya box na kubakia wakiamini kile wanachokiona na macho ya kawaida.

3. Ni mara nyingi watu wameshambuliwa na wengine hata kuuawa kwa imani za kijinga kama hizo pale ambapo waganga matapeli wa kienyeji wanapo kula deal na mtu kwa kumpaka mazizi na kumbebesha ungo na kujifanya eti amemtungua kwa nguvu zake ili apate wateja.

Hivyo , mtu huyo achunguzwe ni wawapi, ndugu zake, mara ya mwisho alionekana na nani au aliwasiliana na nani au alikuwa na uadui na nani.
Kwahiyo unaamini uchawi haupo?
 
Acha ubishi uchawi upo,......kuna jamaa walipaa na ungo pale mawasiliano ubungo mchana kweupe na watu kushuhudia..ili wawaonyeshe ambao hawaamini......NATAMANI UNGEKUWEPO SIKU HIYO HALAFU UONE.....Hata biblia na misahafu vinasema uchawi upo.
Mkuu hao wanaandika tu kwenye keyboard tu
 
Labda Lada za Jeshi zimedetect hako ka Ungo, wakakasukumia mbali! Teh . . . Teh
 
Back
Top Bottom