Dah umenikumbusha story moja ya mzee wa kinyakyusa aliyekua anasafiri kwenye public transport.ahahaaa bombadia ya kinyakyusa
Sio kuruka ni kupaaHatar asee mimi hua siamini kama kweli ungo hua unaruka
Inaelekea unautaalam wa kutosha na issue hizo.Ungo Airways-Dash 47859,Registered Ufipa
Alikuwa katika uzinduzi
Amekufa kishujaa,naamini kabisa kwamba wenzie waliokuwa wanasuria landing yake,wanajua kosa lililofanya Air Ungo ianguke.Hope wataifanyie marekebisho.
Na kwa Ungo huo ulivyochakaa,inaoneakana jamaa ni Rubani mzoefu.Tatizo lake moja tuuu,ni bahili saana wa kununuaa Ungo Mpya,hapo ulipotoboka ndipo alipoangukia,maana ukiwa angani unakuwa mdogo kama popo
Kiserikali uchawi haupo !! Sasa huo uchunguzi wa kitu kisichokuwepo unafanyikaje!!??
Nakiri kuwa mimi na wewe tunaishi dunia mbili tofauti kabisa. Hicho unachokiamini kwa kishindo hakipo kabisa katika imagination zangu. Pili huo wasifu ulionitengenezea naukataa, labda ni wako wewe.Wewe kijana wasifu wako: umezaliwa mjini na bado unaishi mjini,umesoma kidogo lakini hujaelimika,hutaki kujifunza mambo ambayo wewe unahisi ni ujinga,pia unatabia ya ubishi na ujuaji.
Ushauri wangu,usiende mikoa ya watu kisha ukasema uchawi haupo, watakuonyesha kuwa uchawi upo lakini kwa mateso mengi.
Biblia na Qur'an vitabu vyote viwili vinakili uwepo wa uchawi na wachawi.
Hata serkali huwa inatumia uchawi kuwazindika viongozi wakuu.
Acha maneno, hatuna ungo kwetu!!ahahaaa bombadia ya kinyakyusa
Miss hala hala! Wanyakyusa hawana huo uswahili bhana!ahahaaa bombadia ya kinyakyusa
Most people don't think outside the box at all! We Tanzanian 've got a long walk to deal with this syndrome on delusory beliefs. It is too low and is constantly holding back our progress in many many ways. So sad.Mkuu hii hoja nimejadiliana sana na state attorneys kuwa they should open up the box and think beyond what they see in its face. Kwangu mimi doubt inaanzia kwenye huo ungo, then watafute cause of death.
Hapa nimeachwa(Ras Simba anahusika)Most people don't outside the box at all! We Tanzanian 've got a long walk to deal with this syndrome on delusory beliefs. It is too low and is constantly holding back our progress in many many ways. So sad.
It's obvious hukuwa unafanya homework za English kama yule Sebastian wa Mbeya...... just a joke bossHapa nimeachwa(Ras Simba anahusika)