Afariki kwa ajali ya 'ungo' jioni hii

Afariki kwa ajali ya 'ungo' jioni hii

Kuna mdau alihusanisha tukio la kukamatwa kwa scorpion na Mshana Jr. kwamba huenda scorpion ni yeye! Maana tangu amekamatwa na yeye hajaonekana hapa jamvini!
Ndo mwenyewe...alivuma kupost maushirikina kaishia kufanya practical mchana kweupe bila hiana... kanyofoa macho ya mtu asiyekuwa na hatia live...
 
Inasemekana hawa jamaa nao ungo ukipata itilafu hupaza ile sauti ya 'MAYDAY MAYDAY' kama wafanyavyo marubani wa ndege na helikopta.
Hawa jamaa watakuwa na kituo cha mawasiliano tu, wachunguze kile kisanduku cha black box, ila naona huyu alifungiwa red box kama kinavyoonekana kwenye picha, wataujua ukweli.
 
Alikosea kusafiri siku ya Jumapili watu wapo makanisani sasa nguvu za Maombi zimezidi nguvu zake.Iwe fundisho kwa wachawi wengine watafute siku nyingine za kusafiri kwa ungo na si Jumapili watu wapo ibadani,
 
Back
Top Bottom