Afariki kwa ajali ya 'ungo' jioni hii

Afariki kwa ajali ya 'ungo' jioni hii

Huyu sio njaa ndo imemuangusha kweli mana kwa hilo tumbo ni kama ana wiki hajala.
 
Kuna mdau alihusanisha tukio la kukamatwa kwa scorpion na Mshana Jr. kwamba huenda scorpion ni yeye! Maana tangu amekamatwa na yeye hajaonekana hapa jamvini!
Duh, watu noma Ila mi siamini hicho kitu coz mshana Jr mambo yake ni ya kigiza Giza Yale Ila sio ya kuua ua
 
Back
Top Bottom