Afariki kwa ajali ya 'ungo' jioni hii

Afariki kwa ajali ya 'ungo' jioni hii

Yaani haya mambo ukiwa unamsimulia mtu anaweza akadhania ni story za kutunga,kumbe huku kwetu ni vitu vipo kabisa.
 
Hivi kazi ya Traffiki ni nini hadi ajali kama hizo zinatokea wanatakiwa kuzuia.
 
Hii kitu ya ungo ni imagination haiwezekani hata kidogo eti mtu apande kwenye ungo.

1. Serikari ifanye uchunguzi wa kina yawezekana watu wamefanya mauaji halafu waka plot scene ili kufunika uovu wao

2. Kwa kuwa jamii ilishalishwa dhana ya uongo ya watu kusafiri na ungo wamekuwa obsessed na illusion hiyo na hivyo kufunika hata uwezo wao wa kufikiri nje ya box na kubakia wakiamini kile wanachokiona na macho ya kawaida.

3. Ni mara nyingi watu wameshambuliwa na wengine hata kuuawa kwa imani za kijinga kama hizo pale ambapo waganga matapeli wa kienyeji wanapo kula deal na mtu kwa kumpaka mazizi na kumbebesha ungo na kujifanya eti amemtungua kwa nguvu zake ili apate wateja.

Hivyo , mtu huyo achunguzwe ni wawapi, ndugu zake, mara ya mwisho alionekana na nani au aliwasiliana na nani au alikuwa na uadui na nani.
nakuunga mkonyo
 
Umejenga hoja vizuri lakini bahati mbaya umeidhalilisha kwa kushindwa kuonyesha vielelezo vya kitafiti finavyothibitisha uwepo wa uchawi kwa kiwango unachosadiki. Labda kama wewe ni MCHAWI, toa uthibitisho UTAFITI wako wa KISAYANSI wa hivyo unavyovisemea kwa kujiami:
  • Watu kupanda fisi Mwanza to Dar
  • Mtu "walimu" (na sijui kwa nini walimu!) kuamka wamelala nje
  • Mfupa wa albino unakupatiaje utajiri
Kanuni za kisayansi zinasema hatuwezi kuanza kuthibitisha kuwa kitu kipo wakati hakuna uthibitisho kuwa kipo. Madhali wewe unao uthibitishao wa KISAYANSI (kama unavyosema) kuwa uchawi upo basi tuthibitishie kwanza angalau kwa mifano hai hayo uliyosema hapo juu ndipo udai uthibitisho pinganifu. Vinginevyo wewe endelea kuwa MJINGA TU!
Wewe kijana wasifu wako: umezaliwa mjini na bado unaishi mjini,umesoma kidogo lakini hujaelimika,hutaki kujifunza mambo ambayo wewe unahisi ni ujinga,pia unatabia ya ubishi na ujuaji.
Ushauri wangu,usiende mikoa ya watu kisha ukasema uchawi haupo, watakuonyesha kuwa uchawi upo lakini kwa mateso mengi.
Biblia na Qur'an vitabu vyote viwili vinakili uwepo wa uchawi na wachawi.
Hata serkali huwa inatumia uchawi kuwazindika viongozi wakuu.
 
Ndo mwenyewe...alivuma kupost maushirikina kaishia kufanya practical mchana kweupe bila hiana... kanyofoa macho ya mtu asiyekuwa na hatia live...
Scorpion= mshana jr
Ndo yeye kapata ajali ya ungo nini

Braza njoo
Watakua wamempiga ban moja amazing
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Atakuwa ndo scorpion yule
Jamani jamani! Ieleweke mshana jr yupo Afrika Kusini akirudi atatujulisha alifuata nini huko, maana wa South Africa wanafungua chuo cha uchawi kitakachotoa mpaka Degree, naomba tuwe watulivu
 
Jamani jamani! Ieleweke mshana jr yupo Afrika Kusini akirudi atatujulisha alifuata nini huko, maana wa South Africa wanafungua chuo cha uchawi kitakachotoa mpaka Degree, naomba tuwe watulivu
[emoji12] [emoji23] [emoji23] [emoji23] sawa mkuu
 
Hii kitu ya ungo ni imagination haiwezekani hata kidogo eti mtu apande kwenye ungo.

1. Serikari ifanye uchunguzi wa kina yawezekana watu wamefanya mauaji halafu waka plot scene ili kufunika uovu wao

2. Kwa kuwa jamii ilishalishwa dhana ya uongo ya watu kusafiri na ungo wamekuwa obsessed na illusion hiyo na hivyo kufunika hata uwezo wao wa kufikiri nje ya box na kubakia wakiamini kile wanachokiona na macho ya kawaida.

3. Ni mara nyingi watu wameshambuliwa na wengine hata kuuawa kwa imani za kijinga kama hizo pale ambapo waganga matapeli wa kienyeji wanapo kula deal na mtu kwa kumpaka mazizi na kumbebesha ungo na kujifanya eti amemtungua kwa nguvu zake ili apate wateja.

Hivyo , mtu huyo achunguzwe ni wawapi, ndugu zake, mara ya mwisho alionekana na nani au aliwasiliana na nani au alikuwa na uadui na nani.
Wewawapi bongo hii ama
 
chanzo hakijukikani? aiwezekani bana polisi wachunguze.... ehehee
 
Back
Top Bottom