Advocate Maira is no more!

So I am only close to the kids of his first wife

mmhh ;RIP MAIRA

POLE SECOND WIFE N OTHERS
 
Ninaomba magereza wafanye ubinadamu kwa kumruhusu Abdallah Zombe akamuge katika safari hii ya mwisho ya mwanasheria wake.

pole ndugu Zombe,mungu akupe subira
 
...kisura nimeipenda Avatar yako, vipi walumendago washafanya mambo?? nani kapiga hiyo free kick?

Mkuu usione kichaka tayari mfadhaiko duh! mweh!
RIP Maira tupo pamoja ndugu wa marehemu Amen.
 
RIP Moses
I have no peace, no quiet, and no rest; nothing but pain comes on me.
God is reaping his farm,blessed b his name
 
RIP Maira; he was our very good lawyer when I was DARUSO President in 1998/99. The only lawyer who defended our students' body without a fee. He was a lawyer cum activist; this type of lawyers are not many in our country. We will definitely miss him dearly.
 
RIP Advocate Maira,

Mungu awajaalie heri na uvumilivu wanafamimilia katika kipindi hiki kigumu.

Pole kwa mawakili na wanasheria kwa kuondokewa na wakili mwandamizi.
 
Duh..nilikuwa naombea hii isiwe kweli..

Pole sana Arnold na ndugu wote kwa msiba huu mzito kwenye familia. Mungu awape nguvu mpite kwa amani katika majaribu haya.
 
Ninamkumbuka Maira wakati akiwawakilisha wanasiasa waliokuwa wanapigania usawa katika mfumo wa kidemokrasia wa vyama vingi. Ninatambua kazi zake nzuri sana katika kesi ambazo baadhi alikuwa akimwakilishwa mchungaji Mtikila na hasa kuhusu hoja ya mgombea binafsi

Bwana ametoa na pia ametwaa, kumbukumbu ya Maira haitapotea

Kazi iliyo katika kitabu na majalada haipotei, heshima hupata hata kama haiheshimiwi
 
Rip Hon. Maira

Dillunga is that a crime? especially if it is done in a friendly and chatting way tena under the influence of alcohol? Au walikuwa wanagombana kiukweliii?
 
Yesterday, Mr Msemwa said: "He had laid down a strong base for the defence team before he left. There is no gap which he left unfilled".

Hizi kauli nyingine jamani!
 
RIP Maira; he was our very good lawyer when I was DARUSO President in 1998/99. The only lawyer who defended our students' body without a fee. He was a lawyer cum activist; this type of lawyers are not many in our country. We will definitely miss him dearly.

I remember those hard times. RIP Advocate Maira
 
Waakili maarufu nchini ,Moses Maira amefariki dunia usiku wa kuamkia jana jijini boston nchini marekani alikoenda kuchunguza afya yake tangu November mwaka jana,shughuli za mazishi zinaendelea nyumbani kwa marehemu tabata jijini dar es salaam
 
Shukran ndugu

Lakini hii imeshatoka tangu jana with Title in English

Thanks anyway
 
...Mkuu hii siyo mahala pake hapa maana hayupo kujitetea au kuboresha alichosema. Nakusihi weka tofauti pembeni usimkaripie wala kumuonya kwa mapungufu yake kwa sasa. HAYUPO

Unasema, kwa sababu hayupo kujitetea basi asikaripiwe na kuonywa kwa sasa. Atakuwepo lini? Tunaposema marehemu mbunge mstaafu alikuwa kinara wa ngono na wasichana wa shule, yeye huwa yupo kujitetea?


Dillunga is that a crime? especially if it is done in a friendly and chatting way tena under the influence of alcohol? Au walikuwa wanagombana kiukweliii?

Hapana lakini si jinai peke yake ambayo inaichukiza jamii. Alichofanya ni mvunjo wa maadili yanayotegemewa wakili wa hadhi yake. Na hayakuwa "maneno ya kirafiki ya kupiga soga." La hasha. Alikuwa na uhasama wa wazi na Nimrod Mkono mpaka wakaandikiwa sihi ya wazi, kama sio onyo, na Baraza la Sheria la Tanganyika, kwamba majibizano yao yameitia aibu kazi yao, na kwamba waache "kuifanyia fujo fikra ya fani."

Walivunja maadili yao, yeye na Mkono walipolumbana magazetini kwamba wanazidiana utajiri, na kwamba mwingine ni mpumbavu wa kutupwa, na mwingine alikuwa sio mwanafunzi mzuri mpaka akachukua miaka minne kumaliza kozi ambayo mwenzake "angeilamba" katika mwaka mmoja. Hawakuwa mfano mzuri.
 
Last edited:
Unasema, kwa sababu hayupo kujitetea basi asikaripiwe na kuonywa kwa sasa. Atakuwepo lini? Tunaposema marehemu mbunge mstaafu alikuwa kinara wa ngono na wasichana wa shule, yeye huwa yupo kujitetea?.......

Mkuu
wakati wa uhai wake ulikuwa wapi kuyasema yote hayo mpaka ukasubiri mautini ndo umnange? Pamoja na maendeleo ya kifikra na teknolojia, tunapaswa KUTOSAHAU taboos zetu muhimu, ikiwa ni pamoja na kutowananga marehemu.
Au kwa ushauri kuntu naweza kukuambia subiri matanga yaishe na arobaini zake zipite kisha ndo uje kutupa nasibu za marehemu. Ila kwa sasa unachokifanya ni sawa na kusema bora amekufa ambapo si hekima hata kidogo. Jaribu kukumbuka UTU wako ktk kipindi hiki kizito kwa familia yake kisha ndo tuanze kuwarushia madongo wakishaanua arobaini ya marehemu.
Ni hayo tu mkuu
 
Back
Top Bottom