Advocate Maira is no more!

Katika eulogy ya Malcolm X Osie Davis alisema.

If you don't know the man, do not mudsling the man, especially based on some few google results pointing to half baked, good for nothing, fact starved, first account lacking, worse than toilet paper printouts that cannot even be qualified as yellow journalism, for doing that would be belittling yellow journalism.

This is not the stuff of yellow journalism though. I am only reasserting what the the Law Society took umbrage for. It should not matter whether it is recorded on Google or on Jamiiforums, or Ask Jevees.

The truism could not be clearer here: if you reveled in unethical publicity, you lived in the newspapers, in evening tabloids, on the internet, then you will die in the newspapers, in the tabloids, on the internet.

If you lived a life unbecoming a respected barrister, you besmeared, you besmirched the name, character and ethics of men of letters of the Bar then that record will follow you to the grave. You are what your record is.

If you lived a tawdry-mouthed, uppity-uppity, attention grabing life on the fast lane, so base that the Tanganyika Law Society writes to publicly repudiate your behavior, telling you to stop flashing your money, then when you die people will probably, just probably, remember you for that too.

In his behavior,the late Moses Maira and his nemesis, Nimrod Mkono failed to uphold the degree of rectitude expected of highly visible, example-setting, attorneys. He affected me, I looked up to him, I'm sorry.
 
Moses wa Maira nilimkuta mara ya kwanza akiwa darasa la 12 (na akina Kapuya) nilipoingia darasa la 13 hapo Tabora School. Mwaka uliofuata aliingia darasa la 13 nikiwa la 14.

Mkono akajiunga na Shinyanga Sec School darasa la 13 lakini kwa sababau majengo yao yalikuwa bado kumalizika, waliletwa Tabora School.

Nikaenda Mlimani..tukafukuzwa...tukarudishwa kuanza mwaka mpya 1967 na akina Maira na Mkono (ambaye nilikuwa naye Middle School akiwa nyuma yangu mwaka mmoja).

Wote tukatoka Class ys 1970 - ya akina Issa Shivji, Augustine Ramadhani na wengi tu!

YEGO MOSES wa MAIRA, NUWISHE OMWOYO (PUMZIKA)!
 
Heheheheee...I love JF! Maana wakati mwingine watu hujifanya kuwajua sana watu....

Mimi huyu Maira simjui na wala sikuwahi kumsikia hata siku moja...

Sasa Bimkubwa anampa pole mke wa pili na WoS anakuja kusema mke wa pili alishaaga dunia siku nyingi.....oooh well

Ndo maana nasemaga hapa JF sio mahali pa kupatia habari za kweli. Ni kijiweni tu hapa
Mjini hapa tunasema changa la macho........wewe hujui hao mkuuu? hata wewe NN zikamate $$$ uone utaanzishiwa thread ya kukusifia.....


Walivunja maadili yao, yeye na Mkono walipolumbana magazetini kwamba wanazidiana utajiri, na kwamba mwingine ni mpumbavu wa kutupwa, na mwingine alikuwa sio mwanafunzi mzuri mpaka akachukua miaka minne kumaliza kozi ambayo mwenzake "angeilamba" katika mwaka mmoja. Hawakuwa mfano mzuri.

mimi ndio maana huwa watu wa namna hii sisemi RIP.....ataju huko huko atakapokwenda.......hata chenge,mkapa na wenzake leo wakifa mtaona RIP hapa....
 
Nikaenda Mlimani..tukafukuzwa...tukarudishwa kuanza mwaka mpya 1967 na akina Maira na Mkono (ambaye nilikuwa naye Middle School akiwa nyuma yangu mwaka mmoja).

Kumbe mmeanza kufukuzwa na kurudishwa Mlimani toka mwaka 67, halafu siku hizi vijana wakifukuzwa mnasema hawataki kusoma, wamebweteka, wakati wanagoma kwa kutetea hela ya wazazi.

Hata siku moja husikii wazazi wamewatetea vijana kwenye migomo yao. Mnasahau mlikotoka. Ndio haya kila mzazi anakwambia yeye alikuwa wa kwanza darasani, sijui mzazi wa nani alikuwa wa kumi.
 
Heheheheee...I love JF! Maana wakati mwingine watu hujifanya kuwajua sana watu....

Mimi huyu Maira simjui na wala sikuwahi kumsikia hata siku moja...

Sasa Bimkubwa anampa pole mke wa pili na WoS anakuja kusema mke wa pili alishaaga dunia siku nyingi.....oooh well

Ndo maana nasemaga hapa JF sio mahali pa kupatia habari za kweli. Ni kijiweni tu hapa

tuache kebehi na utani kwenye vifo vya watu.Grow up!
Hivi kweli, hata ingekuwa wewe uone mtu aliyekwishaaga dunia anapewa pole ( huende aliyetoa pole hajui kama huyo mtu hayupo tena kuna ubaya kufahamishwa?)
Halafu wewe, unajua mimi nina uhusiano kivipi na hiyo familia au ndo kujifanya unajua kukandia watu sana! Isitoshe kwani wewe ni nani hadi uone kwa vile hukuwahi kumsikia marehemu basi ni ishu- wewe
TUHESHIMIANE TAFADHALI HASA WAKATI KAMA HUU WA MAJONZI!
 
RIP Maira; he was our very good lawyer when I was DARUSO President in 1998/99. The only lawyer who defended our students' body without a fee. He was a lawyer cum activist; this type of lawyers are not many in our country. We will definitely miss him dearly.

Yes Kitila, he defended UCLAS (now ARU) students as well around 1999. He was a good man
RIP MAIRA
 
Astaghfirullah, astaghfirullah, astaghfirullah, mswalie mtume.

Namkumbuka wakili Maira alijitolea bila malipo kuichukua kesi ya vijana wa Sekondari ya Tambaza waliokumbwa na tafrani ya fujo za mpirani mwaka 1993.

La ilaha illallah.
 
Nyani Ngabu,swali for you if youdont mind me asking.

so lets say kesho au keshokutwa unakuja kusikia sasha amefariki hutajali wala kusikitika kwa sababu hunijui hata kama unaniona na-contribute jf.Is that right?.unless i quoted you wrong kuwa you dont care kuhusu huyu advocate maira kwa sababu humfahamu hata kiduchu.Marehemu Maira alivyo annoymous kwako ni sawa na mtu yeyote ambaye unabishana naye humu with annoymous ID.

Anyways RIP mzee Maira.
 
Lakini alitia aibu yeye na Mkono walipokuwa wanapigana madongo hadharani wakibishana nani ana hela zaidi, mara oooh, wewe umechukua miaka minne kumaliza kakozi ka mwaka mmoja, mara mimi ni lawyer mtenda maajabu kuliko wewe. Ilikuwa ni kuvunjiana heshima na proffesion yao mpaka Bar wakawaambia knock it off.

Katika maisha yako wewe umetia aibu mara ngapi? Let the man rest in peace!
 

Astaghfirullah, astaghfirullah, astaghfirullah, mswalie mtume.

Namkumbuka wakili Maira alijitolea bila malipo kuichukua kesi ya vijana wa Sekondari ya Tambaza waliokumbwa na tafrani ya fujo za mpirani mwaka 1993.


La ilaha illallah.

Kwa sababu mtoto wake alikuwa anasoma Tambaza pia. Alikuwa na sababu binafsi za kutetea ile kesi. Lingine?

Mzee Maira alishindwa kuwa mfano wa maadili kama wakili mwandamizi pale alipolegalega kimwenendo mpaka kukanywa na Tanganyika Bar Society akibishana na Nimrod Mkono magazetini ni yupi mwenye akili zaidi, na nani anamzidi mwenzake hela. Baadhi ya tuliotafuta mwongozo kwa hawa Wakubwa wetu tuliangushwa.
 
Dilunga niliandika... "Nikaenda Mlimani..tukafukuzwa...tukarudishwa kuanza mwaka mpya 1967 na akina Maira na Mkono (ambaye nilikuwa naye Middle School akiwa nyuma yangu mwaka mmoja)."

Lau kama ungejua msimamo WANGU kuhusu ya migomo ya wanafunzi usingeweza hata kidogo ku-insinuate hivyo!
 
Back
Top Bottom