Paka_Shume
Member
- Jun 22, 2007
- 60
- 5
Roho ya Marehemu ilale mahali pema peponi, Amina.
Nyani,
You do not want to hear the rest of it. Ngoja nimzike babu yangu. I knew of his kids here in America, well they are much younger than me. The closest by age was married in 1990. The others really close are back in DSM. First I do not want to call people in DSM based on some facts thrown in Jamii forums, we have seen that happen (Sheikh Yahya), secondly, I really need to be sure. Third, my relative practiced polygamy to its best. So I am only close to the kids of his first wife and not the others. Hope you get it.
kuna habari kuwa hon advocate MAIRA hayupo nasi tena, ameaga dunia akipata matibabu hapo marekani
REST IN PEACE OUR LEARNED BROTHER
Lakini alitia aibu yeye na Mkono walipokuwa wanapigana madongo hadharani wakibishana nani ana hela zaidi, mara oooh, wewe umechukua miaka minne kumaliza kakozi ka mwaka mmoja, mara mimi ni lawyer mtenda maajabu kuliko wewe. Ilikuwa ni kuvunjiana heshima na proffesion yao mpaka Bar wakawaambia knock it off.
My thoughts go out to the family--know that you have my greatest sympathy, and my heart is truly saddened. My sincere thoughts and prayers are with you.
Pumzika kwa amani Mzee Maira.
Nyani,
You do not want to hear the rest of it. Ngoja nimzike babu yangu. I knew of his kids here in America, well they are much younger than me. The closest by age was married in 1990. The others really close are back in DSM. First I do not want to call people in DSM based on some facts thrown in Jamii forums, we have seen that happen (Sheikh Yahya), secondly, I really need to be sure. Third, my relative practiced polygamy to its best. So I am only close to the kids of his first wife and not the others. Hope you get it.
...Mkuu hii siyo mahala pake hapa maana hayupo kujitetea au kuboresha alichosema. Nakusihi weka tofauti pembeni usimkaripie wala kumuonya kwa mapungufu yake kwa sasa. HAYUPO
ametangulia mbele ya haki amaenyamaa kimya akisubiri tumpatie haki zake za msingi za mazishi ya stahiki yake ili nasi tumfuate baadaye kila mtu kwa wakati wake na namna yake.
Pole kwa wafiwa. naamini kuna siku watu watasoma ktk wasifu wangu kwamba MSANII alikuwa member wa JF ktk uhai wake.
...kisura nimeipenda Avatar yako, vipi walumendago washafanya mambo?? nani kapiga hiyo free kick?
....Sina uhakika kama hayo maneno yako ni mahala pake hapa......!
RIP Maira