kat.ph
JF-Expert Member
- Dec 19, 2013
- 2,222
- 1,679
Siwezi kucheka na mtu yoyoye anae iunga mkono ccm kwa namna yoyote ile , kwani na jua jinsi CCM walivyo tutesa na kutunyanyasa watanzania kwa zaidi ya miaka hamsini.
Hasira zangu zitaishia kuto kununua kitu chochote watakacho kua wanauza hata kama ni gari la abilia basi sita panda.Kwa sababu najua hao ndio wanao chelewesha mabadiliko nchini, mfano gazeti la jambo leo, bongo movie, clouds media na wengine.
Huu ni msimamo wangu binafsi na hausukumwi na mtu yoyote.
Acha kutumia na huduma zote za kijamii. Umeme, maji, barabara na vingine vyote. Nakuunga mkono jembe😀:sly: