Adui yangu ni mtu yoyote anayeiunga mkono CCM

Adui yangu ni mtu yoyote anayeiunga mkono CCM

Sawa rudisha chama kimoja unachokipenda ili tusiwe maadui wako...
 
Vipi kuhusu umeme na maji mkuu????!!!!
Hospitali nazo na mashule???!!
Vipi barabarani nako hutopita???!!
Main Sewer system utaweka yako au utachimba cha shimo???!!!!

Mind you KUB anatumia gari ya hao wewe unaowazungumzia na chama kinapata ruzuku kutoka huko mfuko mkuu na wakikutana wao wanapiga story kama kawaida!!!!!!Observe your limits bana!!!!!

Hebu kuwa na busara kidogo mkuu haya mambo yanataka mpango kazi wa kuondoka point A mpaka B,sio mihemko tu sasa kiasi cha kupangia na wengine jinsi ya kuishi,weka mkakati watu wakiona unatekelezeka watakufuata tu sababu hakina apendaye dhiki!!!!!

Andika urithi kabisa mkuu just incase!!!!!

Jifunze kutofautisha kati ya sisiemu na Serikali. Sisisem ikifa leo hivyo vyote vitaendelezwa chini ya chama kingine chochote kitakacho chukua nchi.
 
Mind you KUB anatumia gari ya hao wewe unaowazungumzia na chama kinapata ruzuku kutoka huko mfuko mkuu na wakikutana wao wanapiga story kama kawaida!!!!!!Observe your limits bana!!!!!

Mind u gari la KUB halijatolewa na CCM wala ruzuku za vyama hazitoki Lumumba
 
huu upinzani wa chuki umesambazwa na cdm. Watu wanadhan kuwa mpinzani ni kumchukia mshndani wako!
Huku kupenda bwana na kuogopana kuambiana ukweli unatugharimu sana-Siasa hizi zimeanzishwa na Mwigulu Nchemba-Usijitoe fahamu
 
Acheni kutembea kwenye barabara zilizojengwa chini ya serikali ya ccm.... Ili tujue nyinyi mna msimamo wenu. Waseee....kweli nyie

Nani kakuambia kuwa wanaolipa kodi za kujengea barabara na kulipa deni la Taifa za hela zinazokopwa kujenga barabarani ni watu wa ccm ni nani?
Na kwa taarifa yako wanaokwepa kodi wengi wako ccm.
 
Jifunze kutofautisha kati ya sisiemu na Serikali. Sisisem ikifa leo hivyo vyote vitaendelezwa chini ya chama kingine chochote kitakacho chukua nchi.

If you can just point the line that separates the two practically!!!!!!!!
Not as they have been written/ought to be!!!!!!
Underlying processes (party) that results into observables (Govt) states the relationship that exists between the party and the government!!!!!!!!

And this is what you people are dying for! !!!!!! Authority to command the Govt!!!!
 
Mind u gari la KUB halijatolewa na CCM wala ruzuku za vyama hazitoki Lumumba

Sasa kama huwezi kuona uhusiano wa gari la KUB -Ruzuku na Lumumba wewe hata kura huna sababu ya kupiga sababu hujui rationale ya wewe kukubali au kukataa mgombea wa chama fulani!!!!
 
Back
Top Bottom