Avanti
JF-Expert Member
- Aug 24, 2010
- 1,209
- 240
Mkuu, misukule ya CHADEMA uwezo wake wa kufikiri ni mdoho sana. Inabwabwaja tu. jana Mburula mwenzao Henry Kileo alitangaza na kuhamasisha wasanii wasusie kazi za akina JB. Hii inanikumbusha Dr Slaa alivyokuwa analumbana na mchumba wake Rose Kamili eti kwa vile tu alikuwa ni Diwani wa CCM
View attachment 136842View attachment 136842
Halafu nasikia anagombea Uraisi kupitia CDM huyo mama. Sasa sijui anataka malumbano yaendelee.