OLESAIDIMU
JF-Expert Member
- Dec 2, 2011
- 19,139
- 9,575
He he he,naona siku hizi siasa zinaendeshwa kama mapenzi, hadi kususa?!
Yaaani kajamaa kamenisikitisha sana sasa sijui mkewe akiwa na.itikadi tofauti katamuacha???!!!
Yaani imagine baba yake ni chama tofauti???!!!!!
Au kawe kana soma halafu supervisor ni wa chama tofauti yaani mtu kama Prof Baregu akatae kusimamia PhD ya mwanafunzi mwanachama wa CCM au awatoe darasani???!!!
Au Lissu akatae kesi ya hivyo na Billicanas watu waingie kwa kadi!!!!!
Mtoto kama huyu bora ya jogoo utakunywa supu!!!!!!