KakaJambazi
JF-Expert Member
- Jun 5, 2009
- 18,830
- 12,314
Mi ntakua nadowload kwenye flash tu.
Viongozi wa ccm na vijipambe vyao kama wewe ndo empty skul
Sukari unatumia ya kiwanda gani mkuu? ???!!!!mkuu hayo nimapenzi yangu binafsi na naichukia abood kwakuwa ni kada hiyo nikweli na haizuiliki.
Siwezi kucheka na mtu yoyoye anae iunga mkono ccm kwa namna yoyote ile , kwani na jua jinsi CCM walivyo tutesa na kutunyanyasa watanzania kwa zaidi ya miaka hamsini.
Hasira zangu zitaishia kuto kununua kitu chochote watakacho kua wanauza hata kama ni gari la abilia basi sita panda.Kwa sababu najua hao ndio wanao chelewesha mabadiliko nchini, mfano gazeti la jambo leo, bongo movie, clouds media na wengine.
Huu ni msimamo wangu binafsi na hausukumwi na mtu yoyote.

Una umri gani?
Baba ako....Acheni kutembea kwenye barabara zilizojengwa chini ya serikali ya ccm.... Ili tujue nyinyi mna msimamo wenu. Waseee....kweli nyie
Kajifunze kiswahili kwanza, ukimaliza rudi kujenga hoja.Acheni kutembea kwenye barabara zilizojengwa chini ya serikali ya ccm.... Ili tujue nyinyi mna msimamo wenu. Waseee....kweli nyie