Serikali na CCM muangalieni Mbowe na Chadema kwa jicho la tatu, ni mtu hatari sana

lee Vladimir cleef

JF-Expert Member
Feb 5, 2013
9,128
33,166
Serikali pamoja na Chama Tawala,pamoja na Rais mpya,mtazameni Mbowe na Chadema kwa akili kubwa Sana.

dilini na Mbowe kwa nmna ya kipekee kabisa,
mfatlilieli kwa umakini wa Hali ya juu Sana ,anaiabisaha serikali,anaiaibisha CCM na atakuja kumuaibisha Rias Samia ambe kwa kipindi kifupi amekubalika na sehemu kubwa ya Watanzania wanaofatilia Siasa zaTanzania.

Hadi hapa ninaandika hivi Mbowe tayari alikwisha iaibisha pakubwa Sana Serikali iliyopita ya Hayati Magufuli,aliiaibisha CCM,aliviaibisha vyombo vyote vya dola,nasema vyote.naposema vyote namaanisaha vyote vya dola vya hapa Tanzania.

Mbowe na Chadema waliiaibisha Mahakama na Bunge.
Mbowe na Chadema waliweza hata kuwaaibisha Hadi baadhi ya viongozi wa Dini.

Mbowe na Chadema hakuna Taasisi ambayo hakuiaibisha,Mbowe na Chedema waliiaibisha Hadi hospitality ya Taifa Muhimbili.Hakuna taasisi ambayo Mbowe na Chadema hawakuiaibisha Wakati wa Utawala wa Magufuli.

kwa hiyo ndugu zetu wana CCM naomba safari hii kwa vile tumempata Raisi mwingine kwa kuletewa na Mungu,mshaurini Rais huyu na viongozi wa CCM mshughulikieni,mfatilieni na mtazameni Mbowe na Chadema kwa jicho la tatu na umakini Mkubwa sana,huyu anaenda kuliaibisha Taifa na kumuaibisha kipenzi chetu Rais mama Samia Suluhu.

Mbowe na Chadema wameliaibisha Taifa,Magufuli na CCM kwa sababu Mbowe anatumia akili Sana ambazo ndani ya CCM,Serikali,Bunge,Mahakama,Vyombo vya dola na kwingineko walishindwa kung'amua akili aliyonayo Mbowe.

Serikali iliyopita kwa kutokua na uelewa tu ilishindwa kutambua kuwa Mbowe Ni Mwenyekiti au kiongozi wa Chama kikubwa kabisa Cha Siasa hapa nchini sawa kabisa na CCM au zaidi.
Chama anachokiongoza Mbowe kinaungwa mkono na watu wengi kabisa hapa nchini sawa kabisa na CCM au hata zaidi.
Chama anachokiongoza Mbowe kinaungwa mkono na wasomi wa juu,wa Kati na wa chini.Kinaungwa mkono na vijana wengi,kinaungwa mkono na Matajiri na wananchi wa kawaida,Kinaungwa mkono na watu wa matabaka mbalimbali.
kwa uungwaji mkono huu huyu Mbowe sio wa Kumshughulikia Kama adui,mshughulikieni Kama mdau wa Utawala wa nchi hii,mwekeni karibu,ombeni ushauri wake inapobidi.

Mbowe huyu kwa kukijenga chama Hadi kuwa chama chenye nguvu namna ya Chadema sio mtu mdogo huyu,

Mbowe anaungwa mkono kwa Uwazi na kwa kificho na Watanzania wengi Sana,kwa maana nyingine ana watu wengi Sana nyuma yake.Sasa kwa ustaarabu tu mtu mwenye uungwaji mkono na wetu wengi namna hii sio wa kumdhihaki Wala kumpuuza kwa sababu hao watu wanaomuunga mkono nao wana haki katika nchi hii,msipowapa haki mnakua hamjawatendea haki raia wenu nyinyi.
wenyewe.
Katika historia ya haki Kuna Hadi haki za "wachache",Sasa sembuse Mbowe na Chadema yake anaeungwa mkono na watu wengi?

Kudili na Mbowe na Chadema kwa jicho la tatu kwa umakini na kwa akili Ni kumfanya
kuwa Ni mshirika wa maendeleo na uongozi wa nchi hii.

Mwaka Fulani huko Afrika ya KUSINI kulikua na Chuki Kali Sana baina ya vyama viwili,Chuki ya kuuana kabisa.
vyama hivyo Ni ANC ya Mandela na Inkhata Freedom Party Cha Mongusutu Butelezi.

Mandela alikua Rais wa SA,siku Moja alitakiwa kusafiri kwenda nje ya SA,alipotaka kusafiri alimkabidhi madaraka ya Urais adui yake Mkubwa kiongozi wa Inkatha Freedom Party Bwana Butelezi kwa muda was wiki mbili.
Butelezi aliiongoza SA kwa wiki mbili.
Hebu ona busara ya Madela alivyo dili na mpinzani wake kisiasa,hebu ona alivyomshughukikia mpinzani wake kisiasa,hebu ona alivyomshirikisha mpinzani wake kisiasa.

Mbowe alivyoliabisha Taifa.

Mwaka Jana Kama sikosei Huko Maanza Mbele ya Magufuli,Mbowe akisema mbele ya makamera na kipaza sauti,aliomba kuwe na Maridhiano ya kitaifa ya amani,lakini Mtawala akapiga chenga,hapa Mtawala aliaibika,

Mbowe huyuhuyu mnaemdharau ndie

aliesababisha mkakimbia na maboksi ya kura mchana kweupe,aibu kwa Time na Taifa, ilisambaa duniani,

alibomolewa Bilicanas,alivurugiwa bustani zake za biashara,aliwekwa ndani kwa kuonewa n.k hakushitaki mahakamani,aibu kwa Mahakama.

vyombo vya dola nchi nzima viisakama Chadema na Mbowe wakati wa uchaguzi na kabla ya uchaguzi,vyombo vyote vilishiriki zoezi la kuhujumu uchaguzi Mbowe alikula pozi tu na kuwaacha waaibike wenyewe,aibu kwa vyombo vya dola,

Mbowe alifuatwa na Sababya kijambazi usiku nyumbani kwake na hotelinj,Mbowe hajashitaki kaacha waaibike wenyewe,aibu kwa Vyombo vya kutoa haki,

Chadema waliwafukuza Wale Wadada 19 Bunge likawakaribisha kinyume na katiba Bunge ndio chombo Cha kusimamia kanuni na sheria ,Mbowe na Chadema
hawajashitaki popote wameliacha bunge liaibike,

Uchaguzi wa serikali za Mitaa mwaka Jana Serikali ilifanya madudu,Mbowe akawaacha Muaibike,hakushitaki popote.

Tundu Lisu alipigwa risasi zaidi ya 16 Mbowe akakataa kumpeleka Lisu Muhimbili hospitali ya Taifa yeye mwenyewe alisafiri na Lisu kwenye ndege ndogo huku akiwa amechuchumaa akiwa ameshika chupa ya dripu ya damu ya maji
maji akiwa ameshika Msigwa kutoka Dodoma Hadi Nairobi.
kwa Nini Mbowe akatae Lisu asipelekwe Muhimbili? na angeruhusu apelekwe Muhimbili Lisu angekua wapi Sasa hivi?
Nani alimpa akili hiyo Mbowe ya kumpeleka Lisu Nairobi badala ya Muhimbili? hapa Muhimbili iliaibishwa,

Mbowe sio mtu wa kawaida Ana mengi Sana mazito anastahili tuzo.
kujenga chama imara Kama CDM huyo sio
kilaza Kama baadhi wanavyodhania,Mbowe Ana Akili za ajabu na mkiendelea kumdharau ataendelea kuiaibisha nchi hi kwa akili.

Baada ya CCM kuzidiwa katika Kampeni Kuna baadhi ya Viongozi wa dini walijikuta wanafanya Siasa chafu,ili kushindana uchaguzi,Mimi sikiwahi kujua kumbe Kuna viongozi wa baadhi ya makanisa wana majina ya kiislam,ndio nilijua siku za kampeni,hii Ni kutokana na Moto wa Chadema kuwa mkali,
Mini sikutegemea kiongozi wa dini levo ya Askofu kushiriki wizi wa kura Jimbo alilogombea,aibu kwa kiongozi huyo,

Chadema kilipofanyiwa figisu Mbowe aliiachia jamii na jumuia za kimataifa zihukumu zenyewe.

Chadema ya Mbowe sio Kama ile ya Mtei,sio Kama ile ya Bob Makani.

Mbowe ameijenga Chadema na imekua Kama ndio chama Cha kuleta faraja kwa waliopoteza faraja,ameijenga kuwa ndio kimbilio na pumziko la walioumizwa na kupoteza matumaini huko walikokua,

Chadema iliwakaribisha walionyanyaswa huko kwao,walikuja Chadema wakapumzika na walipopoa wakarudi kwao,Mbowe Wala hakushituka na Chadema ilibaki Kama ilivyo.
Baadhi ya walioumizwa huko kwao na kuja kupata pumziko Chadema Ni Sumaye na Lowasa.Hawa na wengineo waliporudi kwao Mbowe alitabasamu tu.Huyu mtu huwa Hana kinyonyo.

Ukiondoa hao wapo ambao Mbowe aliwatafuta akawalea kisiasa wakawa Mastaa wa Siasa baadae wakamsaliti,Mbowe akatababsamu tu.

Mbowe Ana mengi.

Serikali Nawashauri mchukulieni Mbowe na Chadema kama washirika wa Maendeleo na Siasa za Tanzania,sio maadui wa Siasa za Tanzania Kama ilivyokua miaka mitano ya Nyuma.
miaka mitano nchi imeaibika Sana,dunia imeiona Tanzania Ni nchi ya hovyo Sana.

Mbowe ameijenga Chadema hata Leo akiondoka yeye Chadema itaendelea kuwepo.

walitoka nguli wa Kisiasa Hapo Chadema lakini hakuna athari yoyote ikiyoikumba Chadema,
Alitoka Zitto,Slaa,Arfi,Mwigamba,Kitila lakini hakuna athari yoyote ya maana.Ukitaka kuthibitiaha ona Kampeni ngumu Sana na zenye vitisho sana kuwahi Kutokea nchii Kama za mwaka Jana,Chadema ilitisha.

Huku wakiwa hawana hell,hawana bango la mgombea Urais,hawatangazwi ipasavyo,mgombea wao akifungiwa siku kadhaa kufanya Kampeni,
Lakini walikimbiza,
Hii yote Ni kazi ya Kiongozi shupavu Mbowe.
Serikali hi iliyopo inaonekana Ni sikivu, Shirikianeni na vyama vya Siasa kwa haki na kwa mujibu wa katiba,upinzani sio uadui,wachukulieni wapinzani akina Mbowe Kama washauri,sio maadui kwa manufaa ya Taifa.
 
Halafu wao wataishije maana wanayoyafanya ndiyo survival yao?
 
Mimi ni kada CCM , uliyoyaandika hapa u.pumbavu mtu.
Nchi hii kikatiba ni ya vyama vingi, elewa hilo kwanza.
 
Mbowe alisema wana CCTV footage ya magaidi waliotupa mabomu kwenye mkutano wao wa hadhara pale Arusha na kuua watanzania wasio na hatia, hadi leo hajawahi kuonyesha hizo picha! Hapa tunajiuliza mbinu advanced atakayokuja nayo msimu huu! Katika Utawala wa Hayati JPM kila mbinu ovu ilikuwa inapanguliwa so awamu hii asipoangaliwa kwa umakini ataliangamiza taifa.
 
Naunga mkono hoja
 
Haya tufanye kwa Hili la CCTV hajaionesha,je hata polisi walishindwa kuwakamata waliorusha mambomu hayo Hadi leo?
Kama polisi walishindwa kuwapata hao waliorusha usalama wa raia uko wapi?
Hii nayo Ni aibu nyingine kwa polisi .
 
Uharo pro max
Ukisoma kwa akili zako za UHARO utaona kweli yaliyo andikwa ni UHARO ila ukisoma ki-GT basi utagundua huu sio UHARO ila ni yale MAGUMU ambayo kwetu UNYANYEMBE tunaita "KIHANGILA"

Mara nyingi yale ya KIHANGILA husababishwa na kula vitu vigumu na vyenye ukakasi kama vile Mapera mabichi au hata mahindi ya kuchoma yaliyo kauka, ambayo tiba yake ili yatoke kirahisi bila ya maumivu ni mpaka UINIKWE (Enema Administration)

Anyways to cut the story short, huenda labda staili ya uandishi ila yaliyo andikwa yanafikirisha sana na yanauma na kubana kama yale M*V** ya KIHANGILA na hakuna namna ili yasikuumize ninlazima UINIKWE

Kwa mfano mdogo tu ni HALIMA MDEE na wenziwe wamepewa visenti tu na kupewa ubunge wachini ya meza wameelekea kibla na kukisaliti chama. Sasa jiulize what if HALIMA MDEE angekua Mwenyekiti wa chama ingekuwaje???

Fikiria tena what if MWITA WAITARA au GODWIN MOLLEL au LIJUA KALI Leo hii wangekua viongozi wa juu wa chama basi siku nyiingi CHADEMA ingekua imeisha unga juhudi kama ACT au NCCR na vyama vinginevyo

Hali kadhalika fikiria what if Dr. SLAA na wengineo weengi tu ... lakini chuma MBOWE kimesamama palepale na msimamo uleule wanakuja wanaondoka lakini CHADEMA imesimama palepale kwa nguvu ya zaidi ya jana. Mpaka muda huu wanaumiza vichwa wanambomoaje?

Jana tu kuna malaya mmoja katumwa asimame bungeni aongee utopolo kuhusu MBOWE lakini mwisho wa siku kaaibika mwenye kwa kujichnganya kuhusu kufungiwa account mara ya biashara mara ya familia yaani haeleweki ni aibu tupu watu wanajadili budget yeye analeta habari za MBOWE

Kongole Mwenyekiti MBOWE mungu akuweke miaka mia una LEGACY kubwa sana nchi hii
 
Mbowe alisema wana CCTV footage ya magaidi waliotupa mabomu kwenye mkutano wao wa hadhara pale Arusha na kuua watanzania wasio na hatia, hadi leo hajawahi kuonyesha hizo picha! Hapa tunajiuliza mbinu advanced atakayokuja nayo msimu huu! Katika Utawala wa Hayati JPM kila mbinu ovu ilikuwa inapanguliwa so awamu hii asipoangaliwa kwa umakini ataliangamiza taifa.
Ebu jjandaeni kurudi kwenu Burundi wewe interahamwe .
Tunajua uko bukoba ukijifanya ni mhaya lkn ukweli wewe siyo mhaya.
 
Huo muda wako ungeutumia kuchimba choo ..unatembea na Kipindupindu
Inashangaza Sana,hivi nyinyi vishabiki vya CCM mbona huwa hampendi amani?

Yaani nyinyi mkiaikia mtu anaomba Maridhiano kwenu Ni nongwa,unajua nchi inaaibika kweli kwa sababu ya ujinga wenu,kile ki Kaka chako ki Heri Jamesi kilikua kinaomba msamaha wa Nini? Kilimkosea Nani?
Tatizo lenu mnamuona Mbowe na Chadema Kama maadui ndio maana kila kitu kwenu Ni mapambano tu.
Hamuwezi kutenda haki ndio maana mtu akihubiri haki kwenu Ni hofu tu.
 
Ukisoma kwa akili zako za UHARO utaona kweli yaliyo a diktat ni UHARO ila ukisoma ki-GT basi utakundua huu sio UHARO ila ni yale MAGUMU ambayo kwetu Unyanyembe tunaita "KIHANGILA"

Mara nyingi yale ya KIHANGILA husababishwa na kula vitu vigugimu vyenye ukakasi kama vile Mapera mabichi au mahindi ya kuchoma yaliyo kauka, ambayo tiba yake ili yatoke kirahisi bila ya maumivu ni mpaka UINIKWE (Enema Administration)

Anyways to cut the story short, huenda labda staili ya uandishi ila yaliyo andikwa yanafikirisha sana na yanauma na kubana kama yale M*V** ya KIHANGILA na hakuna namna ili yasikuumize ninlazima UINIKWE

Kwa mfano mdogo tu ni HALIMA MDEE na wenziwe wamepewa visenti tu na kupewa ubunge wachini ya meza wameelekea kibla na kukisaliti chama. Sasa jiulize what if HALIMA MDEE angekua Mwenyekiti wa chama ingekuwaje???

Fikiria tena what if MWITA WAITARA au GODWIN MOLLEL au LIJUA KALI Leo hii wangekua viongozi wa juu wa chama basi siku nyiingi CHADEMA ingekua imeisha unga juhudi kama ACT au NCCR na vyama vinginevyo

Hali kadhalika fikiria what if Dr. SLAA na wengineo weengi tu ... lakini chuma MBOWE kimesamama palepale na msimamo uleule wanakuja wanaondoka lakini CHADEMA imesimama palepale kwa nguvu ya zaidi ya jana

Kongole Mwenyekiti MBOWE mungu akuweke miaka mia una LEGACY kubwa sana nchi hii
Pongezi nyingi sana kwako kwa kuwa mtu mwenye uwezo wa kujenga hoja za kueleweka.
 
Upumbavu mtupu unapata mda wapi kuandika uharo Kama huu na kusema inahitajika great thinking ?hata mtoto wako akiona unaandika uharo Kama huu lazima akulambe makofi
 
Inashangaza Sana,hivi nyinyi vishabiki vya CCM mbona huwa hampendi amani?

Yaani nyinyi mkiaikia mtu anaomba Maridhiano kwenu Ni nongwa,unajua nchi inaaibika kweli kwa sababu ya ujinga wenu,kile ki Kaka chako ki Heri Jamesi kilikua kinaomba msamaha wa Nini? Kilimkosea Nani?
Tatizo lenu mnamuona Mbowe na Chadema Kama maadui ndio maana kila kitu kwenu Ni mapambano tu.
Hamuwezi kutenda haki ndio maana mtu akihubiri haki kwenu Ni hofu tu.
Ni mahinterahamwe hao
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom