The Businessman
JF-Expert Member
- Jan 9, 2014
- 7,397
- 9,264
ccm haikubaliki tushirikiane kuitokomeza
Mbona unapokea bumu la chuo kutoka serikalini? Lema mwenyewe anaiponda CCM lakini anapokea pesa kutoka serikali ya CCM mpaka amefanikiwa kujenga nyumba ya kuishi kupitia fedha hizo hizo.
kwa maelezo yako basi hawa wote wametangaza uadui na wewe tangu jana.Siwezi kucheka na mtu yoyoye anae iunga mkono ccm kwa namna yoyote ile , kwani na jua jinsi CCM walivyo tutesa na kutunyanyasa watanzania kwa zaidi ya miaka hamsini.
Hasira zangu zitaishia kuto kununua kitu chochote watakacho kua wanauza hata kama ni gari la abilia basi sita panda.Kwa sababu najua hao ndio wanao chelewesha mabadiliko nchini, mfano gazeti la jambo leo, bongo movie, clouds media na wengine.
Huu ni msimamo wangu binafsi na hausukumwi na mtu yoyote.
Vipi kuhusu umeme na maji mkuu????!!!!
Hospitali nazo na mashule???!!
Vipi barabarani nako hutopita???!!
Main Sewer system utaweka yako au utachimba cha shimo???!!!!
Mind you KUB anatumia gari ya hao wewe unaowazungumzia na chama kinapata ruzuku kutoka huko mfuko mkuu na wakikutana wao wanapiga story kama kawaida!!!!!!Observe your limits bana!!!!!
Hebu kuwa na busara kidogo mkuu haya mambo yanataka mpango kazi wa kuondoka point A mpaka B,sio mihemko tu sasa kiasi cha kupangia na wengine jinsi ya kuishi,weka mkakati watu wakiona unatekelezeka watakufuata tu sababu hakina apendaye dhiki!!!!!
Andika urithi kabisa mkuu just incase!!!!!
Mbona wenzako tulianza mapema? Mi sipandi gari la mwanaccm, sili hotel ya mwanaccm, sinunui kazi za Chegge pamoja na kuwa namkubali, siangalii tbc, sina chombo au kitu chenye rangi ya kijani. Kwa ujumla nachukuia Ccm na mambo yake na watu wake!!!!
Hapo mkuu utakuwa umeua CHADEMA.Wanachama wengi wa Chadema BAR ndio kama matawi ya CHADEMA kunakoongelewa sera za chama na kuponda serikali.Ukiwazuia kukanyaga bar iwe ya mwana CCM au mwana CHADEMA Utaua chama.Hata munkari wa kuongea au kushangilia CHADEMA huwa unakolea pale watu wakipata pombe ya viroba na bia za kilimanjaro.
huu upinzani wa chuki umesambazwa na cdm. Watu wanadhan kuwa mpinzani ni kumchukia mshndani wako!
Mbona unapokea bumu la chuo kutoka serikalini? Lema mwenyewe anaiponda CCM lakini anapokea pesa kutoka serikali ya CCM mpaka amefanikiwa kujenga nyumba ya kuishi kupitia fedha hizo hizo.
Vipi kuhusu umeme na maji mkuu????!!!!
Hospitali nazo na mashule???!!
Vipi barabarani nako hutopita???!!
Main Sewer system utaweka yako au utachimba cha shimo???!!!!
Mind you KUB anatumia gari ya hao wewe unaowazungumzia na chama kinapata ruzuku kutoka huko mfuko mkuu na wakikutana wao wanapiga story kama kawaida!!!!!!Observe your limits bana!!!!!
Hebu kuwa na busara kidogo mkuu haya mambo yanataka mpango kazi wa kuondoka point A mpaka B,sio mihemko tu sasa kiasi cha kupangia na wengine jinsi ya kuishi,weka mkakati watu wakiona unatekelezeka watakufuata tu sababu hakina apendaye dhiki!!!!!
Andika urithi kabisa mkuu just incase!!!!!
wewe akiri zako sijui ziko wapi unashindwa kutofautisha chama na serikali huu ni upumbavu.If the company knows of your absence/presence!!!!!!!
Ukitaka kuwakomoa tembea kwa mguu kabisa!!!!!
Hata BM kodi wanalipa TRA na inarudi serikali ya CCM!!!!
Mkuu,
Labda mimi sielewi hapa!Hivi kuna umeme wa CCM?Kuna barabara za CCM,Kuna shule za CCM?Eti hata KUB analipwa na CCM!!!!Hivi nyie vijana.wa Lumumba mmerogwa na nani?
Hivyo vyote ulivyovilist hapo juu vinafanyika kutokana na kodi tunayolipa!Tumeipa jukumu CCC la
KUSIMAMIA etekelezaji tu!
Tatizo linakuja pale tu huduma tunazopata hazilingani na kodi tunayolipa,ndo maana tunasema.........
CCM HAIKUBALIKI,UNGANA NA WAZALENDO KUITOKOMEZA!
wewe akiri zako sijui ziko wapi unashindwa kutofautisha chama na serikali huu ni upumbavu.
MIMI MWENYEWE NALIPA KODI.
kwa maelezo yako basi hawa wote wametangaza uadui na wewe tangu jana.
![]()
Nawe umezidi hata majani njiani utayaruka sasa......
Vipi kuhusu umeme na maji mkuu????!!!!
Hospitali nazo na mashule???!!
Vipi barabarani nako hutopita???!!
Main Sewer system utaweka yako au utachimba cha shimo???!!!!
Mind you KUB anatumia gari ya hao wewe unaowazungumzia na chama kinapata ruzuku kutoka huko mfuko mkuu na wakikutana wao wanapiga story kama kawaida!!!!!!Observe your limits bana!!!!!
Hebu kuwa na busara kidogo mkuu haya mambo yanataka mpango kazi wa kuondoka point A mpaka B,sio mihemko tu sasa kiasi cha kupangia na wengine jinsi ya kuishi,weka mkakati watu wakiona unatekelezeka watakufuata tu sababu hakina apendaye dhiki!!!!!
Andika urithi kabisa mkuu just incase!!!!!
hivyo vinatokana na kodi yangu, deni la taifa ambalo nnawajibu wa kulilipa na laslimali za nchi yangu, sio kweli kwamba vinatoka ccm