Adhabu ya kunyimana.

Seee Love? when I tell them, wanadhani mi nawadanganya....bora wamesikia from you! inahuuuu? tunyimane kwa kisa gani? hatujui kusamehe....kwanza ikitumika vizuri si ndo msamaha unakuwaga 'mtamu' zaidi!

Baba watoto mie nilishakwambiaga hio kazi naikabidhi kwako... mana kazi sana kuelewesha... hahaha!
 
Kweli kabis mkuu Mentor,

Naona huyu Kaizer anaishi peponi!!

Eti hajawahi kulala njaa hata siku moja???

May be atueleze kuwa mara nyingine anakula magengeni kwa mama nitilie!

Babu DC!!

hahaha mkuu Dark City....kula magengeni hakuna maana kuwa nyumbani hakuna chakula...huwa kipo, tena kizuri zaidi ya cha magengeni kama atakavyokuja kushuhudia ndugu yangu Asprin hapa.

Halafu hii topic naona inatuumiza kichwa bora iende MMU. Roulette, Paw, Fang, INNOVATOR please do the needful.
 
Last edited by a moderator:
Mmh! Kaizer, AshaDii nawasalimuni tu!
Dark City, mie tu nanyimwaga pia. Huyu kakangu na wifi hawataki kusema, that is, kama anaenyimwa hajui kama ananyimwa. Manake kuna 'kuumwa kichwa'. Ngoja nisiseme Paw asije akanikong'oa ban ya maisha hapa

hahahaha King'asti nikwambie kitu? "Kuumwa kichwa" kama kidude hakiumi sasa si ndo inasindikizia panadol! Kichwa hakianzi kuuma tu from nowhere bana kunakuwaga na sababu! au ndo mtu unakuwa zombie tayari hata kwa mkeo? Ngoja nimtafute lara 1 miye
 
Last edited by a moderator:
Mentor my beloved brother... gfsonwin is not a kidumu, ni mke halal... Alafu mimi sipo kwenye kundi ya kunyima loved ones... lol.

Ugomvi na hio sector ni maeneo mawili tofauti... So isikuume...

B2T, Wajad, kama kuna ugomvi ni kheri mkakaa na kusuluhisha. Ungomvi wa kendeleza sio mzuri, na ndio maana in most cases inashauriwa kama umekosana na mpenzi wako usilale bila kuweka mambo sawa. Kutokubali kufanya mapenzi ni moja ya njia ya kuonesha hujasamehe... Na upande wangu sioni kama ni wazo zuri kutoa adhabu in the lines of that.

Da Asha,

Hiii adhabu inatembeza na kugawiwa kama njugu...Kama hujawahi kuitoa hata kwa sababu za uchovu (na mzee Kaizer hajawahi kuipata) basi niwaombee baraka tele!!

Kwa wengine hii ilikuwa sehemu muhimu ya maisha........!

Babu DC!!
 
Last edited by a moderator:
hahahaha King'asti nikwambie kitu? "Kuumwa kichwa" kama kidude hakiumi sasa si ndo inasindikizia panadol! Kichwa hakianzi kuuma tu from nowhere bana kunakuwaga na sababu! au ndo mtu unakuwa zombie tayari hata kwa mkeo? Ngoja nimtafute lara 1 miye

Hahahaaaa! Kweye ndoa hakuna UZOMBIII ila kuna UBWEGE!!! Si ashaonja sanaaa atakuwaje ZOMBIII? Huyo ni ***** coz kaonja KIMEMNOGEA! sasa amekuwa ADICTED, na mwenye nacho ndo ANAMCONTROL NACHO!!! UPO HAPO!!!! LOL!
 
hahaha ndo maana nikakutafuta! sasa hii kitu wewe imeshawahi kukutokea? unaionaje? (sema bado hujaingia kwen ndoa sasa):shut-mouth:
 
Da Asha,

Hiii adhabu inatembeza na kugawiwa kama njugu...Kama hujawahi kuitoa hata kwa sababu za uchovu (na mzee Kaizer hajawahi kuipata) basi niwaombee baraka tele!!

Kwa wengine hii ilikuwa sehemu muhimu ya maisha........!

Babu DC!!

Haya mambo as time goes by ndio twazidi kujifunza... Sio kwamba kuna wakati (thou once in a while ambazo inaweza tokea kama siwezi). Nitakataa kwa sababu zengine sa nje ya uwezo lakini sio kama adhabu... Kama nilivosema ma old fashioned katika baadhi ya mambo na hili ni moja wapo. Siamini katika kutoshirikiana kimwili na mume in the lines of adhabu...

Adhabu zaweza tolewa kwa njia nyingine nyingi... Na hio ina vary tegemeana na mtu na mtu reliant katika circumstances na attitude ya mhusika mwenyewe. Hio ya kutowa adhabu haiwezi kuwa na effect moja kwa wanaume wote (as in kuwa ataona joto ya jiwe ya kukosa hio shughuli kwa wakati huo). Na sio kwamba mara zote italenga vile atoae adhabu anatarajia...
 
Mmh! Kaizer, AshaDii nawasalimuni tu!
Dark City, mie tu nanyimwaga pia. Huyu kakangu na wifi hawataki kusema, that is, kama anaenyimwa hajui kama ananyimwa. Manake kuna 'kuumwa kichwa'. Ngoja nisiseme Paw asije akanikong'oa ban ya maisha hapa

hahaha! Unatoa siri tena?! Mambo gani haya! Hufai aisee... Adhabu yako wacha tu Paw asome hii post...
 
Last edited by a moderator:
  • Thanks
Reactions: Paw
hahaha Thanks mkuu Dark City I am back....ila unfortunately, kwangu haijawahi kutokea. See, the problem is, kwa maoni yangu kama mkeo kabisa anakunyima (bila sababu ya kimatibabu au kuwa yuko appolo) basi kuna a very BIG problem hapo!

Aidha humridhishi, au ana kidumu. bhaaas.

Temea mate chini kamanda......

Nakuombea kwa Mungu usikutane nayo...Ila kwa wale ambao yamekuwa ya kawaida wala hata hawastuki tena kuambiwa nimechoka sana ila mtu akaenda kuangalia movie ya Kanumba for 2-3hrs wakati dume linakoroma na njaa yake!!

Haya bwana.....ngoja tuendelee kushangaa mnavyokula raha wenzetu!

Babu DC!!
 
hahaha ndo maana nikakutafuta! sasa hii kitu wewe imeshawahi kukutokea? unaionaje? (sema bado hujaingia kwen ndoa sasa):shut-mouth:

Unaziba mdomo wa nini? Nikweli BADO NIPO NIPO SANAAAAA! Mimi hiyo kitu haijanitokea coz sipo kwenye ndoa n IM SAVING MYSELF FOR MY HUSBAND (VIRGIN) @ 1940s LOLESH!!!!!!!!!!!!!! NANI KANUNA?????
 
Mzee mwenzangu Dark City mwaka wa 15 huu sijawahi
Nyimwa hata siku moja! Maajabu au

Sio maajabu, u must be iresistable! LOL
On a serious note; lazima utakuwa una mchango mkubwa katika kumfanya mwenzio awe na hamu na wewe. Note sijatumia neno 'akunyime'!
 
Last edited by a moderator:
Unaziba mdomo wa nini? Nikweli BADO NIPO NIPO SANAAAAA! Mimi hiyo kitu haijanitokea coz sipo kwenye ndoa n IM SAVING MYSELF FOR MY HUSBAND (VIRGIN) @ 1940s LOLESH!!!!!!!!!!!!!! NANI KANUNA?????

Hahaha wakuche miaka mia lara 1 hahahaha. Ur hsb atapatamo kitu kipyaaa
 
Last edited by a moderator:
Always ushindani unaathiri upande mmoja inshort mwanamke hauwezi kushindana nae also kama ndo umependa ndo na amejua kama umempenda utaumia wewe ? Najua kila mmoja ataweka kichwa ngumu ndio mwanzo wa kutafuta kidumu then mtandao wa ngono unareact
 
Sio maajabu, u must be iresistable! LOL
On a serious note; lazima utakuwa una mchango mkubwa katika kumfanya mwenzio awe na hamu na wewe. Note sijatumia neno 'akunyime'!

Thanks Kaunga.....nilidhani labda mi niko tofauti sana na 'general population'!

Kuhusu mchango, I feel its my responsibility (humbled) kwa nimpendaye kumfanya wakati wowote awe na "hamu na mimi"......ndo maana nikashangaa hii ya 'kunyimana' hii inakuwagaje...lol

On a light note, "jamaa" ameacha mapenzi yake ya Boflo na kurudi kwen kitumbua?
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom