Madame B
JF-Expert Member
- Apr 9, 2012
- 31,835
- 37,444
ni adhabu nzuri sana. hamkuona ule uzi MMU ambapo yule 'mwanaume rijali' alimnyima mkewe unyumba mpaka mke 'akasalimu amri' na 'kuomba msamaha'
Ukiona hvo ujue kuna mawili.
1. Huyo mwanamke ndo mara yake ya kwanza kuja mjini i mean aliletwa na huyo mwanaume na
2. Huyo mwanamke ndio aliyetolewa 'kizinda' na huyo mwanaume,laiti angeolewa pasipokuwa na hyo kitu,wangetoka ngoma droo.