Adhabu ya kunyimana.

Wajad

JF-Expert Member
Jul 20, 2012
1,321
604
Mwalimu wangu mmoja aliwahi kusema kuwa mojawapo ya adhabu unayoweza kumpatia mpenzi wako aliyekuudhi ni kumnyima unyumba. Nilimuuliza, endapo una huyo m1 tu inakuwaje? Alijibu kuwa siku zote adhabu kwa wapendanao huathiri pande zote mbili. Uzoefu unaonyesha kuwa wanawake ni wepesi mno wa kugawa adhabu hii, na kwa wanaume wanapotoa doz hii wanakuwa na mahali pengine pa kujishikiza. Yote kwa yote, nini maoni yako kuhusu adhabu hii? Nini madhara yake? Ushawahi kugawa doz hii weye? What happened?
 
Najiuliza tu alakini hapa,sasa unapomnyima ni kwa muda gani..??Na inapotokea muda wa adhabu umekwisha na yeye mnyimwaji anakasirika anasema na mimi umeniudhi kwa kunipa adhabu kisha nayeye anaendeleza kukunyima utachukua uamuzi gani..??
 
Nahamia kwa Kaka yake a.k.a Shemeji yangu.
Ili twende Sawa na Heshima iendelee kuwepo.
 
Najiuliza tu alakini hapa,sasa unapomnyima ni kwa muda gani..??Na inapotokea muda wa adhabu umekwisha na yeye mnyimwaji anakasirika anasema na mimi umeniudhi kwa kunipa adhabu kisha nayeye anaendeleza kukunyima utachukua uamuzi gani..??

Nadhani haina muda maalum ila inategemea mambo 2; m1 ashuke na kuomba msamaha au litokee jambo la kuwapotezea hasira kama wageni, outing, sherehe, ugonjwa, misiba, nk.
 
Baba, mwanamke havutiwi na maumbile. Anavutiwa na upendo, kuthaminiwa na emotional satisfaction. Sio kama anakunyima, unakuwa umemtoka moyoni.unless ni biashara, hatuwezagi kujilazimisha rigwaride!

Well said my Wii,
Sidhani kama ni adhabu, maana kama nina machungu moyoni hiyo hamu ya unyumba itatoka wapi?
Tu wepesi wa kutuliza homa na panadol lkn tunasahau kutibu infection kwa antibiotic!
 
Back
Top Bottom