Kaunga
JF-Expert Member
- Nov 28, 2010
- 12,529
- 13,501
Thanks Kaunga.....nilidhani labda mi niko tofauti sana na 'general population'!
Kuhusu mchango, I feel its my responsibility (humbled) kwa nimpendaye kumfanya wakati wowote awe na "hamu na mimi"......ndo maana nikashangaa hii ya 'kunyimana' hii inakuwagaje...lol
On a light note, "jamaa" ameacha mapenzi yake ya Boflo na kurudi kwen kitumbua?
Amepunguza ila sasa hivi anapenda mihogo na karanga za kukaanga! LOL