jiwe angavu
JF-Expert Member
- Aug 28, 2015
- 22,377
- 43,264
ni rahisi kuvunja muungano kuliko kwenda Serekali Moja, Fahamu hilo.
Hakuna linaloshindikana,sema ccm inalea ujinga tu.
ni rahisi kuvunja muungano kuliko kwenda Serekali Moja, Fahamu hilo.
Hakuna linaloshindikana,sema ccm inalea ujinga tu.
Una khulka za kidikteta ndani ya Damu yako, Halafu mda mwengine eti nawewe unalalamika.
Sijawahi kulalamika,ila na hoji imeshindikana nini ccm kuweka serikali moja zaidi ya kulea huu upuuzi unaoendelea.