Uchaguzi 2020 ACT Wazalendo: Mgombea Ubunge wetu jimbo la Ruangwa avamiwa na kutekwa akiwa nyumbani kwake. Apatikana akiwa ametupwa porini Mkuranga

We mkristo gani anaehudhuria kila sala za kiislamu? Au kuna kitu umma unadanganywa?

Huenda anahudhuria Zuga tu ili kubalance safu ionekane hii nchi ina usawa, kumbuka Waislamu wanalalamikia teuzi kutengwa, sasa uwepo wake unatumika kipropaganda!

Majaliwa kaoa Mkatoliki, huenda huko nyuma alikuwa muislamu kisha akabadili dini akawa Mkatoliki
 
Tanzania sasa inaelekea pabaya; ni kama siasa za ama kuchafuana kisiasa au za kuumizana kimwili. Wa kuaminiwa hajulikani; Zitto ana sifa kubwa sana ya kusema uwongo wowote wa kupakazia mradi umsaidie kisiasa, serikali nayo imekuwa haifanyi kazi ipasavyo kuhusiana na mtukuio ya kiharifu yenye sura za kisiasa labda la Mbowe la kukanyangwa na wanaume watatu ndilo lililoibuliwa mapema tu. Nchi ya namna hiyo inaweza kuwa inaelekea pabaya sana.
 
Huenda anahudhuria Zuga tu ili kubalance safu ionekane hii nchi ina usawa, kumbuka Waislamu wanalalamikia teuzi kutengwa, sasa uwepo wake unatumika kipropaganda!

Majaliwa kaoa Mkatoliki, huenda huko nyuma alibadili dini akawa Mkatoliki
Kama ni hivyo yawezekana hata rais muislamu laghai anaweza akawekwa
 
Hivi ukishakuwa mwanasiasa huwezi kuwa na maadui nje ya kazi za siasa? Haiwezekani ukawa na ugomvi usio wa kisiasa? Kwanini kila mwanasiasa hasa mpinzani anapofanyiwa chochote cha kimafia ionekane sababu ni za kisiasa. Tusiwe na mihemko wanasiasa nao ni binadam tu nao wanadhulumu, wanaiba wake za watu, ni walevi nk na haya yote yanaweza pelekea wakatiwa vibano
 
Kama ni hivyo yawezekana hata rais muislamu laghai anaweza akawekwa

Kwenye System kuna waislamu wengi wa namna hiyo siku hizi.

1. Hussein Mwinyi kaoa Mkiristo
2. January Makamba kaoa Mkiristo
3. Kassim Majaliwa kaoa Mkiristo

Sijui hiyo Sifa ya Kuoa Mkiristo inawasaidia kwenye vetting na wao walistukia zamani kuwa itawabeba kisiasa? ili waonekane waislamu hawa ni waislamu "poa"?, waonekane "si hatari sana", kwa hivyo hawa "tuwaamini" tu tuwape urais, uwaziri mkuu badala ya wale "wajahidina" wengine! n. k
 
Kwenye System kuna waislamu wengi wa namna hiyo siku hizi.

1. Hussein Mwinyi kaoa Mkiristo
2. January Makamba kaoa Mkiristo
3. Kassim Majaliwa kaoa Mkiristo (Na huyu Majaliwa huenda ni Mkiristo siyo Muislamu)

Sijui hiyo Sifa ya Kuoa Mkiristo inawasaidia kwenye vetting na wao walistukia zamani kuwa itawabeba kisiasa? ili waonekane waislamu hawa ni waislamu "poa"?, waonekane "si hatari sana", kwa hivyo hawa "tuwaamini" tu tuwape urais, uwaziri mkuu kuliko wale "wajahidina" wengine! n. k
Hii tetesi ya kuwa PM ni mkristo inanishtua na kunipa wasiwasi kuwa umma unachezewa maigizo Sana mpaka ya uongo uongo wa vitu Kama imani ya mtu
 
We mkristo gani anaehudhuria kila sala za kiislamu? Au kuna kitu umma unadanganywa?
Zile mbwembwe za madaraka, isije kuonekana viongozi wote wa juu dini moja na kuzusha kelele.

Uislamu wa Majaliwa wa kuchonga na kujilazimisha sana.
 
Ni aibu kuleta habari kama hii bila picha,

Tunawajuwa wapinzani
IMG_20200814_135147.jpg
 
Back
Top Bottom