Uchaguzi 2020 ACT Wazalendo: Mgombea Ubunge wetu jimbo la Ruangwa avamiwa na kutekwa akiwa nyumbani kwake. Apatikana akiwa ametupwa porini Mkuranga

Hakuna cha maana alichofanya zaidi ya kujenga uwanja wa mpira
Unazungumzia huyu aliyeshindwa kulinda na kutetea korosho na shangazi zake kupigwa? Unaambiwa shangazi zako watachakazwa hadharani we unajichekesha? Huo sasa sijui tuiteje!
 
Na huu uzembe wa kuamshwa saa 5 za usiku na watu usiowajuwa wakati mazingira ya kisiasa kwa kipindi hichi unayajuwa uishe kwa wapinzani.
 
Tunaomba kapicha ka tecno kakimwonyesha akiwa amegalagala vichakani kabla ya kuokotwa
 
Majaliwa hafai kuwa waziri mkuu.

Uwaziri mkuu wa kuloa damu mikononi hautufai sisi Wananchi.

Namuomba Rais achunguze huu uonevu, na ikithibitika waziri mkuu amehusika au amewezesha basi hatua za kinidhamu zichukuliwe juu yake na ikibidi kuachana naye kwenye serikali ijayo kama Magufuli atachaguliwa tena!

Hii tamaa ya madaraka hadi kuumiza wananchi ni tabia za kishetani na haifai kabisa.

Mheshimiwa rais, nakuomba umchunguze waziri mkuu, kama anahusika basi muweke pembeni kwenye uteuzi ujao iwapo utafanikiwa kuwa rais tena.

Yaliyotokea Ruangwa ni aibu ni fedheha, siyo utamaduni wa Mtanzania hata kidogo

Tunaomba haki itendeke!
 
Back
Top Bottom