Uchaguzi 2020 ACT Wazalendo: Mgombea Ubunge wetu jimbo la Ruangwa avamiwa na kutekwa akiwa nyumbani kwake. Apatikana akiwa ametupwa porini Mkuranga

ACT ushauri wangu kwenu. Hiki sio kipindi cha kukaa kimya. Chukueni ushahidi tumeni kunakohusika. Mwaka huu hadi uishe lazima tuhakikishe kuwa kuna arrest warrant za ICC zimetoka kwa viongozi wa Tanzania wanaoendesha nchi kwa udhalimu.

Enough is Enough!!
 
ACT ushauri wangu kwenu. Hiki sio kipindi cha kukaa kimya. Chukueni ushahidi tumeni kunakohusika. Mwaka huu hadi uishe lazima tuhakikishe kuwa kuna arrest warrant za ICC zimetoka kwa viongozi wa Tanzania wanaoendesha nchi kwa udhalimu.

Enough is Enough!!

Ile ahadi ya Maalimu kuhusu Rais Shein wa Zenji ulisha isahau unataka akuahidi nyingine. Jiongezeni basi hata kidogo.
 
Umeandika umbea tu, hivi kweli kwa akili ya kawaida DC anaweza kuwaamuru Polisi wawapige wananchi, wapore mali zao na wawabake wanawake? Mbona nyie Bavicha ni wanafiki sana?
 
A. C. T WAZALENDO tunataraji muwe wapinzani mbadala ila muwache ufala na ujinga.

Kutoa taarifa kipuuzi puuzi kana kwamba watanzania wa siku hizi sio wapembuzi wa mambo.

Alafu ili muaminike zaidi msiwe mnaandika vitu blaa blaa blaa bila ushahidi angalau wa picha au clip ya video au audio.

#UTUNZI WA TUNGO ZA KISHETANI MUACHIENI YERICKO mtunzi aliyetunga tungo za kumuondoa Zitto CHADEMA.

Ebu kuweni tofauti.
 
Kuna mtu amewahi kuandika kumu kwamba haya matukio ya utekaji inchini hata PM yupo nyuma akabezwa. Najamaa alionesha kuwa na uhakika
 
Ndiyo wapo wakristo wa Katoliki wengi sana.


Nchini ya TANZANIA kumpitisha mtu kugombea eneo husika bila kuzingatia UISLAMU NA UKRISTO ni tatizo.

Ijapokuwa tunaaminishwa udini wala ukanda haupo. ILA UPO.

BADO ELIMU INAHITAJIKA KATIKA HILI.

Vinginevyo awe mteuliwa.
 
Mwanasiasa yoyoye yule yeye ni maslahi kwanza,akiona maslahi yake yako kwny hatihati ndipo utamjua vzr.

Kwa hio hii unayoiona sasa hivi ndio true colour ya mkuu.
Akae mkao wa kuondoka, kwani yaonyesha Kabudi anaweza kuwa PM kama CCM itashinda. Mark my words.
 
14 Reactions
Reply
Back
Top Bottom