Uchaguzi 2020 ACT Wazalendo: Mgombea Ubunge wetu jimbo la Ruangwa avamiwa na kutekwa akiwa nyumbani kwake. Apatikana akiwa ametupwa porini Mkuranga

Sikudhani kwamba huyu waziri mkuu naye ana mambo ya ajabu ajabu namna hii, Hafai!

Kwa taarifa yako yeye ndio anayeagiza hayo yafanyike. Iwapo hakutatokea machafuko, tabia hii ya kupiga wapinzani ndio imeshahalalishwa rasmi. Hayo ya kusema kuwa uchaguzi utakuwa huru na haki ni kuhadaa jumuiya ya kimataifa.

Niliwahi kusema, na narudia tena, iwapo uchaguzi huu wapinzani watasimama imara kudai kura zao ziheshimiwe, kutatokea mauaji ya kutisha. Hii kudhibiti vyombo vya habari vya nje, lengo lake ndio hilo huo uhuni usitoke nje ya nchi.
 
Kesha hapa ukitetea uovu boss.
FB_IMG_1597302513352.jpg
 
Nilikuwa namuona Kiongozi mstaarabu mwenye upendo na asiyependa maonevu . Sikutegemea na yeye atakuwa na roho ya kikatili namna hii.
Huyu jamaa aliwauza sana walimu kwa ccm, akapewa asante, nazani ya ukuu wa wilaya kama sikosei, baadaye akawa mbunge na waziri, ccm aka gambas wote lao moja, Ile sura yake isiwadangaje, ni shetani mwenye sura ya upole ili iwe rahisi kukutafuna.
 
Upinzani mmeanza kugombania vyeo.. nyie kwa nyie.. 😃😃😃
Interesting.. na muambukizane hiyo tamaa.. nchini kote.. 😃😃😃

Magufuli 2020💯
 
Hivi huyo au hao wagombea wanaviziwa na kupigwa tu kama digidigi au kwale ndege?

Kama ndivyo, basi hata hao wagombea watakuwa wamekubali na walikuwa tayari kupigwa...

And to be honest, binafsi naweza kusema wazi kuwa hao wagombea ni wapumbavu na wajinga kwa sbb haiwezekani katika mazingira ya uchaguzi wa mwaka huu yalivyo tense na hatari mtu mwanamageuzi uwe mzembe zembe, hutumii akili ktk kutenda kila jambo kiasi hiki halafu ukaachwa salama....!

Chama tawala CCM kiko "so desperate" kuhakikisha kinabaki madarakani kwa ushindi wa namna yoyote...

Chama tawala CCM hakina hoja za majukwaani za kuendelea kuwadanganya watu. Option yao iliyobaki ni kutumia mabavu tu hata ikibidi watu wafe...!!

Kwanini wagombea hao wa CHADEMA na ACT - WAZALENDO wako insensitive kiasi hicho wasitambue hili na kuwa makini na waangalifu muda wote ikiwemo kwenye makazi yao, maeneo wanayotembelea, muda wanaotembea nk nk??

Acha tu wadundwe hao, hawana akili!

After all, Maelekezo yalishatolewa kuwa, wagombea wa vyama pinzani na CCM kila wanalofanya wawe wanashirikiana na wapenzi na wanachama wao ikiwemo kwenda kuchukua na kurudisha fomu za uteuzi...?

Sasa huko Ruangwa kunani hata wapigwe tu kama mbuzi??
 
Pole nyingi sana kwake, zama hizi za uchaguzi unatakiwa kuwa makini sana ili watesi wasipate sababu.
 
Angalizo mabeberu wanambinu nyingi tuweni macho na kuacha kukimbilia kwenye hitimisho la kumnyoeshea mtu kidole. Huku kusini kulitengenezwa magenge ya mauaji wakati awamu ya tano inangia madarakani, nani alihusika, hawezi wakati huu arudi kwa staili hii ilikuichafua serikali na waziri Mkuu? Tusiwe wepesi wa kufikia concln.
 
Back
Top Bottom