Uchaguzi 2020 ACT Wazalendo: Mgombea Ubunge wetu jimbo la Ruangwa avamiwa na kutekwa akiwa nyumbani kwake. Apatikana akiwa ametupwa porini Mkuranga

Ruangwa ni jimbo lililokuwa linaongozwa na Mbunge yupi? Hebu tuanzie hapo kwanza!!
 
Aisee

Aisee! Hii serikali ya CCM inaongozwa na WASHENZI na WENDAWAZIMU, Mwalimu Nyerere hakukosea kumuita kwa majina hayo Nduli Idd Amin Dadaa.
Nakumhuka maneno ya Mwalimu alituasa akisema kwamba " huwezi kiongozi wetu ukaongoza nchi kuhuni huni... wananchi hawajui kesho utasema nini, kama.unataka uhuni nenda karande rande mabarabani huko"

Kweli mwalimu aliona mbali mno.
 
Tanzania sasa inaelekea pabaya; ni kama siasa za ama kuchafuana kisiasa au za kuumizana kimwili. Wa kuaminiwa hajulikani; Zitto ana sifa kubwa sana ya kusema uwongo wowote wa kupakazia mradi umsaidie kisiasa, serikali nayo imekuwa haifanyi kazi ipasavyo kuhusiana na mtukuio ya kiharifu yenye sura za kisiasa labda la Mbowe la kukanyangwa na wanaume watatu ndilo lililoibuliwa mapema tu. Nchi ya namna hiyo inaweza kuwa inaelekea pabaya sana.
kaka unamuandama zitto tu. Boara akutie ndo utamheshimu. Pumbavu wewe. huko kwenye chama chako cha wauwaji, watekaji,watia watu kwenye mifuko ya sandarusi, wezi na majambazi hakuna wanaosema uongo? Pumbavu
 
kaka unamuandama zitto tu. Boara akutie ndo utamheshimu. Pumbavu wewe. huko kwenye chama chako cha wauwaji, watekaji,watia watu kwenye mifuko ya sandarusi, wezi na majambazi hakuna wanaosema uongo? Pumbavu
Basi Mzee; naona unadhani wote ni wapumbavu kama wewe; hasira siyo suluhu. Control emotions zako kwani unaweza kupata ugonjwa wa moyo iwapo unalipukalipuka hivyo.
 
Sasa katika chama chenu ameshika nafasi ya pili halafu anatekwa ili iweje Sasa au Mambo hayo ni ya ndani ya chama husika!?
 
PM na Jafo ni watu watakiwao wazilinde Sana image zao kwenye Jamii Kama viongozi wa mfano na tegemeo, hivo wajitahidi kusiwepo na hata doa au tetesi juu ya uadilifu wao kwa Jamii.
 
Kwenye System kuna waislamu wengi wa namna hiyo siku hizi.

1. Hussein Mwinyi kaoa Mkiristo
2. January Makamba kaoa Mkiristo
3. Kassim Majaliwa kaoa Mkiristo

Sijui hiyo Sifa ya Kuoa Mkiristo inawasaidia kwenye vetting na wao walistukia zamani kuwa itawabeba kisiasa? ili waonekane waislamu hawa ni waislamu "poa"?, waonekane "si hatari sana", kwa hivyo hawa "tuwaamini" tu tuwape urais, uwaziri mkuu badala ya wale "wajahidina" wengine! n. k
🤨
 
Back
Top Bottom