Bwashe hadi akina Kweka wapo.Huko Ruangwa kuna wakristo?
Bwashe hadi akina Kweka wapo.Huko Ruangwa kuna wakristo?
We mkristo gani anaehudhuria kila sala za kiislamu? Au kuna kitu umma unadanganywa?Majaliwa mwenyewe mkristo.
We mkristo gani anaehudhuria kila sala za kiislamu? Au kuna kitu umma unadanganywa?
Kama ni hivyo yawezekana hata rais muislamu laghai anaweza akawekwaHuenda anahudhuria Zuga tu ili kubalance safu ionekane hii nchi ina usawa, kumbuka Waislamu wanalalamikia teuzi kutengwa, sasa uwepo wake unatumika kipropaganda!
Majaliwa kaoa Mkatoliki, huenda huko nyuma alibadili dini akawa Mkatoliki
Hakuna malaika ambaye huwa anaambatana na shetani.Sikudhani kwamba huyu Waziri Mkuu naye ana mambo ya ajabu ajabu namna hii, Hafai!
Aheri mbwamwita anayekuja kama mbwamwitu kuliko yulr anayekuja na ngozi ya kondoo kumbe ndani ni mbwamwitu.Mbona PM ana busara sana + hekima kama za Suleman...kumbe ni mkorofi hivyo!
Majaliwa ni liberal muslim ila mkewe ni mkristo.Majaliwa mwenyewe mkristo.
Watu wanadanganyika sana na muonekano wa nje wa mtu. Ukweli ni kuwa hakuna malaika ambaye huwa anaambatana na shetani.Kuna mtu amewahi kuandika kumu kwamba haya matukio ya utekaji inchini hata PM yupo nyuma akabezwa. Najamaa alionesha kuwa na uhakika
Kama ni hivyo yawezekana hata rais muislamu laghai anaweza akawekwa
Hii tetesi ya kuwa PM ni mkristo inanishtua na kunipa wasiwasi kuwa umma unachezewa maigizo Sana mpaka ya uongo uongo wa vitu Kama imani ya mtuKwenye System kuna waislamu wengi wa namna hiyo siku hizi.
1. Hussein Mwinyi kaoa Mkiristo
2. January Makamba kaoa Mkiristo
3. Kassim Majaliwa kaoa Mkiristo (Na huyu Majaliwa huenda ni Mkiristo siyo Muislamu)
Sijui hiyo Sifa ya Kuoa Mkiristo inawasaidia kwenye vetting na wao walistukia zamani kuwa itawabeba kisiasa? ili waonekane waislamu hawa ni waislamu "poa"?, waonekane "si hatari sana", kwa hivyo hawa "tuwaamini" tu tuwape urais, uwaziri mkuu kuliko wale "wajahidina" wengine! n. k
Chadema Ina husikaWauluze wanaccm wenzako maana toka alivyotaja mwanaccm mwenzake kutoa rushwa hayo ndipo yakatokea
Zile mbwembwe za madaraka, isije kuonekana viongozi wote wa juu dini moja na kuzusha kelele.We mkristo gani anaehudhuria kila sala za kiislamu? Au kuna kitu umma unadanganywa?
Tuna Safari ndefu Sana Kama Kwa mambo Kama hayaZile mbwembwe za madaraka, isije kuonekana viongozi wote wa juu dini moja na kuzusha kelele.
Uislamu wa Majaliwa wa kuchonga na kujilazimisha sana.
Ni aibu kuleta habari kama hii bila picha,
Tunawajuwa wapinzani
Tunaomba kapicha ka tecno kakimwonyesha akiwa amegalagala vichakani kabla ya kuokotwa
Hata hilo LA uwanja wa mpira siyo LA maana...TUTAKULA UWANJA?Hakuna cha maana alichofanya zaidi ya kujenga uwanja wa mpira
Aisee! Hii serikali ya CCM inaongozwa na WASHENZI na WENDAWAZIMU, Mwalimu Nyerere hakukosea kumuita kwa majina hayo Nduli Idd Amin Dadaa.