ACT (Alliance for Change and Transparency) kuisambaratisha chadema

ACT (Alliance for Change and Transparency) kuisambaratisha chadema

Status
Not open for further replies.
Hongera kwa waliobuni mkakati juu maana kwa hali ilivyokuwa isingekuwa rahisi kubadirisha chadema kuwa katika demokrsia ya kweli maana waazilishi walikua na malengo yao
 
Wakuu, haya tena ni Maajabu ya Siasa za Nchi yetu! Vyama Vipya vya Siasa (Upinzani) Badala ya Kupambana Kuung'oa Utawala wa Chama tawala (CCM) Ili Kiondolewe Madarakani na Wananchi Wapate nafuu ya Maisha na Maendeleo yao Kwa Ujumla, badala yake Vinaanzishwa na Kupewa Usajili wa Muda ili Kuingia Uwanjani Kuviua na Kuvisambaratisha Vingine!!?. Mfano:Kimetajwa Kuanzishwa Chama Kipya ACT Ili Kipewe Usajili wa Muda na Kuanza Kazi ya Kuimaliza CHADEMA Kabla ya 2015. UJUMBE:KUBEBA MIMBA SI KAZI, KAZI NI KULEA MWANA. Wako wapi akina John Cheyo, Lyatonga Mrema n.k, Kumbuka Walianza harakati Miaka mingapi Iliyopita, Msikurupuke Mwishowe Muukose hapa Ubunge wa Vyama vyenu na Wengine Mharibu Kazi zenu Serikalini Kisa Kutumiwa na CCM Kuiua CHADEMA. Ni Ushauri wangu tu!

Hata CHAUMA kilikua na malengo haya
 
Mkiona mnaegemea kwenye matusi, ni wazi kuwa hamna hoja

Tatzo JF ukiwa na hoja watu wana kujibu matusi with time inabidi uende nao ivo ivo...Haiwezekani asubuhi asubuhi mtu uanzisha thread ya kubuni then unaweka na source...ukienda kwenye source habari io haipo...I hate siasa za maji taka,vilaza wanapost unverified story ili watu tuwachukie watu flani
 
Adui wa mendeleo nchini amekua CDM? na sio CCM tena?Mbona ni jambo la kushangaza sana,kama chama kimeundwa,na lengo lao kuu ni kuisambaratisha CDM sioni mantiki ya kuanzishwa kwa chama iko,Kimsingi chama cha upinzani huanzishwa kukipinga kile kinachoongoza.

Swali:Je CDM ndicho chenye dola?
 
Tatzo JF ukiwa na hoja watu wana kujibu matusi with time inabidi uende nao ivo ivo...Haiwezekani asubuhi asubuhi mtu uanzisha thread ya kubuni then unaweka na source...ukienda kwenye source habari io haipo...I hate siasa za maji taka,vilaza wanapost unverified story ili watu tuwachukie watu flani
Mkuu, mbona habari hii imeandikwa sana na Mtanzania? Au hujawahi kuisoma?
 
hiyo ndo demokrasia ya tanzania....wanyonge ndo wanaovutana mashati
 
mwenyekiti wetu hana hela lakini hana njaa...wenyeviti wenu (including wa ccm) hawana hela na wana njaa.
Kama hana hela, atawezaje kuwalisha wenyeviti wa vyama vingine? Hapo sasa unakubaliana nami kuwa Mbowe anapewa fedha na akina Lowasa, Rostam na Mkono
 
AMINI AMINI nakwambia mtoa maada hicho chama kipya kitakuwa kinapambana na ccm kuwania nafasi ya pili kuwa mpinzani wa CHADEMA,kwa sasa CDM ndiyo chama chenye matumaini kwa raia wengi kuwa ndiyo kitaleta ukombozi wa kweli dhidi ya mkoloni mweusi ccm. Hivyo nakusihi usirudie tena kulinganisha vyama vyenu vya kisaliti hivyo na CHADEMA.CCM ni wapinzani tayari ni kitendo cha kusubiri hiyo miezi 22 tu,kama huamini utakuwa unabishia uzoefu. Na hilo chama lenu litakuwa litakuwa genge la wasaliti na kamwe haliwezi kuinuka juu ya CDM.
 
Hiyo ni kwa mtazamo wako. Ndo maanamhata ccm mmejaribu kutoa tafsiri mbadala lakini hamjafanikiwa

naomba unipongeze kwa kukusaidia kupata buku 7 za leo. maana nasikia mnalipwa kwa idadi ya 'qoutes' na 'replies'
 
mimi natoka nyanda za juu kusini na ndiko ngome ya chadema na ukitaka kujua wambie ccm wa na mwenyekiti wao taifa pamoja mwanamuziki wao daimond kinana na nape waitishe mkutano na chadema aitishe mwenyekiti wa kitongoji arafu uone wapi watajaa achana na cha chadema ni mpango wa mungu
Ndiyo nyinyi vibaraka na misukule.
 
Inategemeana mkuu, hata CHADEMA kilianzishwa kwa malengo ya kumkomboa Mtanzania, leo hii kimekuwa cha wahafidhina, malaya na saccoss ya wachagga tena wamachame , bora hata ingekuwa saccoss ya wachagga wote.

kweli dhambi ya ubaguzi haiishi....mmetoka kusema cha wakristo mkasema cha wachagga na sas co wachagga wote bal wamachame badae mtasema cha kata fulani>kijiji fulani>ukoo fulani>kaya fulani na mwisho cha mtoto wa mwisho na co watoto wote.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom