Gobole
JF-Expert Member
- Dec 29, 2013
- 1,807
- 4,687
swaiba eliza, mleta uzi sio kenge tu bali ni kenge maji.
Sio kenge maji...huyu atakua kenge mfa maji...
swaiba eliza, mleta uzi sio kenge tu bali ni kenge maji.
Ungangari wa CUF upo wapi?Bora umempasha!tumeona ADC ikianzishwa ili kuikomoa CUF,lakini mpaka leo CUF ni ngangari sembuse ACT
wale waliokuwa wanasema kuwa ZITTO anatumika na CCM sasa wameumbuka



Mkiona mnaegemea kwenye matusi, ni wazi kuwa hamna hojaSio kenge maji...huyu atakua kenge mfa maji...
Ulitaka niishie wapi?Kaandika chanzo Mtanzania halafu mwisho anatuambia amekariri hapo unadhani kuna Mkurya boya kama huyu?Mkuu, yaani umefikiriiii ndo umeishia hapo?
Kwa hiyo ACT itakua haina mwenyekiti mpaka siku zitto atakapofukuzwa cdm?Mkuu, yaani umefikiriiii ndo umeishia hapo?
Waulize MtanzaniaKwa hiyo ACT itakua haina mwenyekiti mpaka siku zitto atakapofukuzwa cdm?
Na kihiyo wenu Mbowe ambaye alisema ana cd za watu waliohusika na bomu la soweto?
Hakuna upinzani Tanzania. Ni makundi tunyanwaganga njaaDhana nzima ya vyama vya upinzani (vyama vingi)Tanzania ni kengeufu...
Sasa ni wazi Chadema itabakia na wa wakaskazini watupu na vibaraka wao.
Kwa fedha anazopewa na akina Nimrod Mkono na Lowasa!mwenyekiti wetu anaweza kulisha wenyeviti wote wa vyama vya siasa hapa Tanzania
Ukiambiwa umekaririshwa unakataa? Hapo umejibu nini?Waulize Mtanzania
Kanda ya nyanda za juu ipi mkuu. Kwani Songea si Kanda ya Nyandanza Juu Kusini? Kwani Rukwa si kanda za nyanda zq juu kusini? Fafanua Mkuumimi natoka nyanda za juu kusini na ndiko ngome ya chadema na ukitaka kujua wambie ccm wa na mwenyekiti wao taifa pamoja mwanamuziki wao daimond kinana na nape waitishe mkutano na chadema aitishe mwenyekiti wa kitongoji arafu uone wapi watajaa achana na cha chadema ni mpango wa mungu
Sipati picha, hapa kitila mkumbo, kule zitto, kuleeeee samson mwigamba..
Fuatilia swali lilihusu nini Mkuu. Si kukurupuka tuUkiambiwa umekaririshwa unakataa? Hapo umejibu nini?