Lizaboni
JF-Expert Member
- Feb 21, 2013
- 33,901
- 20,416
Katika wasomi wewe haupoHao wasomi ni akina nani?
Bado vyama vinavyoanzishwa kwa itikadi ya "Hasira" na sera za "Kukomoa" vipo?
Maana hakuna sera wala itikadi iliyowaunganisha.
Katika wasomi wewe haupoHao wasomi ni akina nani?
Bado vyama vinavyoanzishwa kwa itikadi ya "Hasira" na sera za "Kukomoa" vipo?
Maana hakuna sera wala itikadi iliyowaunganisha.
Na wewe piaUnachanganyana na nani?
Wewe upo kundi lipi SOTOKA au MIZIGO?Katika wasomi wewe haupo
Mungu yupi huyo? Swali hili huwa nauliza mara nyingi lakinimsipati jibuchadema ni mpango wa Mungu,wanajichosha bure. laana itakuwa juu yao watakaopanga mipango isiyopangika kwa chadema.
Si miongoni mwa makundi hayo. Sijazoea kuishi kimakundi. Mambo hayo yapo chadema tuWewe upo kundi lipi SOTOKA au MIZIGO?
Mkuu, yaani umefikiriiii ndo umeishia hapo?Sijawahi ona Mkurya mjinga kama wewe
Hao wasomi ni akina nani?
Bado vyama vinavyoanzishwa kwa itikadi ya "Hasira" na sera za "Kukomoa" vipo?
Maana hakuna sera wala itikadi iliyowaunganisha.
Bora umempasha!tumeona ADC ikianzishwa ili kuikomoa CUF,lakini mpaka leo CUF ni ngangari sembuse ACTSijawahi ona Mkurya mjinga kama wewe
Hayawezi kuwepo kwenye katiba. Ila cha muhimu ni kuwa wale waliochoshwa na ndoa na chadema, sasa wamepata mbadala.Chama kinaundwa ili kuisambaratisha CHADEMA?!! Kwenye katiba na Sera zao sijui inaeleza nini ili kutimiza malengo yao. Walianza SAU,sasa ni ACT;maana waanzilishi wao walitoka CDM. Hivi CDM ni chama tawala? ACT ni wapinzani au wajukuu wa CCM?
Mungu yupi huyo? Swali hili huwa nauliza mara nyingi lakinimsipati jibu
Amini usiamini. Katika uchaguzi huo, chadema hamtaambulia hata kiti kimojangoja nikusaidie chadema ni taasisi zitto kaisha na ukitaka kujua moto wa cdm angalia matokeo ya huu uchaguzi mdogo wa madiwani
Uwezo wako wakufikiri ni mdogo unaishi kwa kukariri.Si miongoni mwa makundi hayo. Sijazoea kuishi kimakundi. Mambo hayo yapo chadema tu
Na kihiyo wenu Mbowe ambaye alisema ana cd za watu waliohusika na bomu la soweto?yule mwigulu alisema atapeleka ushahidi akasanda
Mkuu, nimekariri mistari ya nani?Uwezo wako wakufikiri ni mdogo unaishi kwa kukariri.