ACT (Alliance for Change and Transparency) kuisambaratisha chadema

ACT (Alliance for Change and Transparency) kuisambaratisha chadema

Status
Not open for further replies.
AMINI AMINI nakwambia mtoa maada hicho chama kipya kitakuwa kinapambana na ccm kuwania nafasi ya pili kuwa mpinzani wa CHADEMA,kwa sasa CDM ndiyo chama chenye matumaini kwa raia wengi kuwa ndiyo kitaleta ukombozi wa kweli dhidi ya mkoloni mweusi ccm. Hivyo nakusihi usirudie tena kulinganisha vyama vyenu vya kisaliti hivyo na CHADEMA.CCM ni wapinzani tayari ni kitendo cha kusubiri hiyo miezi 22 tu,kama huamini utakuwa unabishia uzoefu. Na hilo chama lenu litakuwa litakuwa genge la wasaliti na kamwe haliwezi kuinuka juu ya CDM.
Hivi ule wimbo wa CCM Nambari One ulijua maana yake?
 
Source: Mtanzania. Ila haijaandikwa na Mtanzania.

Hata jana Mwananchi lilizuliwa kuandika habari za uzushi kuhusu Mnyika.
 
atamsaliti nani wakati yeye ni muasisi?

Atasaliti dhamira zao kwani bado wengine wanamwamini na kudhani ni mwanaharakati wa demokrasia ya kweli kumbe ni mpango mkakati kamili wa ccm kuua cdm kama walivyofanikiwa huko nyuma kudhoofisha vyama vyenye nguvu
 
Accumulation of Country Traitors (ACT),Chama cha wasaliti wa nchini, haya magenge ya wasaliti yanayo anzishwa kwa kupewa majina ya eti CHAMA CHA KISIASA ni ya kuwa nayo makini saaaana.Huu si ni upumbavu wa hali ya juu mno, kuanzishwa chama kwa malengo ya kudhoofisha chama kingine cha upinzani!!!!!!. Tuweni makini na hao traitors waliostukiwa kwenye vyama vyao na kufukuzwa.
 
mimi natoka nyanda za juu kusini na ndiko ngome ya chadema na ukitaka kujua wambie ccm wa na mwenyekiti wao taifa pamoja mwanamuziki wao daimond kinana na nape waitishe mkutano na chadema aitishe mwenyekiti wa kitongoji arafu uone wapi watajaa achana na cha chadema ni mpango wa mungu

acha uongo tutajie wabunge hata wawili wa chadema wanaotoka huko ka kwel inakubalika..
 
Zitto amedhihirika kuwa kibaraka, Pamoja na kazi zake. Njaa inashughulikiwa kwa namna nyingi.
 
Umeandika source ni Mtanzania; kisha ujafuatia kusema kwamba haijaandikwa na mtanzania bali wewe kwa juhudi zako! Tuelewe kipi sasa?!
 
Malengo ya hicho chama yanatia shaka,kama lengo ni kuundwa ili kuisambaratisha CDM basi watanzania tuna safari ndefu ya kuiondoa CCM madarakani ili tuweze kupata maendeleo ya Kweli nchi hii.
 
Mkuu, mbona habari hii imeandikwa sana na Mtanzania? Au hujawahi kuisoma?

La lini?au hili nlilonalo apa lina mis page?tatzo ht kwenye magazeti nao wamekua km vilaza wa JF wanaandika unverified story bila kuangalia implication zake...habari iliyokamilika lazma iwe na pande mbili bt za wa tz utaskia hadi tunaingia mitamboni simu yake ilikua haipatikani...ndivyo walivyofundishwa vyuoni?na hadi ukweli uje ufahamike the damage has already been done...na ss wa tz tumekua km bendera fata upepo kwa kufuata na kushabikia chochote kinacholetwa mbele yetu..na wana siasa wamelishalitambua hilo...full kutuyumbisha na kututoa kwenye mambo ya msingi na kutu keep bze na mambo ya hovyo hovyo tu....
 
Hii habari iliripotiwa siku kama 2 au 3 zilizopita na gazeti hili la Mtanzania.Labda kama imerudiwa tena kwenye gazeti la leo.
 
Watanzania wengine ni majanga matupu sasa wewe mleta mada unaposema viongozi wa CHADEMA hawawezi kusimama na wake zao jukwaani una maanisha nini?, kwani tangu lini wake wa viongozi wa Taifa hili wamekuwa na tija kwa Taifa zaidi ya kuongeza mizigo ya ghalama zisizo za lazima!.

Mbona mnakuwa mashabiki wa umalaya badala ya kuangalia mambo ya msingi?, afu inaelekea Mbowe mnamtamani sana tafadhalini sana msije mwingiza Kiongozi wetu kwenye tabia za kipwani maana wengi mnaoshoboka ni wanaume mnategemea nini kama sio kupigwa dushe?. Acheni hizo akichoka na kujipendekeza kwenu atazaa na mmoja wenu, mtazaaje wakati ninyi ni madume mtajua wenyewe!!.
 
Inatia shaka kama Watanzania tunajua tulifanyalo.Wakati tunatakiwa kuimarisha upinzani,siye tumekaa kuupiga vita kwa sababu tu ya pesa ndogo za mafisadi.Hivi itatusaidia nini kupokea nipande thelathini vya dhahabu halafu jioni unajinyonga?Majangili,mafisadi,na wala rushwa pamoja na wanaoitwa wawekezaji watazidi kutumaliza na sisi tunawapigia makofi.Inatia hasira na uchungu,halafu wengine wamebaki kuingilia maisha ya watu,Udini,ukabila,ukanda na matusi.

Na mbaya zaidi wanaoanza matusi wakitukanwa wanalamika kwa nini unatukana.Hivi kun faida gani kumuita mtu mwingine mwenye maisha yake MALAYA,na wewe unaita mwenzio MALAYA unausafi gani?
Wanasema hivi...'Usihukumu uisje ukahukumiwa"Tuache tabia chafu za kuchafuana ,tujenge argument zetu kwa hoja tuache kutukana watu haina faida.Tukianza kuwachunguza viongozi wetu wote bila kujali vyama tunaweza kukata tamaa.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom