ACT (Alliance for Change and Transparency) kuisambaratisha chadema

ACT (Alliance for Change and Transparency) kuisambaratisha chadema

Status
Not open for further replies.
Hii ndio demokrasia tunayoitaka, Haiwezekani tukawa na chama kimesheheni watu wa familia moja.
Karibu ACT-Tanzania uongeze changamoto ya maendeleo na demokrasia ya kweli.
 
Source: Gazeti la Mtanzania linalomilikiwa na CCM...................... Endelea kuamini hivyo hivyo

yaani machadema bana. kila gazeti ni la CCM. Mwisho mtalikataa mpaka gazeti lenu la Tanzania Daima
 
Source: Gazeti la Mtanzania linalomilikiwa na CCM...................... Endelea kuamini hivyo hivyo

Siyo uhuru tena? mbona mwajikanyaga, ulitaka liandike kama Tanzania Daima lililoanzishwa kwa fedha za chama lakini lina hati miliki ya FREEMEDIA?
 
Kwa hiyo hiki chama kimesajiliwa si kwa ajili ya kutaka kumkomboa Mtanzania masikini bali ni kwa ajili ya kuibomoa CDM? Poor them and you musukule.
Nimependa ulivyo uliza swali na muda huo kuhoji hata mimi nashanga kimeundwa ili kiibomoe chadema
 
Kwa hiyo hiki chama kimesajiliwa si kwa ajili ya kutaka kumkomboa Mtanzania masikini bali ni kwa ajili ya kuibomoa CDM? Poor them and you musukule.

Inategemeana mkuu, hata CHADEMA kilianzishwa kwa malengo ya kumkomboa Mtanzania, leo hii kimekuwa cha wahafidhina, malaya na saccoss ya wachagga tena wamachame , bora hata ingekuwa saccoss ya wachagga wote.
 
Tusubiri tuone uimara wa CHADEMA, kwa sasa hakuna kiongozi wa CDM anaweza kusimama na mke wake jukwaani na kusema huyu ndiyo mke wangu, maana wengine watajitokeza huku Mshumbuzi, kule Rose kamili, hapa Joyce Mukya pale sijui nani yule nimemsahau jina. Uimara wa siasa sasa zero kabisaaaa.
Kwani wewe ni Mke wa Mbowe au Slaa?
 
Chama kipya cha Alliance for Change and Transparency(ACT-TANZANIA) ambacho tayari kimeshapata usajili wa Muda kinatarajiwa kuwa ndio tishio la Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kutokana na kuundwa na Idadi kubwa ya vigogo wa chama hicho ambacho kwa sasa kimo ndani ya mgogoro mzito na aliyekuwa Naibu Katibu Mkuu wao, ZITTO ZUBERI KABWE.

Hatua hiyo imeonesha dalili za wazi za kukimaliza CHADEMA na kwamba huenda chama hicho kikafika mwaka 2015 kikiwa mahututi kutokana na kuondokewa na wanachama wake wote wenye mvuto.

Taarifa za uhakika zimebainisha kuwa safu ya uongozi wa chama hicho itaundwa na idadi kubwa ya wanachama kutoka CHADEMA ambapo Samson Mwigamba anatajwa kuwa Katibu Mkuu, huku ZITTO Kabwe akipewa nafasi ya kuwa Mwenyekiti wakisaidiwa kwa karibu na wanachama mahiri na wasomi kutoka CHADEMA.

ZITTO anatarajiwa kujiunga na chama hicho mara baada ya kumalizika kwa bunge la Katiba ambapo kama atakuwa amevuliwa uanachama atakuwa tayari kujiunga na Chama hicho.

Mkakati wa Chama hicho ni kuhakikisha wanakuwa mbadala wa CHADEMA na kwamba dhamira yao kubwa ni kuhakikisha wanaendesha siasa zao kwa kutumia demokrasia ya kweli na hawako tayari kukifanya chama hicho kuwa cha watu wachache.

Source: MTANZANIA

NB. Hii haijaandikwa ndani ya Gazeti hili la mtanzania, Nimeipata kwa juhudi zangu binafsi. Wengine wanaotarajia kujiunga na chama hiki ni Pamoja na Prof. Mweisiga Baregu(CHADEMA), Prof. Safari(CHADEMA), Hamad Rashid(CUF), KAFURIRA(NCCR-MAGEUZI), MABERE MARANDO(CHADEMA) na FILIKU NJOMBE kutoka chama Tawala.

Hao wasomi ni akina nani?

Bado vyama vinavyoanzishwa kwa itikadi ya "Hasira" na sera za "Kukomoa" vipo?

Maana hakuna sera wala itikadi iliyowaunganisha.
 
Kama ACT-Tanzania inaundwa kwa lengo la kuisambaratisha CHADEMA huku kikiongozwa na Mwenyekiti Zitto na Katibu mkuu Mwigamba, inanifanya niamini kuwa pesa zilizotolewa ili kuisambaratisha CHADEMA kwa kutumia mawakala wa CCM wakiongozwa na Zitto ndizo zitakazo tumika kusaidia mawakala hao wakiwa nje ya CHADEMA.

Kama walipokuwa ndani wameshindwa, je wakiwa nje wataweza kuisambaratisha CHADEMA?

Poor on you Team Zitto.
Hakuna njia bora zaidi ya kukisambaratisha chama kama kuondokewa na wanachama wake wenye mvuto. Watakaobaki ni misukule tu
 
ACT = Atermisinin Combination Therapy Hii dawa ni mbadala wa Chloroquin. Dawa ya kutibu malaria. Hicho kifupi chake ACT kiko patented. Itabidi watafute jina jingine.

On a serious note kumbe ACT ni mbadala wa CHADEMA na wala sio CCM?! You can't be serious.

Hii yote ni kwaajili kuhalalisha pesa walizopewa na CCM kuisambaratisha CDM? "Team Zitto" historia na vitabu inaonesha hakuna DOUBLE AGENT aliyewahi kuachwa na Dola akafaidi pesa za u-double agent bila kuwa assassinated. You're real for it!
 
Inashangaza kweli.
yaani Jitihada zote ni kuiharibu cdm, Ni kichaa tu anayeweza kufanya vitu kama hivo,
Tanzania tuna Vyama Viwili tu,mbavyo ni Chadema na Ccm vingine ni Magumashi,
Chadema moto wa kuotea mbali yaani mpaka kuanzisha chAma kingine si mchezo.
Ha haa kwa mara kwanza nasikia Mwana CHADEMA anasema CCM ni chama , kweli mmeanza kubadilika, ondokeni kwenye uhafidhina, ufuska, umalaya na u-SACCOS, tubuni dhambi mrudi CCM, chama cha watanzania
 
Bora ili Zitto aendelee kula tsh 400m toka ccm,kina mwigamba awape tsh150000.yaani huko ndiyo ataziuza mpaka familia za wanachama wake kwa ccm
 
Hao wasomi ni akina nani?

Bado vyama vinavyoanzishwa kwa itikadi ya "Hasira" na sera za "Kukomoa" vipo?

Maana hakuna sera wala itikadi iliyowaunganisha.
mkuu, kwanza utambue kuwa kila anayeanzisha chama cha siasa lazima atakuwa ametoka kwenye chama fulani cha siasa ambacho ameshindwa kutimiza ndoto zake. Ni ccm pekee ambacho ndicho kimeundwa kwa misingi ya wananchi. Vingine ikiwemo chadema ni vya maslahi tu
 
Inategemeana mkuu, hata CHADEMA kilianzishwa kwa malengo ya kumkomboa Mtanzania, leo hii kimekuwa cha wahafidhina, malaya na saccoss ya wachagga tena wamachame , bora hata ingekuwa saccoss ya wachagga wote.
Kama vile wapare walivyologwa na kupumbazwa na ccm
 
Kwa hiyo hiki chama kimesajiliwa si kwa ajili ya kutaka kumkomboa Mtanzania masikini bali ni kwa ajili ya kuibomoa CDM? Poor them and you musukule.

Ndio maana huwa nasema Tanzania tunatakiwa tuwe na vituo vingi sana vya kupima akili bila kujali huyu ni profesa au tahira, ndio maana hata humu jf siku hizi hakuna mijadala ya kitaifa, eti chama kinaanzishwa kuikabili CDM, na shida za watanzania vipi, maajabi, poor thatha
 
Ha haa kwa mara kwanza nasikia Mwana CHADEMA anasema CCM ni chama , kweli mmeanza kubadilika, ondokeni kwenye uhafidhina, ufuska, umalaya na u-SACCOS, tubuni dhambi mrudi CCM, chama cha watanzania
Sijawahi ona Mkurya mjinga kama wewe
 
Juzi Kagame kamtumia salamu Zitto,juu ya madhara ya uasi
 
ACT = Atermisini Combination Therapy Hii dawa ni mbadala wa Chloroquin. Dawa ka kutibu malaria. Hicho kifupi chake ACT kiko patented. Itabidi watafute jina jingine.

On a serious note kumbe ACT ni mbadala wa CHADEMA na wala sio CCM?! You can't be serious.

Hii yote ni kwaajili kuhalalisha pesa walizopewa na CCM kuisambaratisha CDM? "Team Zitto" historia na vitabu vinaonesha hakuna DOUBLE AGENT aliyewahi kuachwa na Dola akafaidi pesa za u-double agent bila kuwa assassinated. You're real for it!
Kila mtu akileta tafsiri ya kutokana na taaluma yake itakuwa tunachanganyana tu
 
chadema ni mpango wa Mungu,wanajichosha bure. laana itakuwa juu yao watakaopanga mipango isiyopangika kwa chadema.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom