Tlaatlaah
JF-Expert Member
- May 18, 2023
- 36,382
- 30,953
hakuna jambo la kufurahia kwenye uhalisia gentleman šKakifute ili ufurahie.

Move on.Hizi roho za kihutu kabisa sasa! Zililetwa na Bwana yule na sasa liroho lishakomaa kabisa hamna wa kuzima mabadiliko kwa sasa wajue tu
Inasikitisha sanaHizi roho za kihutu kabisa sasa! Zililetwa na Bwana yule na sasa liroho lishakomaa kabisa hamna wa kuzima mabadiliko kwa sasa wajue tu
Be blessed Britanicca Mungu akutunze sanaWasalaamu
Niliwaandikia mambo kadhaa na muda Mwingine napuuzwa Ila yakishatokea wanakuwa wanapuuza wanakausha,
Nyuzi nyingi naziletaga ama kwa codes au Kama utani, au Kama swali kumbe ndo nakuwa nafikisha ujumbe
1. Niliwaandikia la Mbowe kutoa baraka kwa COVID 19 na watu wakahisi natania,
2. Nikawaambia kuwa hawa COVID-19 CHADEMA itawafukuza Kama geresha tu nilitukanwa sana Ila ukweli nakuwa nao sioni haja ya kushindana na watoto wenye techno za shangazi zao na bando la 500
3. Juzi nimewaambia kuhusu mbelgiji kupewa kesi, na kufanya kila mbinu viongozi wake wafungwe na ku frustrate chama wakabeza yametokea Yale Yale
Uzi
![]()
Nyumba mithili ya Meli pachungu hapakaliki, mbelgiji awe makin sana, aliyeshika pembe anaingizwa Chaka kumuumiza
Yes the man is Smart Chama WALATA kilizoea sana vya kuchinjwa, kwa sasa Mbelgiji katembelea Taasisi zaidi ya 30 na mashirika ya Kimataifa na balozi za nchi mbali mbali, kwamba āHAKUNA MAGEUZI HAKUNA KUDINDISHAā isomeke hivi penye (L)pakiwekwa (R) Jamaa ameonekana mtu anayefuata utaratibu...www.jamiiforums.com
Nirudi kwenye msingi sasa
Nimeongea ma mtu mzito sana hapo Magogoni kaniambia kwamba pamoja na kuishake CHADEMA bado ndo wanaongezewa nguvu
Sasa wataandaa watu Kwenda kulalamika kuhusu michango wanayopokea CHADEMA inafanya nini, na hii TONE TONE ni kwamba haijapata kibali kutoka hazina kuchangisha Pesa, Kwakuwa kuchangisha Pesa hadi upewe kibali maalumuā
Kwamba watafreeze account za chama na kuwapiga marufuku kuendelea na ukusanyaji fedhaā
Britanicca
Mwanamke aliye kwenye ndoa kama ni mchafu na hajui kupika lazima achukie na aogope mchepuko wa mumeweHivi ni kwa nini wanaichukia sana hiyo Chadema? Muulize huyu mnyetishaji wako tafadhari.
Matendo yao dhidi ya wanyonge ni machukizo mbele ya Muumba wao- hivi wanajua au wanapotezea?
Kwa trend iliyopo hilo lina uwezekano mkubwa wa kuwa kweli ila wakifanya hivyo wataifanya CDM iwe na nguvu zaidi.Wasalaamu
Niliwaandikia mambo kadhaa na muda Mwingine napuuzwa Ila yakishatokea wanakuwa wanapuuza wanakausha,
Nyuzi nyingi naziletaga ama kwa codes au Kama utani, au Kama swali kumbe ndo nakuwa nafikisha ujumbe
1. Niliwaandikia la Mbowe kutoa baraka kwa COVID 19 na watu wakahisi natania,
2. Nikawaambia kuwa hawa COVID-19 CHADEMA itawafukuza Kama geresha tu nilitukanwa sana Ila ukweli nakuwa nao sioni haja ya kushindana na watoto wenye techno za shangazi zao na bando la 500
3. Juzi nimewaambia kuhusu mbelgiji kupewa kesi, na kufanya kila mbinu viongozi wake wafungwe na ku frustrate chama wakabeza yametokea Yale Yale
Uzi
![]()
Nyumba mithili ya Meli pachungu hapakaliki, mbelgiji awe makin sana, aliyeshika pembe anaingizwa Chaka kumuumiza
Yes the man is Smart Chama WALATA kilizoea sana vya kuchinjwa, kwa sasa Mbelgiji katembelea Taasisi zaidi ya 30 na mashirika ya Kimataifa na balozi za nchi mbali mbali, kwamba āHAKUNA MAGEUZI HAKUNA KUDINDISHAā isomeke hivi penye (L)pakiwekwa (R) Jamaa ameonekana mtu anayefuata utaratibu...www.jamiiforums.com
Nirudi kwenye msingi sasa
Nimeongea ma mtu mzito sana hapo Magogoni kaniambia kwamba pamoja na kuishake CHADEMA bado ndo wanaongezewa nguvu
Sasa wataandaa watu Kwenda kulalamika kuhusu michango wanayopokea CHADEMA inafanya nini, na hii TONE TONE ni kwamba haijapata kibali kutoka hazina kuchangisha Pesa, Kwakuwa kuchangisha Pesa hadi upewe kibali maalumuā
Kwamba watafreeze account za chama na kuwapiga marufuku kuendelea na
AKILI YAKO NIKAMA YA MBUZI WA SUDANITone Tone na uchangishaji usio rasmi wa fedha ni njia ya kutakatisha fedha.
Yaani mnapewa fedha na walami halafu mnajidai mnataka kuvuruga uchaguzi.
Hamkatazwi kupewa fedha lakini mkumbuke fedha hizo zikishaingia kwenye akaunti ni mali ya umma na lazima zifuate taratibu za kisheria za matumizi ta fedha.
CAG afanye ukaguzi maalumu kutambua fedha zilizopo kwenye akaunti ya CDM zinetokea wapi?
Mtahangaika sana na kwa vile Mungu kaiacha ccm ife, tutashuhudia mengi.Tone Tone na uchangishaji usio rasmi wa fedha ni njia ya kutakatisha fedha.
Yaani mnapewa fedha na walami halafu mnajidai mnataka kuvuruga uchaguzi.
Hamkatazwi kupewa fedha lakini mkumbuke fedha hizo zikishaingia kwenye akaunti ni mali ya umma na lazima zifuate taratibu za kisheria za matumizi ta fedha.
CAG afanye ukaguzi maalumu kutambua fedha zilizopo kwenye akaunti ya CDM zinetokea wapi?
Kama wanaweweseka kwa michango ya tonetone tu kiasi cha kuhoji inatumikaje, basi hawa wahuni wako kwenye confusion na desperation mbaya kabisa...Wasalaamu
Niliwaandikia mambo kadhaa na muda Mwingine napuuzwa Ila yakishatokea wanakuwa wanapuuza wanakausha,
Nyuzi nyingi naziletaga ama kwa codes au Kama utani, au Kama swali kumbe ndo nakuwa nafikisha ujumbe
1. Niliwaandikia la Mbowe kutoa baraka kwa COVID 19 na watu wakahisi natania,
2. Nikawaambia kuwa hawa COVID-19 CHADEMA itawafukuza Kama geresha tu nilitukanwa sana Ila ukweli nakuwa nao sioni haja ya kushindana na watoto wenye techno za shangazi zao na bando la 500
3. Juzi nimewaambia kuhusu mbelgiji kupewa kesi, na kufanya kila mbinu viongozi wake wafungwe na ku frustrate chama wakabeza yametokea Yale Yale
Uzi
![]()
Nyumba mithili ya Meli pachungu hapakaliki, mbelgiji awe makin sana, aliyeshika pembe anaingizwa Chaka kumuumiza
Yes the man is Smart Chama WALATA kilizoea sana vya kuchinjwa, kwa sasa Mbelgiji katembelea Taasisi zaidi ya 30 na mashirika ya Kimataifa na balozi za nchi mbali mbali, kwamba āHAKUNA MAGEUZI HAKUNA KUDINDISHAā isomeke hivi penye (L)pakiwekwa (R) Jamaa ameonekana mtu anayefuata utaratibu...www.jamiiforums.com
Nirudi kwenye msingi sasa
Nimeongea ma mtu mzito sana hapo Magogoni kaniambia kwamba pamoja na kuishake CHADEMA bado ndo wanaongezewa nguvu
Sasa wataandaa watu Kwenda kulalamika kuhusu michango wanayopokea CHADEMA inafanya nini, na hii TONE TONE ni kwamba haijapata kibali kutoka hazina kuchangisha Pesa, Kwakuwa kuchangisha Pesa hadi upewe kibali maalumuā
Kwamba watafreeze account za chama na kuwapiga marufuku kuendelea na ukusanyaji fedhaā
Britanicca
Nashauri CHADEMA waendelee na hii kampeni ya NRNE bila ukomo. Habari ya uchaguzi wawaachie CCM na vyama vya mfukoni wakati huu na ujao wautumie kujijenga kichama kwa kuandikisha wanachama wapya, kufungua matawi mengi iwezekanavyo katika kila mkoa nchi nzima na waweke kiongozi makini huku mitaani wakati ngazi za juu wakishinikiza Katiba Mpya na Tume huru ya uchaguzi.Mleta mada yuko sahihi. Ila njia watakayotumia ni ya Msajili wa Vyama vya Siasa.
Wamepanga Msajili aandike barua kwa Taasisi za Fedha na Makampuni ya Simu kuyaagiza wasitoe ushirikiano kwa John Mnyika ambaye ndiye Afisa Maduhuli wa Chadema ili kufanya Chadema washindwe kutoa fedha wanazotumiwa na wananchi.
Uzuri ni kwamba wakifunga hizi account Wananchi hatutakata tamaa. Itafika kipindi Chadema watalala bure kwenye Guest na Lodge zetu, watawekewa mafuta bure kwenye petrol stations na kupewa michango kwa Cash ili shughuli ziendelee.
Kwa kifupi wakifanya hivyo ndo watasababisha hata huo uchaguzi wa Oktoba usifanyike kweli kwa namna wananchi watakavyoungana na Chadema ku riot.
Watu watawawekea Magari ya mafuta kwenye station nyakati ya kuendelea na operation.Na hapo ndipo watazidisha huruma ya wananchi....wao wafanye vyote watakavyo...ni faida.
Hakuna huruma ya wananchi mtakayopata mkivunja sheria ni lazima mshughulikiweMtahangaika sana na kwa vile Mungu kaiacha ccm ife, tutashuhudia mengi.
Ccm ilipoanza tu kuteka na kuua watu, Mungu akaachana nayo.
Hili wala halihitaji utabiri au nini.Nirudi kwenye msingi sasa