MIZANIA TZ
JF-Expert Member
- Sep 22, 2024
- 699
- 369
🤔 🤔 🤔Tunajua TISS ilishakufa kitengo kinachofanyakazi ni uvccm

ni muhimu sana vyama vya siasa visivyo fanya shughuli za kisiasa kufutwa tu 🐒Wasalaamu
Niliwaandikia mambo kadhaa na muda Mwingine napuuzwa Ila yakishatokea wanakuwa wanapuuza wanakausha,
Nyuzi nyingi naziletaga ama kwa codes au Kama utani, au Kama swali kumbe ndo nakuwa nafikisha ujumbe
1. Niliwaandikia la Mbowe kutoa baraka kwa COVID 19 na watu wakahisi natania,
2. Nikawaambia kuwa hawa COVID-19 CHADEMA itawafukuza Kama geresha tu nilitukanwa sana Ila ukweli nakuwa nao sioni haja ya kushindana na watoto wenye techno za shangazi zao na bando la 500
3. Juzi nimewaambia kuhusu mbelgiji kupewa kesi, na kufanya kila mbinu viongozi wake wafungwe na ku frustrate chama wakabeza yametokea Yale Yale
Uzi
![]()
Nyumba mithili ya Meli pachungu hapakaliki, mbelgiji awe makin sana, aliyeshika pembe anaingizwa Chaka kumuumiza
Yes the man is Smart Chama WALATA kilizoea sana vya kuchinjwa, kwa sasa Mbelgiji katembelea Taasisi zaidi ya 30 na mashirika ya Kimataifa na balozi za nchi mbali mbali, kwamba “HAKUNA MAGEUZI HAKUNA KUDINDISHA” isomeke hivi penye (L)pakiwekwa (R) Jamaa ameonekana mtu anayefuata utaratibu...www.jamiiforums.com
Nirudi kwenye msingi sasa
Nimeongea ma mtu mzito sana hapo Magogoni kaniambia kwamba pamoja na kuishake CHADEMA bado ndo wanaongezewa nguvu
Sasa wataandaa watu Kwenda kulalamika kuhusu michango wanayopokea CHADEMA inafanya nini, na hii TONE TONE ni kwamba haijapata kibali kutoka hazina kuchangisha Pesa, Kwakuwa kuchangisha Pesa hadi upewe kibali maalumu’
Kwamba watafreeze account za chama na kuwapiga marufuku kuendelea na ukusanyaji fedha’
Britanicca
Kwa nini zisiwe za kitutsiHizi roho za kihutu kabisa sasa! Zililetwa na Bwana yule na sasa liroho lishakomaa kabisa hamna wa kuzima mabadiliko kwa sasa wajue tu
Kuna mjinga mmoja yupo huko kwa samia ana akili ndogo sanaWasalaamu
Niliwaandikia mambo kadhaa na muda Mwingine napuuzwa Ila yakishatokea wanakuwa wanapuuza wanakausha,
Nyuzi nyingi naziletaga ama kwa codes au Kama utani, au Kama swali kumbe ndo nakuwa nafikisha ujumbe
1. Niliwaandikia la Mbowe kutoa baraka kwa COVID 19 na watu wakahisi natania,
2. Nikawaambia kuwa hawa COVID-19 CHADEMA itawafukuza Kama geresha tu nilitukanwa sana Ila ukweli nakuwa nao sioni haja ya kushindana na watoto wenye techno za shangazi zao na bando la 500
3. Juzi nimewaambia kuhusu mbelgiji kupewa kesi, na kufanya kila mbinu viongozi wake wafungwe na ku frustrate chama wakabeza yametokea Yale Yale
Uzi
![]()
Nyumba mithili ya Meli pachungu hapakaliki, mbelgiji awe makin sana, aliyeshika pembe anaingizwa Chaka kumuumiza
Yes the man is Smart Chama WALATA kilizoea sana vya kuchinjwa, kwa sasa Mbelgiji katembelea Taasisi zaidi ya 30 na mashirika ya Kimataifa na balozi za nchi mbali mbali, kwamba “HAKUNA MAGEUZI HAKUNA KUDINDISHA” isomeke hivi penye (L)pakiwekwa (R) Jamaa ameonekana mtu anayefuata utaratibu...www.jamiiforums.com
Nirudi kwenye msingi sasa
Nimeongea ma mtu mzito sana hapo Magogoni kaniambia kwamba pamoja na kuishake CHADEMA bado ndo wanaongezewa nguvu
Sasa wataandaa watu Kwenda kulalamika kuhusu michango wanayopokea CHADEMA inafanya nini, na hii TONE TONE ni kwamba haijapata kibali kutoka hazina kuchangisha Pesa, Kwakuwa kuchangisha Pesa hadi upewe kibali maalumu’
Kwamba watafreeze account za chama na kuwapiga marufuku kuendelea na ukusanyaji fedha’
Britanicca
Unafuarahia tanganyika kuliwa na kina abduli na wajomba zake waarabu kwa deals chafu na za hovyo za kuiibia fedha nchi na wewe mtanganyika una unga mkono na kurukarukani muhimu sana vyama vya siasa visivyo fanya shughuli za kisiasa kufutwa tu 🐒
Vodacom si wana utaratibu wa kuchangisha pesa? CRDB si wana utaratibu kama huo wa kutuma au kupokea zawadi?Wasalaamu
Niliwaandikia mambo kadhaa na muda Mwingine napuuzwa Ila yakishatokea wanakuwa wanapuuza wanakausha,
Nyuzi nyingi naziletaga ama kwa codes au Kama utani, au Kama swali kumbe ndo nakuwa nafikisha ujumbe
1. Niliwaandikia la Mbowe kutoa baraka kwa COVID 19 na watu wakahisi natania,
2. Nikawaambia kuwa hawa COVID-19 CHADEMA itawafukuza Kama geresha tu nilitukanwa sana Ila ukweli nakuwa nao sioni haja ya kushindana na watoto wenye techno za shangazi zao na bando la 500
3. Juzi nimewaambia kuhusu mbelgiji kupewa kesi, na kufanya kila mbinu viongozi wake wafungwe na ku frustrate chama wakabeza yametokea Yale Yale
Uzi
![]()
Nyumba mithili ya Meli pachungu hapakaliki, mbelgiji awe makin sana, aliyeshika pembe anaingizwa Chaka kumuumiza
Yes the man is Smart Chama WALATA kilizoea sana vya kuchinjwa, kwa sasa Mbelgiji katembelea Taasisi zaidi ya 30 na mashirika ya Kimataifa na balozi za nchi mbali mbali, kwamba “HAKUNA MAGEUZI HAKUNA KUDINDISHA” isomeke hivi penye (L)pakiwekwa (R) Jamaa ameonekana mtu anayefuata utaratibu...www.jamiiforums.com
Nirudi kwenye msingi sasa
Nimeongea ma mtu mzito sana hapo Magogoni kaniambia kwamba pamoja na kuishake CHADEMA bado ndo wanaongezewa nguvu
Sasa wataandaa watu Kwenda kulalamika kuhusu michango wanayopokea CHADEMA inafanya nini, na hii TONE TONE ni kwamba haijapata kibali kutoka hazina kuchangisha Pesa, Kwakuwa kuchangisha Pesa hadi upewe kibali maalumu’
Kwamba watafreeze account za chama na kuwapiga marufuku kuendelea na ukusanyaji fedha’
Britanicca
Kuchangia ktk account/number za watu binafsi nayo haitawezekana?Wasalaamu

Mleta mada yuko sahihi. Ila njia watakayotumia ni ya Msajili wa Vyama vya Siasa.Vodacom si wana utaratibu wa kuchangisha pesa? CRDB si wana utaratibu kama huo wa kutuma au kupokea zawadi?
Sijawahi kusikia utoaji wa sadaka ukiombewa kibali kutoka benki kuu.
Hata hivyo siwezi kushangaa ikipitishwa sheria mpya ya kuzuia michango ya CHADEMA maana wameshikwa kwenye mshono.
Hapo ndipo wata speed up the accelerations. Chadema ni kamaibada vile watu wanavyochanga sadaka, kunawengi huwa tunawachangia hapa mjini hatujaona kama wanakibali, wivu Tu CCM lazma wakufe safari hiiWasalaamu
Niliwaandikia mambo kadhaa na muda Mwingine napuuzwa Ila yakishatokea wanakuwa wanapuuza wanakausha,
Nyuzi nyingi naziletaga ama kwa codes au Kama utani, au Kama swali kumbe ndo nakuwa nafikisha ujumbe
1. Niliwaandikia la Mbowe kutoa baraka kwa COVID 19 na watu wakahisi natania,
2. Nikawaambia kuwa hawa COVID-19 CHADEMA itawafukuza Kama geresha tu nilitukanwa sana Ila ukweli nakuwa nao sioni haja ya kushindana na watoto wenye techno za shangazi zao na bando la 500
3. Juzi nimewaambia kuhusu mbelgiji kupewa kesi, na kufanya kila mbinu viongozi wake wafungwe na ku frustrate chama wakabeza yametokea Yale Yale
Uzi
![]()
Nyumba mithili ya Meli pachungu hapakaliki, mbelgiji awe makin sana, aliyeshika pembe anaingizwa Chaka kumuumiza
Yes the man is Smart Chama WALATA kilizoea sana vya kuchinjwa, kwa sasa Mbelgiji katembelea Taasisi zaidi ya 30 na mashirika ya Kimataifa na balozi za nchi mbali mbali, kwamba “HAKUNA MAGEUZI HAKUNA KUDINDISHA” isomeke hivi penye (L)pakiwekwa (R) Jamaa ameonekana mtu anayefuata utaratibu...www.jamiiforums.com
Nirudi kwenye msingi sasa
Nimeongea ma mtu mzito sana hapo Magogoni kaniambia kwamba pamoja na kuishake CHADEMA bado ndo wanaongezewa nguvu
Sasa wataandaa watu Kwenda kulalamika kuhusu michango wanayopokea CHADEMA inafanya nini, na hii TONE TONE ni kwamba haijapata kibali kutoka hazina kuchangisha Pesa, Kwakuwa kuchangisha Pesa hadi upewe kibali maalumu’
Kwamba watafreeze account za chama na kuwapiga marufuku kuendelea na ukusanyaji fedha’
Britanicca
😥😥😥Tunajua TISS ilishakufa kitengo kinachofanyakazi ni uvccm
Hila juu ya hila, cdm wanapitia mitihani mizito. Ushauri wangu nadhan cdm wana zaidi ya njia koja ya kuchangia pesaWasalaamu
Niliwaandikia mambo kadhaa na muda Mwingine napuuzwa Ila yakishatokea wanakuwa wanapuuza wanakausha,
Nyuzi nyingi naziletaga ama kwa codes au Kama utani, au Kama swali kumbe ndo nakuwa nafikisha ujumbe
1. Niliwaandikia la Mbowe kutoa baraka kwa COVID 19 na watu wakahisi natania,
2. Nikawaambia kuwa hawa COVID-19 CHADEMA itawafukuza Kama geresha tu nilitukanwa sana Ila ukweli nakuwa nao sioni haja ya kushindana na watoto wenye techno za shangazi zao na bando la 500
3. Juzi nimewaambia kuhusu mbelgiji kupewa kesi, na kufanya kila mbinu viongozi wake wafungwe na ku frustrate chama wakabeza yametokea Yale Yale
Uzi
![]()
Nyumba mithili ya Meli pachungu hapakaliki, mbelgiji awe makin sana, aliyeshika pembe anaingizwa Chaka kumuumiza
Yes the man is Smart Chama WALATA kilizoea sana vya kuchinjwa, kwa sasa Mbelgiji katembelea Taasisi zaidi ya 30 na mashirika ya Kimataifa na balozi za nchi mbali mbali, kwamba “HAKUNA MAGEUZI HAKUNA KUDINDISHA” isomeke hivi penye (L)pakiwekwa (R) Jamaa ameonekana mtu anayefuata utaratibu...www.jamiiforums.com
Nirudi kwenye msingi sasa
Nimeongea ma mtu mzito sana hapo Magogoni kaniambia kwamba pamoja na kuishake CHADEMA bado ndo wanaongezewa nguvu
Sasa wataandaa watu Kwenda kulalamika kuhusu michango wanayopokea CHADEMA inafanya nini, na hii TONE TONE ni kwamba haijapata kibali kutoka hazina kuchangisha Pesa, Kwakuwa kuchangisha Pesa hadi upewe kibali maalumu’
Kwamba watafreeze account za chama na kuwapiga marufuku kuendelea na ukusanyaji fedha’
Britanicca
Walam wangekuwa wanawapa pesa wangekuwa chama tajiri sana, mlami yupi huyo anatuma tena tzs? Halaf laki 1,2 ? Mlami yupo huyo anatoa vihela vidogo vidogo?Tone Tone na uchangishaji usio rasmi wa fedha ni njia ya kutakatisha fedha.
Yaani mnapewa fedha na walami halafu mnajidai mnataka kuvuruga uchaguzi.
Hamkatazwi kupewa fedha lakini mkumbuke fedha hizo zikishaingia kwenye akaunti ni mali ya umma na lazima zifuate taratibu za kisheria za matumizi ta fedha.
CAG afanye ukaguzi maalumu kutambua fedha zilizopo kwenye akaunti ya CDM zinetokea wapi?
Wasalaamu
Niliwaandikia mambo kadhaa na muda Mwingine napuuzwa Ila yakishatokea wanakuwa wanapuuza wanakausha,
Nyuzi nyingi naziletaga ama kwa codes au Kama utani, au Kama swali kumbe ndo nakuwa nafikisha ujumbe
1. Niliwaandikia la Mbowe kutoa baraka kwa COVID 19 na watu wakahisi natania,
2. Nikawaambia kuwa hawa COVID-19 CHADEMA itawafukuza Kama geresha tu nilitukanwa sana Ila ukweli nakuwa nao sioni haja ya kushindana na watoto wenye techno za shangazi zao na bando la 500
3. Juzi nimewaambia kuhusu mbelgiji kupewa kesi, na kufanya kila mbinu viongozi wake wafungwe na ku frustrate chama wakabeza yametokea Yale Yale
Uzi
![]()
Nyumba mithili ya Meli pachungu hapakaliki, mbelgiji awe makin sana, aliyeshika pembe anaingizwa Chaka kumuumiza
Yes the man is Smart Chama WALATA kilizoea sana vya kuchinjwa, kwa sasa Mbelgiji katembelea Taasisi zaidi ya 30 na mashirika ya Kimataifa na balozi za nchi mbali mbali, kwamba “HAKUNA MAGEUZI HAKUNA KUDINDISHA” isomeke hivi penye (L)pakiwekwa (R) Jamaa ameonekana mtu anayefuata utaratibu...www.jamiiforums.com
Nirudi kwenye msingi sasa
Nimeongea ma mtu mzito sana hapo Magogoni kaniambia kwamba pamoja na kuishake CHADEMA bado ndo wanaongezewa nguvu
Sasa wataandaa watu Kwenda kulalamika kuhusu michango wanayopokea CHADEMA inafanya nini, na hii TONE TONE ni kwamba haijapata kibali kutoka hazina kuchangisha Pesa, Kwakuwa kuchangisha Pesa hadi upewe kibali maalumu’
Kwamba watafreeze account za chama na kuwapiga marufuku kuendelea na ukusanyaji fedha’
Britanicca
Ukipakatwa shauri yakoChadema ipo miyoyoni mwa watu. Tutaendelea kuichangia kwa njia yoyote ile ambayo ni halali na pesa itafika kuendesha chama.
NoReformNoElection
Acha kufanya watu ni majuha halafu unadhani hamuonekani?Walam wangekuwa wanawapa pesa wangekuwa chama tajiri sana, mlami yupi huyo anatuma tena tzs? Halaf laki 1,2 ? Mlami yupo huyo anatoa vihela vidogo vidogo?
Pungungeze theory uchwara