Tetesi: Account za CHADEMA kufungiwa !

Tetesi: Account za CHADEMA kufungiwa !

Sasa wataandaa watu Kwenda kulalamika kuhusu michango wanayopokea CHADEMA inafanya nini, na hii TONE TONE ni kwamba haijapata kibali kutoka hazina kuchangisha Pesa, Kwakuwa kuchangisha Pesa hadi upewe kibali maalumu’
Kwamba watafreeze account za chama na kuwapiga marufuku kuendelea na ukusanyaji fedha
Tangu sasa unabatizwa kwa muhuri wa moto utaitwa Nabii britanicca
 
Tone Tone na uchangishaji usio rasmi wa fedha ni njia ya kutakatisha fedha.
Yaani mnapewa fedha na walami halafu mnajidai mnataka kuvuruga uchaguzi.
Hamkatazwi kupewa fedha lakini mkumbuke fedha hizo zikishaingia kwenye akaunti ni mali ya umma na lazima zifuate taratibu za kisheria za matumizi ta fedha.
CAG afanye ukaguzi maalumu kutambua fedha zilizopo kwenye akaunti ya CDM zinetokea wapi?
 
GFfUGgLWkAAh9uE.jpeg
 
Wasalaamu
Niliwaandikia mambo kadhaa na muda Mwingine napuuzwa Ila yakishatokea wanakuwa wanapuuza wanakausha,

Nyuzi nyingi naziletaga ama kwa codes au Kama utani, au Kama swali kumbe ndo nakuwa nafikisha ujumbe
1. Niliwaandikia la Mbowe kutoa baraka kwa COVID 19 na watu wakahisi natania,
2. Nikawaambia kuwa hawa COVID-19 CHADEMA itawafukuza Kama geresha tu nilitukanwa sana Ila ukweli nakuwa nao sioni haja ya kushindana na watoto wenye techno za shangazi zao na bando la 500
3. Juzi nimewaambia kuhusu mbelgiji kupewa kesi, na kufanya kila mbinu viongozi wake wafungwe na ku frustrate chama wakabeza yametokea Yale Yale

Uzi

Nirudi kwenye msingi sasa
Nimeongea ma mtu mzito sana hapo Magogoni kaniambia kwamba pamoja na kuishake CHADEMA bado ndo wanaongezewa nguvu

Sasa wataandaa watu Kwenda kulalamika kuhusu michango wanayopokea CHADEMA inafanya nini, na hii TONE TONE ni kwamba haijapata kibali kutoka hazina kuchangisha Pesa, Kwakuwa kuchangisha Pesa hadi upewe kibali maalumu’
Kwamba watafreeze account za chama na kuwapiga marufuku kuendelea na ukusanyaji fedha’

Britanicca
Ninachojua mimi akaunti za Chadema zinazopokea ruzuku toka Serikalini ndio zitafungiwa. Hilo ni uhakika.
Sasa kama na pesa za tone tone zinaingia humo, hilo sio kosa la Msajili wa Vyama vya Siasa atakapozifungia akaunti.
 
Wasalaamu
Niliwaandikia mambo kadhaa na muda Mwingine napuuzwa Ila yakishatokea wanakuwa wanapuuza wanakausha,

Nyuzi nyingi naziletaga ama kwa codes au Kama utani, au Kama swali kumbe ndo nakuwa nafikisha ujumbe
1. Niliwaandikia la Mbowe kutoa baraka kwa COVID 19 na watu wakahisi natania,
2. Nikawaambia kuwa hawa COVID-19 CHADEMA itawafukuza Kama geresha tu nilitukanwa sana Ila ukweli nakuwa nao sioni haja ya kushindana na watoto wenye techno za shangazi zao na bando la 500
3. Juzi nimewaambia kuhusu mbelgiji kupewa kesi, na kufanya kila mbinu viongozi wake wafungwe na ku frustrate chama wakabeza yametokea Yale Yale

Uzi

Nirudi kwenye msingi sasa
Nimeongea ma mtu mzito sana hapo Magogoni kaniambia kwamba pamoja na kuishake CHADEMA bado ndo wanaongezewa nguvu

Sasa wataandaa watu Kwenda kulalamika kuhusu michango wanayopokea CHADEMA inafanya nini, na hii TONE TONE ni kwamba haijapata kibali kutoka hazina kuchangisha Pesa, Kwakuwa kuchangisha Pesa hadi upewe kibali maalumu’
Kwamba watafreeze account za chama na kuwapiga marufuku kuendelea na ukusanyaji fedha’

Britanicca
🙋👍🤝🙏🎖️
 
Back
Top Bottom