ACACIA wapinga vikali Matokeo ya Kamati ya pili ya Rais

ACACIA wapinga vikali Matokeo ya Kamati ya pili ya Rais

Kwa maelezo yao hapo ya kutaka kukaa kwa mazungumzo inaonyesha wazi kuwa wamekubali wameiba so walipe
 
Acacia washapanic. Chupi zimewabana. Makinikia washalipwa pesa na washikaji huko majuu wanayasubiri. Na kuonyesha chupi zimewabana, wanatoa majibu ya juu juu kuwatia moyo wateja wao. Wanatuhumiwa hawana usaili, hilo hawana majibu (Walete usajili wa brela na TIC mezani basi), wanatuhumiwa kufanya ufedhuri wa dharau ya juu kwamba wanachukua kwenda kuchenjua kumbe hata hako kachenjulio hawana (Hilo nalo kimya). Wanatuhumiwa kuongezewa mktaba kinyemela yenye harufu ya rushwa (hawajajibu), wamekazana ooooh, huwa tunalipa kodi stahiki na kukaguliwa na FSRS. Hathitaji hiyo lete evidence za uhalali wako mezani.
 
Hata raisi ametoa nafasi ya Dialogue.
Lakini nadhani wajitokeze tu kuwa walikuwa wanatupiga kiasi gani na wako tayari kutu lipa.

Hivi kwa nini pamoja na madhambi yote hayo bado Rais anatoa nafasi ya mazungumzo? Kwa nini hakuwafukuzia mbali?
 
Acacia washapanic. Chupi zimewabana. Makinikia washalipwa pesa na washikaji huko majuu wanayasubiri. Na kuonyesha chupi zimewabana, wanatoa majibu ya juu juu kuwatia moyo wateja wao. Wanatuhumiwa hawana usaili, hilo hawana majibu (Walete usajili wa brela na TIC mezani basi), wanatuhumiwa kufanya ufedhuri wa dharau ya juu kwamba wanachukua kwenda kuchenjua kumbe hata hako kachenjulio hawana (Hilo nalo kimya). Wanatuhumiwa kuongezewa mktaba kinyemela yenye harufu ya rushwa (hawajajibu), wamekazana ooooh, huwa tunalipa kodi stahiki na kukaguliwa na FSRS. Hathitaji hiyo lete evidence za uhalali wako mezani.
Walikuwa wanalipaje kodi? Kwa documents zipi? Serikali ipi? Hii movie bado changa sana
 
A slowly movement of lion does'nt mean a tiredness or weakness rather it's a calculated steps to attack a prey.

Mtasebeneka kwa muda mfupi tu...kuliwa vichwa kwa kukurupuka kupo palepale.

we fala sio mtanzania, fisadi mkubwa, mji CCM we
 
I have no reason to put this in english, hawa wakoloni, walitegemea wakiloni wenzao weusi waendelee kutunyonya, walisaini mikataba kwa siri na maslahi ya wakoloni.

Usitegemee leo wakakubali kuwa wanatuibia..wapo wanaoitaja mahakama ya kibiashara sijui kama katika sheria hizi kuna kipengele kwamba ikiwa upo nyumban kwako na umewalaghai watoto sasa ili uendelee kuiba utumie sheria hiyo huwo ni upuuzi.

Na ndio maana mkuu ameamua wabunge wapitie sheria hizo upya ziwe na maslahi kwa taifa.
 
Mkuu mbona hawajakanusha kuwa mchanga wote ule wa makontena 250 umeshauzwa na wamechukua chao kinyume na madai yao kuwa mchanga unaenda kuchenjuliwa kwanza.
Hawa watu sio wa kuwaamini nyie,tokea walipogushi hesabu TRA ili walipe corporate tax ya chini.halafu London stock exchange wakapeleka hesabu za juu ili kupandisha bei ya hisa,nimewaona ni wezi tu.
Sasa hivi wataanza kupanguana najua makampuni dizaini hii
Ok mkuu.....Kwahiyo whats the way forward je wataomba msamaha kwa public?? Na wakiendelea kudai wameonewa serikali itachukua hatua gani???
 
Kuna watu wanajitoa ufahamu na kufuata mikumbo tu hata kwenye masuala ambayo yanagusa mpaka familia zao,kwa hili nampa BIGUP sana MAGU,hongera sana raisi wetu
Nani kafuata mkumbo??? Kwani lisu alikataa serikali isichukue hatua??? Kwani kusema tuanze na sheria kabla ya mchanga ndio kufuata mkumbo?? Mbona hta usoro kashauri hivo leo

Embu wananchi tuwe serious kidogo
 
Wewe unaonaje,hawadaiwi?Tabia hizi za undumi la kuwili Watanzania hazitatufikisha popote,ni lazima tubadilike.
Si ndio maana nmeuliza maana huyu anasema lile yule anasema lile sasa mtanzania wa kawaida kma mmi sielewi kitu ndio maana nauliza!! Basi wwe unayejua unisaidie je nani mkweli na kma kila mtu akidai yye ndio anahaki suluhisho ni lipi?? Nisaide hapo
 
Zitto,frankly nilitegemea uwe kwenye position nzuri zaidi ya kujua mkweli ni nani katika sakata hili kuliko watu wengi na kwa hiyo uweze kumsaidia Rais hata kwa mawazo.Kwa evidence iliyoko mbele yetu tayari Zitto,Acacia ni wezi na wanapaswa kutulipa dhahabu yetu na madini mengine waliyotuibia pamoja na kodi.Hivi Zitto unataka kuniambia kweli unaweza kumuamini Oppenheimer hasa tukikumbuka aliyofanya Mwadui.We will be very stupid.
 
Hakuna anyewatetea ACACIA,wala makampuni mengine,tunachosema tufuate sheria ili tuweze kuwashinda,kwa kukurupuka hatufiki hata posta.

Tusifanye kazi kama punguani tufanye kazi kwa umakini.Waliotuangusha wala siyo Lissu,kama Lissu angesikilizwa miaka 17 iliyopita leo kusingekuwa na haya madubwana.

Kwangu mimi Lissu is my hero
Bravo mkuu
 
Yaan watu wajinga mnoo wako completely disconnected from da really...Lissu leo anaonekana msaliti ati.. Eboooooo
 
Zitto,frankly nilitegemea uwe kwenye position nzuri zaidi ya kujua mkweli ni nani katika sakata hili kuliko watu wengi na kwa hiyo uweze kumsaidia Rais hata kwa mawazo.Kwa evidence iliyoko mbele yetu tayari Zitto,Acacia ni wezi na wanapaswa kutulipa dhahabu yetu na madini mengine waliyotuibia pamoja na kodi.Hivi Zitto unataka kuniambia kweli unaweza kumuamini Oppenheimer hasa tukikumbuka aliyofanya Mwadui.We will be very stupid.
Mkuu kwanza usimix kati ya zitto na zitto junior ni ID mbili tifauti pili Ndio nauliza je mwisho wa siku nni kifanyike ili HAKI itendeke yaani ACACIA anadai kaonewa then serikali inadai ACACIA ni mwizi sasa solution hapa ni nni???? Je tukienda mahakamani itakuwa suluhisho???? Na kma tusipoenda haki tutaipataje if at all hawa wametuibia alafu wanagoma kukiri

Asante
 
Kwa hiyo ACACIA wanachosema ni kua hizi findings za pili wamechukua sample ya data kutoka kwenye zile za kwanza.
Hili ni kweli? Kama ni kweli kwa nini wamefanya hivyo? Makontena yapo si wangeenda wabebe tu sample nyingine yaani wafanye kila kitu from scratch? au kuna mtu anahofia makontena yatakua yameguswa?
Kazi ya tume ya pili ilikua kuangalia maswala yakiuchumi na kisheria yaliosababishwa na maswala hayo ya madini,so hizo ni tume mbili tofauti na zilifanya kazi tofauti,japo malengo na shabaha ni zilezile,
 
Hakuna anyewatetea ACACIA,wala makampuni mengine,tunachosema tufuate sheria ili tuweze kuwashinda,kwa kukurupuka hatufiki hata posta.

Tusifanye kazi kama punguani tufanye kazi kwa umakini.Waliotuangusha wala siyo Lissu,kama Lissu angesikilizwa miaka 17 iliyopita leo kusingekuwa na haya madubwana.

Kwangu mimi Lissu is my hero
Kwani lisu alikua akijulikana kama lisu au mbunge iyo miaka 17 ilopita?
 
Back
Top Bottom