ACACIA wapinga vikali Matokeo ya Kamati ya pili ya Rais

ACACIA wapinga vikali Matokeo ya Kamati ya pili ya Rais

Sio kila suluhu lazima ipatikane mahakamani hata mkielewana wenyewe ni suluhu tosha.
Mimi nakubaliana nawe 100%, lakini hilo swali la kufikirika bado halijajibiwa linatuachia tujijibu majibu ya kufikirika.
 
Mwizi unamkamata na kithibiti Ila bado anakataa kuwa yeye siyo mwizi.

Hiyo ni kawaida ya wezi wote, awe amesoma, hajasoma, mwafrika ama mzungu koko.

Wezi wote , wanatabia moja ya kukataa kuwa siyo wezi.

Ngojeeni, utaoneni hata waliotajwa na rais kwa kushirikiana na wezi utaona majibu na porojo zao.
hivi kwa nini tusiwashitaki kwenye Maahakama za Kimataifa?na kama za kimataifa tunashindwa kwa nini tusiwashitaki kwenye Mahakama zetu?


Rais ameagiza kuwa sasa hivi kesi zote ni hapa Tanzania hakuna cha mahakama ya kimataifa.

Kwa sababu, madini yanachimbwa Tanzania Kwa Nini kesi ifanyikie ulaya mara "The Hugue"!?


Hii awamu wezi, wazungu koko na vibaraka wote wenye nywele ngumu na rangi zao zikiwaumbua watakoma shenzitype kabisa.
 
Umetoa hoja fikirishi sana. Mbona kila upande unaonyesha unyenyekevu? Hapa kuna tatizo la ndani zaidi kuliko tunavyo aminishwa

Rais anafanya vile Kama wana akili wataelewa ila usiichukulie poa rais wa nchi kuongea Kwa upole vile kabisaaa.

Anahitaji wawekezaji wajifunze na. Wawe na adabu.

Rais , amemaliza hotuba yake Kwa kusema hivi, ikitokea kampuni hizo wanataka au wameishitaki serikali yake na nchi yetu basi yeye pasi kuwa na simile atawatimua wote.


Wazungu koko ni wezi wanaongea vile kutaka kuaminisha watu na Dunia kuwa hawana makosa.

Ila, pia dunia nzima hakuna mahala ambapo mwizi akikamatwa akasema kuwa yeye ni mwizi hata akiwa na kidhibiti mkononi bado atakataa kuwa yeye siyo mwizi.

Kwa hiyo, serikali hapo lazima ichomoke kidedea.
 
Ni maigizo tu.Kwa nini baraza la mawaziri hamkuliita ikulu waulizwe kwa nini walipitisha hiyo mikataba? Mbona mliipitisha kimy kimya lakini leo mnafanya kwa mbwembwe nyingi utadhani mmevumbua dhahabu mpya. Acheni kuturusha roho jamani.

Mkapa yupo , Kikwete yupo, Karamagi, Chenge na wote mnaohitaji kuwahoji watoe sababu za kugawa madini yetu kwa wezi. Ilitarajiwa issue serious hivyo ifanyiwe kazi ndipo matokeo wapewe wananchi kwa mbwembwe lakini matatifi yasiyo na ukweli na tunayojua matokeo na hayajakamilika kwa maana ya action ni maigizo matupu.

Hivi kweli Profesa wa chuo kikuu, wale tunaowahamu, unategemea atoe utafiti unaopingana na lengo la mkuu wa kaya?
Halafu unampa posho ambayo hajawahi kuiona toka awe prof. alafu asiseme Acacia hawana leseni, au hawajasajiliwa Tz?
Yaani wao hawaogopi kutumbuliwa?

Wazungu wako smart sana inapokuja suala la legal procedures? Haiingi akilini mtu awekeze that much halafu asiwe na usajili au leseni. They can't be more stupid than that. Hata klabu ya kuuza denge lua wana leseni sembuse mgodi mkubwa kiasi kile. OK. Tuassume walikuwa wanaiba, walichoiba na gharama ya kusajiliwa na leseni si bue tuu? Yaani nipate tax holiday, niibe kwa miaka 20 , halafu nishindwe leseni kweli. Ningekuwa mimi ningewaundia tume iwachunguze hao maprofesa na report yao, othewise ni report ya kujastify ile ya kwanza lakini imedanganya big time ili itimize kusudio tu. Wamekula posho za bure.
 
Nitapoteza muda tu kujibishana na wewe!

Huna hoja., sasa nikwambie tokea uhuru wa Tanganyika ccm ndio iko madarakani., hao Acacia ni kampuni ambayo ililetwa na mfumo wa ccm ambao ulikuwa madarakani., mikataba waliyofunga ilifungwa na huo mfumo uliokuwa madarakani sasa tumeona povu linawatoka na kushika madagaa mukianika aibu za mifumo iliyokuwa madarakani ambayo hadi leo bado mko madarakani.,

Huu ukali na hasira mnapoongea kwa kebehi unafkiri munamtolea nani? Munajichachafya wenyewe tu after all.,
 
Hili ni zigo la misumali kwa kweli... Hata hiyo thanks to JPM kwa kuridhia marekebisho ya mikataba... Labda tutapatamo
 
Makabizio ya ripoti ya kamati ya pili kwa rais JPM isiwe ni mwisho wa kuchunguza ukweli.ACACIA na serikali sikivu ya JPM kwa pande zote mbili zikae meza moja kwa vyovyote vile kwa manufaa ya taifa letu.
 
Naona kila upande unamtegea mwenzie unasema upo tayari kwa majadiliano. Sasa hapa kama una akili utajiuliza maswali mengi. Wa kwanza alie ibiwa anadai chake lakini hamfikishi mahakamani mwizi wake, na yule alietuhumiwa kuiba na kuzuiliwa mali zake na kusababisha kuchafuliwa ambapo hisa zake zimeporomoka kwa kiasi kikubwa nae hataki kumshitaki aliemchafulia jina, aliemuingiza hasara ya hisa na bidhaa zake zilizoshikiliwa nae anasema yupo tayari kwa majadiliano. Kuna alama kubwa sana ya kuuliza na ya mshangao ambazo hazionekani ni za kufikirika ambazo hazionekani kwa macho zinahitaji majibu ya kufikirika.
We tulia uone...hii ni next level...wote hawa wamelazimika kukutania hapo kila moja asifahamu ni kipi kimetokea mpaka ikawa hivi...Bado nipo nipo...Hakuna akili inayoizidi ile ya Mungu...We jiulize yerico ilidondoshwa kwa force ipi? Wanadamu walizoea gravity, lakini hawakufahamu kuna forces type against gravity mpaka ikapaisha mwanadamu bila kuwa na mbawa...Wataelewa tu!
 
Makabizio ya ripoti ya kamati ya pili kwa rais JPM isiwe ni mwisho wa kuchunguza ukweli.ACACIA na serikali sikivu ya JPM kwa pande zote mbili zikae meza moja kwa vyovyote vile kwa manufaa ya taifa letu.
Ameshasema wakiri kwanxa then ndiyo wata discuss...Hakuna shortcut...
 
Ni maigizo tu.Kwa nini baraza la mawaziri hamkuliita ikulu waulizwe kwa nini walipitisha hiyo mikataba? Mbona mliipitisha kimy kimya lakini leo mnafanya kwa mbwembwe nyingi utadhani mmevumbua dhahabu mpya. Acheni kuturusha roho jamani.

Mkapa yupo , Kikwete yupo, Karamagi, Chenge na wote mnaohitaji kuwahoji watoe sababu za kugawa madini yetu kwa wezi. Ilitarajiwa issue serious hivyo ifanyiwe kazi ndipo matokeo wapewe wananchi kwa mbwembwe lakini matatifi yasiyo na ukweli na tunayojua matokeo na hayajakamilika kwa maana ya action ni maigizo matupu.

Hivi kweli Profesa wa chuo kikuu, wale tunaowahamu, unategemea atoe utafiti unaopingana na lengo la mkuu wa kaya?
Halafu unampa posho ambayo hajawahi kuiona toka awe prof. alafu asiseme Acacia hawana leseni, au hawajasajiliwa Tz?
Yaani wao hawaogopi kutumbuliwa?

Wazungu wako smart sana inapokuja suala la legal procedures? Haiingi akilini mtu awekeze that much halafu asiwe na usajili au leseni. They can't be more stupid than that. Hata klabu ya kuuza denge lua wana leseni sembuse mgodi mkubwa kiasi kile. OK. Tuassume walikuwa wanaiba, walichoiba na gharama ya kusajiliwa na leseni si bue tuu? Yaani nipate tax holiday, niibe kwa miaka 20 , halafu nishindwe leseni kweli. Ningekuwa mimi ningewaundia tume iwachunguze hao maprofesa na report yao, othewise ni report ya kujastify ile ya kwanza lakini imedanganya big time ili itimize kusudio tu. Wamekula posho za bure.

Sina shaka ni mkimbizi wa nchi kwa jina la umasikini lakini hata baada ya kukimbia bado una status ile ile kama ulivyokuwa huku...poor you!
 
HII AIBU MNATUPELEKA WAPI SASA ALLAH

MTAIELEWA MAANA YA TANZANIA...SOMA TAR YA JUU 29 MAY 2016

AMESAHAU KUFUTA ALIPOKEA 4MAY 2017
 

Attachments

  • IMG-20170612-WA0030.jpg
    IMG-20170612-WA0030.jpg
    40.4 KB · Views: 28
12 Juni 2017
Mwitikio wa Acacia kwenye matokeo ya kamati ya pili ya Rais

Acacia imeona matokeo ya kushtua ya kamati ya pili ya Rais iliyowasilishwa kwa Rais wa Tanzania Mh. Dk John P. Magufuli leo asubuhi ambayo imeangalia nyanja za historia za kiuchumi na kisheria ya mauzo ya nje ya makanikia ya madini.

Kamati ya Pili imetoa matokeo yake kwa kutumia matokeo ya Kamati ya Rais ya Kwanza, iliyotangazwa tarehe 24 Mei 2017, ambayo Acacia imeikanusha vikali. Kamati hiyo ilipata matokeo yake kwa kutumia sampuli ya kontena 44. Kwa mujibu wa data za zaidi ya miaka 20 tulizonazo ni vigumu kuoanisha matokeo yetu na yaliyokutwa na kamati, na kamati imetoa thamani ya juu kwa zaidi ya mara 10 kuliko thamani halisi ya makanikia

Kamati ya Pili inadai kuwa Acacia imetangaza kiasi cha chini cha mapato kuliko inavyopata na kulipa kodi kidogo kuliko inavyostahili kwa miaka mingi na kuficha mabilioni ya dola ya Marekani. Na hivyo imefanya mapendekezo kadhaa ikiwa ni pamoja na Acacia kulipa kodi inayodaiwa na mirahaba, kufanya majadiliano upya ya mikataba mikubwa ya uchimbaji madini, umiliki wa Serikali katika migodi, na muendelezo wa marufuku ya kuuza nje.

Acacia inakanusha vikali tuhuma hizi mpya zisizo na ushahidi. Sisi tumefanya biashara zetu kwa utaratibu bora kabisa na kwa kufuata sheria zote za Tanzania. Tunarudia kusema tena tumeweka wazi kila kitu chenye faida tulichokuwa tunazalisha tangia tuanze uchimbaji Tanzania na tumelipa kodi na mirabaha yote inayotakiwa kulipwa, na kwa kuongezea mahesabu yetu tunayotoa yanakaguliwa kila mwaka kwa viwango vya kimataifa vinavyoendana na IFRS.

Acacia kwa muda mrefu tulitaka kushirikiana na Serikali ya Tanzania kwa kuwa tunaamini wote tuna malengo sawa katika kuimarisha maendeleo ya kijamii na kiuchumi nchini. Hata hivyo, ushirikiano huu lazima uwe na misingi ya haki kwa wadau wote, ikiwa ni pamoja na 96% ya wafanyakazi katika migodi yetu ambao ni Watanzania, na wanahisa wetu ambao wamechangia dola bilioni 4 za uwekezaji ambazo Acacia imefanya ndani ya nchi hadi sasa.

Acacia bado inakaribisha mazungumzo na Serikali kuhusu suala hili na inaendelea kutathmini nini inaweza kufanya . Tutatoa taarifa zaidi kwa soko kadri tutakavyoweza kufanya .

Kwa taarifa zaidi tembelea tovuti yetu
www.acaciamining.com


=================================

1
LSE:ACA www.acaciamining.com
12 June 2017
THIS ANNOUNCEMENT CONTAINS INSIDE INFORMATION
Acacia Mining plc
LSE:ACA
(“Acacia” or the “Company”)
Update on the 2nd Presidential Committee Findings
Acacia notes the disappointing findings of the Presidential Second Committee’s report which were presented to the President of Tanzania H.E. Dr. John P. Magufuli this morning and which considered the historical economic and legal aspects of the export of metallic mineral concentrates.

The Second Committee has primarily based its findings on those of the First Presidential Committee, announced on 24 May 2017, that Acacia strongly refutes. That Committee based its findings on samples from 44 containers. Based on more than 20 years of data available to us it is impossible to reconcile those findings and they grossly overstate the value of the concentrates by more than 10 times.

The Second Committee has alleged that Acacia has under-declared revenues and tax payments over a number of years by tens of billions of US dollars. As a result it has made a series of recommendations including the payment of outstanding taxes and royalties, re-negotiation of large-scale Mineral Development Agreements, Government ownership in the mines, and the continuation of the export ban.

Acacia strongly refutes these new unfounded accusations. We have always conducted our business to the highest standards and operated in full compliance with Tanzanian law. We re-iterate that we have declared everything of commercial value that we have produced since we started operating in Tanzania and have paid all appropriate royalties and taxes on all of the payable minerals that we produce. In addition, our published accounts are annually audited to an international standard in accordance with IFRS.

Acacia has long sought to be a partner with the Government of Tanzania as we believe that we have similar goals in enhancing social and economic development in the country. However, this partnership must be based on fairness for all stakeholders, including the 96% of our employees at our mines who are Tanzanian, and our shareholders who have funded the US$4 billion of investment that Acacia has made into the country to date.

Acacia remains open to further dialogue with the Government regarding this issue and continues to assess all of its options. We will provide a further update to the market as soon as practical.

ENQUIRIES
For further information, please visit our website: www.acaciamining.com or contact us

Could Acacia explain the followings:

Why Acacia is trading under Acacia when the company is not registered in Tanzania?

Why the weight declared by Acacia is lower, than that of the shipping company? All these are documented. Acacia must come clean, you have no way of defending yourself, we are not fools, we are poor because you are rich because of our stolen wealth. No more deals, no more stealing from us.
 
Back
Top Bottom