machomanne
JF-Expert Member
- Feb 22, 2017
- 822
- 927
Suluhisho ni hili, Rais arudishe Rasimu ya Katiba ya Tume ya Warioba ipigiwe kura na wananchi, na sio ile iliyochakachuliwa na akina Chenge.
Duh
naona serikali wanatuchezea akili
ACACIA walichokua wanapinga si ni kutumia data za sample ya kwanza, kama sample ni ileile hakukua na haja kabisa ya kuweka kamati ya pili maana lazima jibu litakuja lilelile alafu watapinga tena wakitaka ipimwe upya.Kazi ya tume ya pili ilikua kuangalia maswala yakiuchumi na kisheria yaliosababishwa na maswala hayo ya madini,so hizo ni tume mbili tofauti na zilifanya kazi tofauti,japo malengo na shabaha ni zilezile,
Mwizi unamkamata na kithibiti Ila bado anakataa kuwa yeye siyo mwizi.
Hiyo ni kawaida ya wezi wote, awe amesoma, hajasoma, mwafrika ama mzungu koko.
Wezi wote , wanatabia moja ya kukataa kuwa siyo wezi.
Ngojeeni, utaoneni hata waliotajwa na rais kwa kushirikiana na wezi utaona majibu na porojo zao.
Rais ameagiza kuwa sasa hivi kesi zote ni hapa Tanzania hakuna cha mahakama ya kimataifa.
Kwa sababu, madini yanachimbwa Tanzania Kwa Nini kesi ifanyikie ulaya mara "The Hugue"!?
Hii awamu wezi, wazungu koko na vibaraka wote wenye nywele ngumu na rangi zao zikiwaumbua watakoma shenzitype kabisa.
Zitto kwanza nitoe samahani kwa kuchanganya IDs. Then nikiri kwamba Rais hakutoa way forward kama Acacia watakataa kutulipa chetu walichotuibia,kwa hiyo I can only speculate.Mkuu kwanza usimix kati ya zitto na zitto junior ni ID mbili tifauti pili Ndio nauliza je mwisho wa siku nni kifanyike ili HAKI itendeke yaani ACACIA anadai kaonewa then serikali inadai ACACIA ni mwizi sasa solution hapa ni nni???? Je tukienda mahakamani itakuwa suluhisho???? Na kma tusipoenda haki tutaipataje if at all hawa wametuibia alafu wanagoma kukiri
Asante
Kwani lisu alikua akijulikana kama lisu au mbunge iyo miaka 17 ilopita?
Yaan watu wajinga mnoo wako completely disconnected from da really...Lissu leo anaonekana msaliti ati.. Eboooooo
Zitto kwanza nitoe samahani kwa kuchanganya IDs. Then nikiri kwamba Rais hakutoa way forward kama Acacia watakataa kutulipa chetu walichotuibia,kwa hiyo I can only speculate.
Ni kwamba kama wametuibia si swali tena,kwa kuwa ushaidi uko wazi.Lakini pia Acacia a.k.a Barrick Mining migodi ya Tanzania ndiyo migodi yao mikubwa duniani and of course the most profitable,na kwa sababu hii Rais ana hakika kwamba wata cooperate and it is at their best interest to do so.Binafsi nina hakika wata cooperate kwa sababu I am sure they still want to continue with their mining business in Tanzania.Hii itawasaidia hata wao ili ku-maintain their international reputation as reliable partners in mining.
Lakini kama hawata cooperate, tunayo option ya kwenda kwenye International Court of Arbitration ili kudai haki yetu.
Mpuuzi ni Lissu aliyedhani anaweza kuwa smart kuliko watanzania woteHayo ndiyo yanayo haribu mijadala ya kitaifa kwa kuweka upuuzi wa aina hii
Lissu ni mpuuzi Mkubwa sanaHivi tunajadili issue ya madini ama lisu??? Yaani hili linchi sometimes linanipa hasira na nyie bila kujua mnampa kiki tu lisu za bure..... sasa hata leo magufuli 80% ya lawama kwenye hotuba kazimalizia kwa lisu????
Yaani tunaacha kuwatolea uchungu kina chenge na yona anaanza kumdukua lisu??? Ndio maana hatuendelei sasa mkishamshughulikia lisu mtapata nni???? Madini yatakuwa hayaibiwi tena????
Pita pembeni mkuu sitaki kujiharibia mfungo kabisa
Umeongea facts mkuu na hongera kwa uchambuzi mzuri
Maoni yako ni mazurii..
Na umeongea kisomi/muelewa..
Bora uwasaidie wale mapopoma wanaopiga vigelegele pasipokujua hoja ni nini na mkazo hasa upo wapii..
"Kumbukeni kamati ya bunge ilishawahi kupitia sera na mikataba ya madini wakaishia kuambulia mabadiliko madogo sana." nikikunukuu hapa hili jambo silo geni kwa wafatiliaji mambo ya msingi na sio wale washangiliaji
Pamoja MkuuNimependa uchambuzi wako. Ni kunyangsnyana fito tu
Aijawai tokea na kamwe haitawai tokea hawa mabwana mabepari,wezi, wakina wakakubaliana na findings zetu za kamati zetu za watahalam ni nadra sana.Nani alitegemea hawa wakoloni wakubaliane na findings za tume? Haijawai kutokea
Are you defending thievesA slowly movement of lion does'nt mean a tiredness or weakness rather it's a calculated steps to attack a prey.
Mtasebeneka kwa muda mfupi tu...kuliwa vichwa kwa kukurupuka kupo palepale.
Tofautisha kati ya Watanzania na wanaccm. Hawezi kuwa smart kuliko Watanzania wote, lakini ni smart kuliko wanaccm wote. Kwa maana halisi ya wanaccm.Mpuuzi ni Lissu aliyedhani anaweza kuwa smart kuliko watanzania wote
SHERIA IPI INAMPA MAMLAKA YA KUWACHAGULIA WALALAMIKAJI MAHAKAMA YA KWENDA?
NI KWA SHERIA IPI ANAWAFUNDISHA WALALAMIKAJI NAMNA YA KUMLALAMIKIA?
WAKIENDA KUFUNGUA KESI KATIKA MAHAKAMA ZAKIMATAIFA ATAFANYA NINI?
WAKIKATAA KULALAMIKA NAMAN ANAVYOTAKA WALALAMIKE ATAWAFANA NINI NA KWA SHERIA ZIPI ZA NCHI NA ZA KIMATAIFA?
Naomba jibu.