Kwahyo kusema ripoti ni rubbish maana ina data za uongo ndio rubbish??? Yaani ulitaka akubaliane na data zilizopikwa kwenye maabara za za uswahilini??? Hivi mchanga ndio trillion 103??? Je matofali ya dhahabu si yatafika trilion 1000??? Duh yaani nchi hii tuna tabu sana
Tofautisha kukosoa na kupinga lisu yye bado anaamini kuwa acacia ni wezi na kwamba tungewabana kwa sheria sio kukimbizana na mchanga ssa kapinga nni??? Kukosoa mbinu ndio kupinga mchakato??? Hivi wakati wa madawa ya kulevya walipinga mchakato mzima au mbinu za makonda??? Lakini mwisho wa siku si mlimuita mpingaji