ACACIA wapinga vikali Matokeo ya Kamati ya pili ya Rais

1
LSE:ACA www.acaciamining.com
12 June 2017
THIS ANNOUNCEMENT CONTAINS INSIDE INFORMATION
Acacia Mining plc
LSE:ACA
(“Acacia” or the “Company”)
Update on the 2nd Presidential Committee Findings
Acacia notes the disappointing findings of the Presidential Second Committee’s report which were presented to the President of Tanzania H.E. Dr. John P. Magufuli this morning and which considered the historical economic and legal aspects of the export of metallic mineral concentrates.

The Second Committee has primarily based its findings on those of the First Presidential Committee, announced on 24 May 2017, that Acacia strongly refutes. That Committee based its findings on samples from 44 containers. Based on more than 20 years of data available to us it is impossible to reconcile those findings and they grossly overstate the value of the concentrates by more than 10 times.

The Second Committee has alleged that Acacia has under-declared revenues and tax payments over a number of years by tens of billions of US dollars. As a result it has made a series of recommendations including the payment of outstanding taxes and royalties, re-negotiation of large-scale Mineral Development Agreements, Government ownership in the mines, and the continuation of the export ban.

Acacia strongly refutes these new unfounded accusations. We have always conducted our business to the highest standards and operated in full compliance with Tanzanian law. We re-iterate that we have declared everything of commercial value that we have produced since we started operating in Tanzania and have paid all appropriate royalties and taxes on all of the payable minerals that we produce. In addition, our published accounts are annually audited to an international standard in accordance with IFRS.

Acacia has long sought to be a partner with the Government of Tanzania as we believe that we have similar goals in enhancing social and economic development in the country. However, this partnership must be based on fairness for all stakeholders, including the 96% of our employees at our mines who are Tanzanian, and our shareholders who have funded the US$4 billion of investment that Acacia has made into the country to date.

Acacia remains open to further dialogue with the Government regarding this issue and continues to assess all of its options. We will provide a further update to the market as soon as practical.

ENQUIRIES
For further information, please visit our website: www.acaciamining.com or contact us
How about one big fact that acacia has never be registered with brela??
 
IMG-20170612-WA0012.jpg
 
Si mnaye mwanasheria nguli na mahiri kuliko wote Tanzania, Tundu Lissu? Mwazimisheni kwa Acacia awasaidie
Hivi tunajadili issue ya madini ama lisu??? Yaani hili linchi sometimes linanipa hasira na nyie bila kujua mnampa kiki tu lisu za bure..... sasa hata leo magufuli 80% ya lawama kwenye hotuba kazimalizia kwa lisu????

Yaani tunaacha kuwatolea uchungu kina chenge na yona anaanza kumdukua lisu??? Ndio maana hatuendelei sasa mkishamshughulikia lisu mtapata nni???? Madini yatakuwa hayaibiwi tena????

Pita pembeni mkuu sitaki kujiharibia mfungo kabisa
 
A slowly movement of lion does'nt mean a tiredness or weakness rather it's a calculated steps to attack a prey.

Mtasebeneka kwa muda mfupi tu...kuliwa vichwa kwa kukurupuka kupo palepale.

Hao Acacia wako walivyotudharau hata kupata usajili wa BRELA hawakuangaika. Walishatuona mazuzu na hata hapa JF bado watu wanaendelea kuwatetea! Hamuoni aibu?
 
Kwa hiyo ACACIA wanachosema ni kua hizi findings za pili wamechukua sample ya data kutoka kwenye zile za kwanza.
Hili ni kweli? Kama ni kweli kwa nini wamefanya hivyo? Makontena yapo si wangeenda wabebe tu sample nyingine yaani wafanye kila kitu from scratch? au kuna mtu anahofia makontena yatakua yameguswa?
 
Sasa hapa nani mkweli?? Serikali inataka chao ila ACACIA wanadai hawadaiwi?? Nahisi kma ICSID inanukia ili ukweli ujulikane
Serikali ikiwa hivi inapigania haki yake hata kama mkataba wameingizwa chaka, itakuwa mwanzo mzuri pia kwa sie wananchi pia kupigania haki yetu maana hata wao (serikali) hutoa fidia ndogo (kuthaminisha) kwa wananchi pindi wawekezaji wanapotaka maeneo ya uchimbaji
 
7 Reactions
Reply
Back
Top Bottom