Tetty
JF-Expert Member
- Jan 6, 2012
- 26,356
- 21,389
Hao Acacia wako walivyotudharau hata kupata usajili wa BRELA hawakuangaika. Walishatuona mazuzu na hata hapa JF bado watu wanaendelea kuwatetea! Hamuoni aibu?
Hakuna anyewatetea ACACIA,wala makampuni mengine,tunachosema tufuate sheria ili tuweze kuwashinda,kwa kukurupuka hatufiki hata posta.
Tusifanye kazi kama punguani tufanye kazi kwa umakini.Waliotuangusha wala siyo Lissu,kama Lissu angesikilizwa miaka 17 iliyopita leo kusingekuwa na haya madubwana.
Kwangu mimi Lissu is my hero