ACACIA wapinga vikali Matokeo ya Kamati ya pili ya Rais

ACACIA wapinga vikali Matokeo ya Kamati ya pili ya Rais

Jamani tukumbuke tu kwamba hakuna mwekezaji ambaye anakuja kumwekea nchini pasipo kutuibia rasilimali zetu, ni mwezi wa kubwa sana wawe wachina au wazungu wote wanakuala kuendeleza agenda za ukoloni, sasa mbaya zaidi wasomi wetu ni walafi kweli kweli wanaingia kingi kirahisi kweli kwa maslai binafsi badala ya Taifa kwanza.
Na ili limekuwa ni tatizo kubwa sana kwa viongozi wa Africa kuwa wachoyo na wabinafsi na ufisadi mkubwa wa kutuambia rasilimali za nchi ovyo na kufika na mwisho kuingia mikataba mibaya ambayo aina tija kwa nchi zetu,wao wanafurahia ni kuweka mapema mengi nje ya nchi na maisha ya kifahari shemm on them idiots!
 
QUOTE="Tetty, post: 21581692, member: 65753"]Hakuna anyewatetea ACACIA,wala makampuni mengine,tunachosema tufuate sheria ili tuweze kuwashinda,kwa kukurupuka hatufiki hata posta.

Tusifanye kazi kama punguani tufanye kazi kwa umakini.Waliotuangusha wala siyo Lissu,kama Lissu angesikilizwa miaka 17 iliyopita leo kusingekuwa na haya madubwana.

Kwangu mimi Lissu is my hero[/QUOTE]
Usilolijua ni km usiku wa Giza bora ukawa kimya kulikoni kuwa na hero km uyo!
 
Watanzania hasa vijana tuamke tu muunge Magufuli mkono sakata la madini wizi mtupu
 
12 Juni 2017
Mwitikio wa Acacia kwenye matokeo ya kamati ya pili ya Rais

Acacia imeona matokeo ya kushtua ya kamati ya pili ya Rais iliyowasilishwa kwa Rais wa Tanzania Mh. Dk John P. Magufuli leo asubuhi ambayo imeangalia nyanja za historia za kiuchumi na kisheria ya mauzo ya nje ya makanikia ya madini.

Kamati ya Pili imetoa matokeo yake kwa kutumia matokeo ya Kamati ya Rais ya Kwanza, iliyotangazwa tarehe 24 Mei 2017, ambayo Acacia imeikanusha vikali. Kamati hiyo ilipata matokeo yake kwa kutumia sampuli ya kontena 44. Kwa mujibu wa data za zaidi ya miaka 20 tulizonazo ni vigumu kuoanisha matokeo yetu na yaliyokutwa na kamati, na kamati imetoa thamani ya juu kwa zaidi ya mara 10 kuliko thamani halisi ya makanikia

Kamati ya Pili inadai kuwa Acacia imetangaza kiasi cha chini cha mapato kuliko inavyopata na kulipa kodi kidogo kuliko inavyostahili kwa miaka mingi na kuficha mabilioni ya dola ya Marekani. Na hivyo imefanya mapendekezo kadhaa ikiwa ni pamoja na Acacia kulipa kodi inayodaiwa na mirahaba, kufanya majadiliano upya ya mikataba mikubwa ya uchimbaji madini, umiliki wa Serikali katika migodi, na muendelezo wa marufuku ya kuuza nje.

Acacia inakanusha vikali tuhuma hizi mpya zisizo na ushahidi. Sisi tumefanya biashara zetu kwa utaratibu bora kabisa na kwa kufuata sheria zote za Tanzania. Tunarudia kusema tena tumeweka wazi kila kitu chenye faida tulichokuwa tunazalisha tangia tuanze uchimbaji Tanzania na tumelipa kodi na mirabaha yote inayotakiwa kulipwa, na kwa kuongezea mahesabu yetu tunayotoa yanakaguliwa kila mwaka kwa viwango vya kimataifa vinavyoendana na IFRS.

Acacia kwa muda mrefu tulitaka kushirikiana na Serikali ya Tanzania kwa kuwa tunaamini wote tuna malengo sawa katika kuimarisha maendeleo ya kijamii na kiuchumi nchini. Hata hivyo, ushirikiano huu lazima uwe na misingi ya haki kwa wadau wote, ikiwa ni pamoja na 96% ya wafanyakazi katika migodi yetu ambao ni Watanzania, na wanahisa wetu ambao wamechangia dola bilioni 4 za uwekezaji ambazo Acacia imefanya ndani ya nchi hadi sasa.

Acacia bado inakaribisha mazungumzo na Serikali kuhusu suala hili na inaendelea kutathmini nini inaweza kufanya . Tutatoa taarifa zaidi kwa soko kadri tutakavyoweza kufanya .

Kwa taarifa zaidi tembelea tovuti yetu
www.acaciamining.com

=================================

1
LSE:ACA www.acaciamining.com
12 June 2017
THIS ANNOUNCEMENT CONTAINS INSIDE INFORMATION
Acacia Mining plc
LSE:ACA
(“Acacia” or the “Company”)
Update on the 2nd Presidential Committee Findings
Acacia notes the disappointing findings of the Presidential Second Committee’s report which were presented to the President of Tanzania H.E. Dr. John P. Magufuli this morning and which considered the historical economic and legal aspects of the export of metallic mineral concentrates.

The Second Committee has primarily based its findings on those of the First Presidential Committee, announced on 24 May 2017, that Acacia strongly refutes. That Committee based its findings on samples from 44 containers. Based on more than 20 years of data available to us it is impossible to reconcile those findings and they grossly overstate the value of the concentrates by more than 10 times.

The Second Committee has alleged that Acacia has under-declared revenues and tax payments over a number of years by tens of billions of US dollars. As a result it has made a series of recommendations including the payment of outstanding taxes and royalties, re-negotiation of large-scale Mineral Development Agreements, Government ownership in the mines, and the continuation of the export ban.

Acacia strongly refutes these new unfounded accusations. We have always conducted our business to the highest standards and operated in full compliance with Tanzanian law. We re-iterate that we have declared everything of commercial value that we have produced since we started operating in Tanzania and have paid all appropriate royalties and taxes on all of the payable minerals that we produce. In addition, our published accounts are annually audited to an international standard in accordance with IFRS.

Acacia has long sought to be a partner with the Government of Tanzania as we believe that we have similar goals in enhancing social and economic development in the country. However, this partnership must be based on fairness for all stakeholders, including the 96% of our employees at our mines who are Tanzanian, and our shareholders who have funded the US$4 billion of investment that Acacia has made into the country to date.

Acacia remains open to further dialogue with the Government regarding this issue and continues to assess all of its options. We will provide a further update to the market as soon as practical.

ENQUIRIES
For further information, please visit our website: www.acaciamining.com or contact us
tumefikishwa hapa na hili dudu CCM
 
Magufuli kaza boot hata kwa gharama tuko pamoja
Mko pamoja wapi😀😛 kwenye kukaza bouti🙄?
tumefikishwa hapa na nyie mnaopiga meza kila hoja.. hata ya kutafunwa mnashangalia ...mbafffffuu😎😎
 
Jamani tukumbuke tu kwamba hakuna mwekezaji ambaye anakuja kumwekea nchini pasipo kutuibia rasilimali zetu, ni mwezi wa kubwa sana wawe wachina au wazungu wote wanakuala kuendeleza agenda za ukoloni, sasa mbaya zaidi wasomi wetu ni walafi kweli kweli wanaingia kingi kirahisi kweli kwa maslai binafsi badala ya Taifa kwanza.
Na ili limekuwa ni tatizo kubwa sana kwa viongozi wa Africa kuwa wachoyo na wabinafsi na ufisadi mkubwa wa kutuambia rasilimali za nchi ovyo na kufika na mwisho kuingia mikataba mibaya ambayo aina tija kwa nchi zetu,wao wanafurahia ni kuweka mapema mengi nje ya nchi na maisha ya kifahari shemm on them idiots!
tatizo la afrika hatuna mshikamano. Na ndiyo mana bado hatuna maendeleo
 
Nani alitegemea hawa wakoloni wakubaliane na findings za tume? Haijawai kutokea
Tatizo tulishakosea kuitafsiri historia ya Afrika na Tanzania kwa ujumla. Jinsi walivyowatesa babu na baba zetu Leo hawataacha uovu wao.

Historian imebadilika kidogo tuu... Wameondoa utumwa wakaweka tecnolojia ili watuibie bila kushtukia!!
 
Kuna vitu vingine havina logic kabisa. Hivi hawa kutosajiliwa ni kosa la nani?

Waliwezaje kufanya biashara bila ya kusajiliwa? Waliwezaje kusajiliwa soko la hisa DSE wakati hawatambuliki kisheria? Walilipa kodi kwa account/TIN gani? Waliwezaje kufanya kazi muda wote huo bila kuwa na uhalali? TRA waliwezaje kwenda kumdai kodi asiyefahamika?

Kama ni kweli basi nchi hii ni tupu. Ukilitazama hili la usajili, kama ni kweli, basi matatizo ni yetu, siyo ya ACACIA. TIC ndiyo ina jukumu la kuwaelekeza wawekezaji wote juu ya taratibu za kuwekeza Tanzania. TIC ni yetu, siyo ya ACACIA, ilitimiza wajibu wake? Kwa hiyo ina maana nchi hii kampuni inaweza kuingia na kuanza na sisi tukakimbilia kukusanya kodi bila ya kutambua kama inatambulika au la!! Ajabu kweli!! Kampuni inapoandikishwa soko la hisa la DSE huwa halitakiwi kupeleka Registration Certificate? Nafahamu hata ufunguaji wa bank account makampuni hutakiwa kupeleka Certificate of Incorporation, hao ACACIA walikuwa wanapeleka nini?

Kuna vitu ambavyo kwenye ripoti havijakaa sawa. Tumeambiwa Acacia walianza kuchimba mwaka 1998 - siyo kweli. Hii kampuni ilikuwa bado haijaanzishwa.

Tumeambiwa China ina smelter wakati haina dhahabu, siyo kweli hata kidogo. China ina migodi mingi tena mikubwa. Inazalisha dhahabu zaidi ya tani 400 kwa mwaka, karibia mara 15 ya uzalishaji wa Tanzania. Wazalishaji wakubwa kabisa watatu wa dhahabu Duniani 1) China 2) Australia 3) Russia.

mihemko mkuu, kama vile sadam hussein wa libya na gaddafi wa kuwait......lazima tujue kutofautisha kati ya kuelewa na kukariri......
 
Tutakapobananishwa napo ni biaseness ya report zenyewe!Je waliofanya hiyo tafiti ya rais walikuwa huru?Je wengine si walikuwa waajiriwa wa Kampuni zilizokuwa na ushindani wa kibiashara na Acacia,je watakuwa wametenda haki??Rais alitakiwa kuweka Tume hizi ziwe na wawakilishi wa pande zote mbili kuanzia kupima hizo sampuli mpaka kutolewa kwa matokeo.

ALichosema Lissu kingeanza kwanza ushindi ungekuwa wa kwetu,kuanza taratibu kujitoa kwenye hizo taasisi ili kuweza kuwabana hapa nyumbani.Lakini wale wanaotoa ushauri tunawabeza tukija kushtuka tunadaiwa mabilioni.

Kumbuka huko ndani wako waastaafu wetu.
Hili la kutoamini hizo ripoti kwa kuwa kamati hazikuwa na independent verifiers ni possibility, ingawa so far sijawasikia Acacia wenyewe wakiliongelea sana.Kama wana kamati wengine wametoka kwenye kampuni za kuchimba madini sina hakika,lakini kama ni kweli it is a miscalculation. Wanachosisitiza wao ni kwamba wame comply na matakwa ya sheria,which obviously is not true.

Wazo lako kwamba tungefuata ushauri wa Lissu linaweza kuwa sawa na sisi sawa pia.

Si Sawa kwa kuwa to me hawa jamaa ni obvious kwamba wameifanyia fraud Tanzania. That is sincerely out of question.Hawa watu hata siku moja hawafanyi clean business.Kama unafahamu issue ya Mwadui Williason Diamond Mine utakubaliana na mimi kuhusu hili. Sasa kama tukijitoa kwa mfano kwenye mikataba ya kimataifa kama alivyo shauri Lissu na baadae tukahitaji msaada wa utetezi wa mashirika husika tutaupataje?So you see we may still need them.

Lakini ni sawa kwa kuwa tukishajitoa kwenye mashirika hayo hatutakuwa bound na any international law, kwa hiyo tutaweza kuwafanya lolote tutakalo bila kuingiliwa. Hata hivyo hiyo sio nzuri kwa kuwa tutakuwa tumejitenga na jumuia ya kimataifa na hivyo kuonekana kama isolationists.And that is not healthy.

Mimi sina wasi wasi, Acacia have a case to answer, hata kwenye International Court of Arbitration, ndio maana wanataka tuyamalize haraka ili waendelee na uchimbaji.
 
Unajua kwanini hawataki kujitoa huko?Sababu tunaweza kuwashurutisha walipe mpaka senti ya mwisho ya madini waliyochota.

Kwa issue ya waajiriwa Prof Mruma alikuwa Geology - Director wa Douglas Lake Minerals Kampuni ya Madini toka Canada na Dr.Medard Kaleman alikuwa Mining Management - Director kwenye the same company?

Tujiulize kwenye CV yake hawa wawili wamedeclare walikuwa wafanyakazi huko toka mwaka 2008 -2014.

Wakati tunamnyooshea vidole Lissu aliyepingana na hawa,leo hawa tunawaaminije?immediately baada ya kusaini mikataba unaajiriwa na makampuni makubwa??Kiti gani kilikuwemo ndani ya mikataba??
 
QUOTE="Tetty, post: 21581692, member: 65753"]Hakuna anyewatetea ACACIA,wala makampuni mengine,tunachosema tufuate sheria ili tuweze kuwashinda,kwa kukurupuka hatufiki hata posta.

Tusifanye kazi kama punguani tufanye kazi kwa umakini.Waliotuangusha wala siyo Lissu,kama Lissu angesikilizwa miaka 17 iliyopita leo kusingekuwa na haya madubwana.

Kwangu mimi Lissu is my hero
Usilolijua ni km usiku wa Giza bora ukawa kimya kulikoni kuwa na hero km uyo![/QUOTE]

Hahahahhahahahah leo ndiyo usilolijua pole.Ninaloliongea ninalijua.Lissu is my hero
 
Sasa kwanni mnamjadili yeye kwa lawama kibao afu mnamuacha yona na msabaha waliosaini haya mamikataba feki?????
Ulisikia mapendekezo ya tume na maamuzi ya Magufuli? Lissu ni kibaraka Mkubwa wa wazungu
 
Tofautisha kati ya Watanzania na wanaccm. Hawezi kuwa smart kuliko Watanzania wote, lakini ni smart kuliko wanaccm wote. Kwa maana halisi ya wanaccm.
Kamanda Lissu Kumbe hela tu akiona mdomo wote unajaa mate😀😀😀
 
Mkuu aliposema yupo tayari kukaa nao meza moja wayaongee, pale ilionekana kabisa kuwa hizi ripoti zina makinikia mengi, huwezi kukaa meza moja na mwizi, muhujumu uchumi, mbona hakukaa meza moja na Muhongo wazungumze amuache?! Hapa kuna jambo ambalo si sawa ndio maana jamaa amekuwa mpole na huruma nyingi, zile watch iti, not for tha extent, sijaribiwi hazikuwepo..simple anataka kiki kuliko uhalisia wa jambo..
 
Back
Top Bottom