sam2000
JF-Expert Member
- Aug 11, 2011
- 556
- 375
Ni kweli mkuu lakini kitu kama hiki nilikutana nacho KIA.........ndio maana nikatoa mchango
huo............
He he he.. I know hizi local airport zetu bado sana, sijui wanaogopa expenses au they are simply lazy, in fact huku kwa wenzetu I always check in online najichagulia mpaka seat nikifika airport naenda moja kwa moja kwenye line ya security check unakuwa umesave muda kibao!!