Mkuu, suala la kuchelewa kucheck ini lina sababu nyingi mkuu mojawapo ni uzembe. Hili la uzembe sitalizungumza. Ila sababu nyingine ni uzoefu wa kusafiri, hili la uzoefu lina side mbili. Kwanza, ukiwa umezoea kusafiri kuna ile over confidence ambayo mwisho wa siku mtu anajikuta amechelewa.
Mwingine anakwambia anaenda kupanda ndege hivyo hawezi kupanda boda. Ukienda airport shurt upande tax.daka boda
Ukiwa unasafiri kwa mara ya kwanza ni vigumu sana kuachwa. Kwanza unaweza kwenda uwanja wa ndege masaa hata manne kabla ya safari.Sasa Kama Ndiyo Kwanza Nimetoka Kijijini Kwetu KYAKA NKUNDE Jana Tu Na Leo Nasafirishwa Kwenda India Kutibiwa Moyo Unadhani Sitochelewa Kweli? Kusafiri Na Mbung'o ( Ndege ) Ni Habari Nyingine Mkuu Haswa Ukiwa MLUGALUGA Lazima Tu Utaachwa au Kuchelewa Unless Kuna Mtu Anakupeleka!
Kuna mdau mmoja kaongea point moja nzuri sana (rejea post #23 ) bwana Pilipili, iyo ya ugeni wa kimiundombinu niko na evidence nalo. Kuna siku abiria ameachwa na ndege akiwa amesimama kwenye kwenye wrong check-in counter ambapo alisimama kwenye line kwa mda mrefu. Kuja kushtuliwa na mhudumu alipofika kwenye counter anataka kucheck-in anaambiwa sio ndege yake. Kuja kupewa taarifa ya counter ya ndege yake kuangalia ndo wanazima system, alilia yule mkenya ni balaa alijaribu kuwaeleza jamani samahani nilifika mda mrf ila nilikosea counter walaa hawakumsikiliza zaidi ya kumwambia come to our office tomorrow we can help you, ivo bac kuchelewa kwingine kunasababishwa na ugeni wa kimiundombinu. Airport zingine ni za kimataifa unaweza zurura wee humo ndani mpka unajikuta umechelewa...
Sometimes upo in the right terminal ila sasa hujui ni counter gani unatakiwa ucheck in na wala hujui ni GATE gani?Wengi pa hujikuta wakiachwa transit kwenye kubadili ndege!
Mkuu viwanja vya wenzetu kutoka terminal moja kwenda nyingine ni umbali mrefu sana. Sasa ukiwa mgeni unaweza kujikuta unatakiwa ucheck in terminal 3 halafu wewe ukaenda terminal 2. Ukija kushtuka umeachwa. Sometimes upo in the right terminal ila sasa hujui ni counter gani unatakiwa ucheck in na wala hujui ni GATE gani? Wengi pia hujikuta wakiachwa transit kwenye kubadili ndege! Au ukute kuna zile electronic check in mashine , mwenzangu na mie umetoka "sitimbi" huna ujualo na kila mtu yuko busy halafu lugha ni gongana hata ukisemeshwa kile kingereza cha mbali na wale wasaidizi huelewi. Mpaka ukija kamilisha taratibu zote ndege imeshakuacha
sawa sawa kabisa.......hasa hao wanaotoa boarding pass bila gate no.......halafu ukalitafutie mbele huko.......kama hujawahi kusafiri utafurahi.......hii kweli ni sababu madhubuti ya kuachwa na ndege...........
Umeonaeeh, ni kweli kabisa mkuu #kipilipili . Unajua sometimes vitu kama ivi hata experience nayo inahusika. Huwezi kukurupuka tu from nowhere then ukaanza kulaumiwa kuwa uzembe sio kweli. Ujue kusoma ramani ya airport, flight information screen, Boarding gates, self check-in kiosk yote haya kama ww ndo waleee lazima utaachwa.... Sio kila airport inafanana na ya bongo kwamba kila kitu kipo hapo hapo... Uzunguke uende wapi akati Ka-airport kenyee kadgo tyu!
Mkuu, suala la kuchelewa kucheck ini lina sababu nyingi mkuu mojawapo ni uzembe. Hili la uzembe sitalizungumza. Ila sababu nyingine ni uzoefu wa kusafiri, hili la uzoefu lina side mbili. Kwanza, ukiwa umezoea kusafiri kuna ile over confidence ambayo mwisho wa siku mtu anajikuta amechelewa.
Pili, ni kama si mzoefu na usafiri hasa katika kujua taratibu za safari na pia ugeni wa miundo mbinu. Hili la ugeni lipo applicable hasa kwa airport za wenzetu ambazo miundo mbinu yake kama ni "wakuja" unaweza ukajikuta unazunguka humo humo masaa mawili mapaka ukijakaa sawa ndege imekuacha.